NI NANI JINI MAHABA (AASHIQ DJINN )
unapoongelea juu ya jini mahaba basi unaongelea jambo muhimu na gumu, kwani majini wapo aina karibia 660, na kila jamii ina kuwa na mifumo yake pindi awapo mahaba.
jini mahaba si jini maalum kusema huyu ni mahaba,
mfano sisi binaadamu hatuna kabila maalumu kwamba hawa ni watu tabia mbaya, ila tabia mbaya huwa kwa mtu mwenyewe ni kwa kabila.
pia jini mahaba si jini maalum kuwa huyu ni mahaba ila majini wote waoi wahuni miongoni mwao ambao husumbua maisha ya wanadamu.
DALILI ZA KUJUA UNA JINI MAHABA
tibazakissuna.blogspot.com
1) Kuwa na hasira zisio na sababu
2) kutokuwa hamu ya jimai
3) kupata maumivu na na michubuko katika jimai
4) kuchoka sana wakati wa jimai.
5) kumchukia mwenza wako pindi anapo kuwa karibu na wewe.
huyu ni JINI SUBIANI.
6) kukosa hedhi
7) kupata hedhi kwa miezi miwili hadi mitatu
8) kuumwa chango au ngiri mara kwa mara
9) kushindwa kumwaga manii ufanyapo jimai
10) kuingia na kumwaga manii haraka sana
huyu ni jinni UMMU MULDAMI.
11) kupoteza ladha ya jimai katikati ya tendo
12) kuishiwa nguvu haraka
13) kupatwa maumivu makali ya tumbo wakati ukifanya jimai
14) Kuto kuona ladha yeyote na mwanamke kushindwa kutoa ute na kumpa maumivu
huyu ni JINI JALWUSH
tibazakissuna.blogspot.com
15) Kuto kubeba mimba
16) Kujaa maziwa kama mjamzito
huyu ni UMMU SUBIANI
17) Kuota Unapaa
18) Kuharibika Mimba kaabla ya Miezi Minne
19) Chunus zisizo SIKIA DAWA
20) Kuchukia kutongozwa na kuto hitaji ndoa
huyu ni JINI TWAYR {qarnail}
21) Kuto tosheka na jimai
huyu ni MAYMUNA
22) Mtoto kumuogopa mama yake
23) Kuota unafanya mapenzi
24) Mama kuto toa maziwa akijifungua
25) Mtoto kupatwa degedege.
huyu ni MAKATA WA MAKATANI.
dalili ni nyingi kulingana na aina ya jini anaye kusumbua.
tibazakissuna.blogspot.com
tafadhali fatilia mada ndani ya blog yangu ili ujifunze mengi
shukran sheikh ujumbe umeufikisha, na mwenyezi mungu akuzidishie elimu zaidi.
JibuFutaamin omary shukrani
JibuFutaAsalam alaykum. Kwa kweli mimi binafsi huwa sipati usingizi kuchelewa kulala na huota kila siku nafanya mapenzi na nikimaliza kufanya mapenzi narudia tena kutopata usingizi nakuwa silali tena pia mwili mzima huniuma pia hata nikiwa na wanawake huwaacha bila sababu huwachukia ghafla hebu nisaidie shekhe nini tatizo langu.
JibuFutatuwasiliane mapema ndugu yangu hilo ni tatizo
JibuFutaMbona namba zako hakuna
Futaasalam alaykum. kiufupi shekh mm ninatatizo kila ninapopata mpenzi uwa unagombana kabla sijafanya tendo nakuishia kuachana hivi karibuni nilikua na mpenzi wangu ambae alikua ananipenda na alikua yupo tayari tuoane, tumedumu karibia miaka miwili sasa lakini tumekuja kugombana bila kutalajia yani kosa dogo tu limetugombanisha adi hivi sasa ananichukia yani anipendi kama alivyokua akinipenda mwanzo naomba msaada shekh
JibuFutamubah hizo ni dalili za jini wakike ulie nae kikubwa tuwasiliane
FutaAS. Alaykum shekh mimi tatizo langu mwanzo nkiwa na m.ke nkimgusa tu anasema anaumia sehem ya siri (uke) na hata nkitaka kufanyanae mapenz uume hausimami ila saiv ndo ajabu asaa nkiwa pekeangu unasimama ila nkiwa na yeye moyo unaenda mbio sana na nkilazimisha kufanya mapenz uume ukiingia tu unaregea na kutoka hatakama ntalazimisha kwa saa zima
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
Futaniwekee na namba yako ya simu
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
FutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaSheikh habari
JibuFutaSheikh habar
JibuFutaSheikh sheikh mbona kimya
JibuFutaMimi Nina tatizo LA kupendwa Sana na wanawake ila hii halii Umeanza kunitokea Baada ya kuugua cjajua ni ugonjwa gani kwani sihisi Wala Sina Hamu ya kufanya mapenzi hata nguvu za kiume zimetoweka tangu. November nisaidieni
JibuFutaShekhenambayako
JibuFutaShukrani kwa elimu...tiba hujaitoa shekh
JibuFutaShkh a.aleykum Mimi mke wangu hajiskii kabisa kufanya mapenz mpK tunagombana na Kwa sasa ni mjamzito,
JibuFutaTunafanyaje sheikh
Hbr,Mimi nikiwa ndotoni naota napata hamu ya kufanya mapenz na siku ingine naota nafanya mapenz tena naskia raha mno,lakini kiuhalisia kwenye maisha yangu sipati hisia hizo na hata nikifanya mapenz sihisi raha yoyote nashndwa kuelewa tatzo ni Nini hpo
JibuFutaHbr. Shkhe naomba contact yako tuwasiliane.kwa maelezo yako kweli nipo na matatizo
JibuFuta