Jumapili, 31 Mei 2015

UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )




UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )

Ni moja katika aina 410 za uchawi. Na uchawi huu upo aina 4. Leo tutaongelea aina ya 2.
 
LIMBWATA KWA MWANAMKE

1) mwanamke atakuwa na maumivu makali katika kinena.

2) atakuwa akiumia sana akifanya jimai

3) pia anaweza kuonekana kama ana uvimbe katika uzazi

4) maumivu yenye kufanana na chango.

5)kutokusikia lolote zaid ya alilo ambiwa na MUMEWE

LIMBWATA KWA MWANAUME.

1) atakuwa anaishiwa nguvu katika jimai

2) anakatikiwa nguvu mara kwa mara wakati wa jimai

3) kama ana wake wawili basi kwa mmoja anakuwa hawezi.

4) kuwa na nguvu wakati anajiandaa lakini akiwa mchezoni anatepeta

5) KUTOKUSKILIZA LOLOTE ANALO AMBIWA NA MTU HATA YASIYO MEMA AU YANAYO MLETEA MATESO ILA YEYE HUTII IKIWA TU LITATOKA KWA MKEWE

6) kuikumbatia fa,ilia ya mkewe na kusahau kuihudumia ndugu zake ikiwa pamoja na wazazi wake

© tibazakissuna.blogspot.com

DAWA YA LIMBWATA

Chukua ASALI halisi ya nyuki, ile ya masika na si asali ya kiangazi kisha ule asali ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili, asubuhi kabla ya kula na usiku baada ya kula, kwa siku 19, huku ukipakaa zayt Shifaa mwilini asubuhi na usiku kwa siku 19.

Na kama una shindwa kufanya jimai kwa mke mmoja na kuweza kwa mwingine, kula asali vijiko vitatu ukichanganya na zayt Shifaa kijiko kimoja kikubwa. Kutwa mara mbili asubuhi na usiku kwa siku 27, utarudia ubora wa miaka 25. 

Ijumaa, 22 Mei 2015

BARIDI YAABIS ( rheumatoid arthritis )




BARIDI  YAABIS  ni ugonjwa sugu ambao husababisha uvimbe kwenye viungo ambapo huleta maumivu makali, ulemavu na viungo kushindwa kufanya kaz haswa vidole , kiuno, miguu na enka za miguu
 japo matatizo haya hayana tiba hospitali na dalili zake ni ngumu kuzigundua maana huja na kupotea au kuhama kutoka kiungo mpaka kiungo .
hizi ni baadhi ya dalili kukujulisha kua unaugua ( rheumatoid arthritis )

  • DALILI ZA UGONJWA
© tibazakissuna.blogspot.com

MAUMIVI YASIYO PONA  haswa ya enka za miguu 

KUPATA GANZI kwenye vidole vya miguu au mikononi

UCHOVU

MAUMIVU YA VIUNGO

KUKAKAMAA KWA VIUNGO hukithiri haswaa muda wa asubuhi



VIUNGO KUPATA JOTO KALI

VIUNGO KUVIMBA

  • MOJA YA KATI YA TIBA ZAKE 
© tibazakissuna.blogspot.com 

  
1)  pondaponda TANGAWIZI kisha CHANGANYA NA MAJI YA MOTO KIKOMBE KIMOJA

kunywa asubuhi kabla ya kula chochote IWE NDO TIBA YAKO KILA SIKU .

© tibazakissuna.blogspot.com 


2)  CHEMSHA MAZIWA KIKOMBE KIMOJA

CHUKUA UNGA WA BINZARI MANJAO KIJIKI KIMOJA

ASALI KIJIKO KIMOJA

CHANGANYA VYOTE PAMOJA KISHA KUNYWA NDANI YA SIKU 21
 

Jumatatu, 11 Mei 2015

KITUNGUU SWAUMU



Kitunguu swaumu hakikosekani katika kila jiko duniani.Ni mmea maarufu sana kwa tiba.
Kitunguu swaumu ni jamii ya yungiyungi.
Kitunguu swaumu kilicho bora zaidi duniani ni kinachotoka MISRI kwasababu ya tabia ya ardhi yake na mto nail.
 © tibazakissuna.blogspot.com
Kitunguu swaumu kina harufu ya kipekee isiyowapendeza watu wengi ingawa kimebeba siri nyingi za tiba.Kwa ajili hiyo maana yake kilatini ni HARUFU ICHOMAYO.

 Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada ya kukila,kula tofaa au tafuna majani mabichi ya naanaa,au kunywa maji yaliyotokosewa karafuu.

Kitunguu swaumu kitapoteza nguvu ya tiba iwapo kitapikwa na kila kinapowekwa muda mrefu ndipo nguvu zake huongezeka (baada ya majani yake kukauka kabisa). Kitunguu swaumu kimekusanya protin 49%,sulphur 25%,kiasi fulani cha chumvi,homoni zitoazo nguvu za kiume,viuaji sumu,vikojozavyo,vitoavyo safura,vinavyoteremsha hedhi,vimeng'enyo vyenye kuyeyusha mafuta na viini vyenye kuua minyoo.Kila utafiti unapoendelea ndipo faida na maajabu ya kitunguu swaumu yanapoongezeka. 

BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIWA NA KITUNGUU SWAUMU; 

© tibazakissuna.blogspot.com

1.Kiua sumu 

2.Kisafisha tumbo

 3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)

 4.Huzuia mvilio wa damu 

5.Kusafisha njia ya mkojo 

6.Kutibu amoeba

 7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)

 8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)

 9.Gesi 

10.Msokoto wa tumbo 

11.Typhoid 

12.Kidonda kilichooza 

13.Dondakoo 

14.Mabaka 

15.Baridi yabisi(Rheumatisim) 

16.Mishipa 

17.Uziwi 

18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza) 

© tibazakissuna.blogspot.com

19.Mafua 

20.Saratani(Cancer) 

21.Kifaduro 

22.Kifua kikuu cha mapafu 

23.Kipindupindu 

24.Kutoa minyoo 

25.Upele 

26.Kuvunjavunja mawe katika figo 

27.Mba kichwani 

28.Kuupa nguvu ubongo 

29.Kuupa nguvu fizi 

© tibazakissuna.blogspot.com

30.Kuzuia meno kung'ooka 

31.Nguvu za kiume 

32.Maumivu ya kichwa 

33.Kizunguzungu/kisunzi 

34.Kutuliza maumivu ya meno 

35.Kujenga misuli na kutia nguvu 

36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis) 

37.Shinikizo la damu 

38.Kinga ya tauni na ukimwi 

39.Magonjwa ya macho 

MATUMIZI NA MAANDALIZI KATIKA KUTIBU

© tibazakissuna.blogspot.com


 Matumizi na maandalizi ya kitunguu swaumu katika tiba yanategemea aina ya maradhi unayotaka kuyatibu,hivyo basi ni muhimu kuwasiliana na wataalamu wa tiba mbadala ili uweze kupata maelekezo sahihi ya namna ya kuandaa kulingana na ugonjwa unaokusumbua.Kumbuka kama tulivyosema awali kuwa kitunguu swaumu kikipikwa kinapoteza nguvu ya tiba kutegemeana na tiba unayokusudia. 

© tibazakissuna.blogspot.com

Kumbuka pia kwamba kitunguu swaumu huweza kuchanganywa na vitu vingine mfano;maziwa,asali,habatsouda,juisi,shayiri n.k.kutegemea na maradhi unayotaka kuyatibu na kwa ushauri/maelekezo ya daktari.

© tibazakissuna.blogspot.com