Jumatatu, 23 Februari 2015

TIBA YA MARADHI YA KUHAMAHAMA



Kama unasibiwa na maradhi aina hii yenye kuhamahama na kukosa kujua suluhisho,
hali umeenda hospital na kukosa kujua nini suluhisho, basi inakubidi umkubali Mtume Muhammad (s.a.w) kwa sababu yeye amefundisha jinsi ya kuondoa maradhi aina hii yenye kutesa na kusumbua watu, na kupata mateso mengi.

SULUHISHO  KWA JANGA HILO  TUMIA DAWA ZIFUATAZO :

© tibazakissuna.blogspot.com

1) MDAULA

2) MJAAFARI

© tibazakissuna.blogspot.com

3)  MVUNJA HOMA

4) MAJANI YA MDHAMBARAU

kisha changanya pamoja na kusaga ziwe unga,halafu mgonjwa atachota ujazo wa kijiko kikubwa na  kuweka katika uji kisha anywe mara tatu kwa siku.
siku 21
pia awe akipakaa na kuchua ZAYT SHIFAA
© tibazakissuna.blogspot.com

Jumanne, 17 Februari 2015

APPLE JAPO NI TUNDA LAKINI PIA NI ZAHANATI


APPLE

Hakuna ujanja  katika hili ila lazima tu umkubali Mtume Muhammad ( s.a.w )
kwa sababu yale aliyo tufunza ni yenye maslahi makubwa sana, na hasa juu ya ulaji wa apple. 
japo kuwa leo hii huonekana kama vile tunda la apple ni tunda la kuliwa na wenye pesa au watu wa tabaka fulani la watu bora.
kumbe ni tofauti sana,
tunda la apple pindi unapo kula tu basi ujue kwamba unaingia zahanati
 © tibazakissuna.blogspot.com

FAIDA ZAKE NDANI YA MWILI

1) MOYO >> hutibu maumivu ya moyo na kushusha pressure

2) FIGO  >> huvunja vunja mawe na kusafisha figo

3) MIRIJA YA UZAZI

4) KUSOGEZA KIZAZI

5) MWASHO WA KOHO

6) SARATANI

© tibazakissuna.blogspot.com

7) HUONGEZA CD4

8) HUONGEZA NURU YA MACHO

9) HUSAFISHA DAMU

10) HUZUIA KUHARISHA

11) HUPUNGUZA UZITO

12) HULAINISHA MISULI

13) HUONDOA HARUFU MDOMONI

14 ) CHOLESTEROL  

15) Hubalance pH >> japo mwanaume hutoa maji/ute ambayo husaidia kuweka kiwango cha pH uken  mwa mwanamke ili mbegu kusafiri na kuto kuuliwa na pH Acid ya mwanamke bado kuna aina ya wanawake pH zao ni kali bas tunda hilo husaidia tatizo hilo
 
 
na mwenye kula apple tatu kwa siku moja anakuwa amejenga nwili wake kuliko aliyekula mikate mitano isiyo na hamira,na mwenye kunywa juis ya apple iliyo changanywa na asali ya nyuki wakubwa basi anakuwa kama mtu aliye scan mwili wake mara 11.
haya hutoyapata kama si Mtume ( s.a.w )
© tibazakissuna.blogspot.com


Jumatano, 11 Februari 2015

UNAJUA NINI KUHUSU ZABIBU?


ZABIBU
Zabibu ni miongoni mwa matunda muhimu sana, japo kuwa wengi wetu huona kama tunda hilo linafaa watu wenye kujiona, au tunda ambalo halina maana.
Mtume (s.a.w) anasema kuwa,
    
Nabii Nuhu as aliamrishwa na Allah kulima zabibu sababu humfanya mtu mwenye kula awe na SUBIRA na HUPUNGUZA PUPA NA JAZBA

pia zabibu ina faida iwe mbichi au imewiva.
na baadhi ya walioendelea hutumia kukamua mafuta ya zabibu na kupikia ili kuondosha homa isiyo na sababu, na ni mafuta yenye bei ghali na hayapatikani nchi masikini.

© tibazakissuna.blogspot.com

FAIDA ZA ZABIBU

1) inaongeza hamu ya kula,

2) inarejesha na kuongeza kumbukumbu na akili,

3) huondoa  maradhi ya tumbo,

4) husaidia mmeng'enyo wa chakula, 

5) hutibu mapafu, 

6) hukata harufu kwa wale wenye kutokwa maji yenye kunuka, 
 
7) hulainisha choo, 

8) hutibu polica,

9) nyongo, hupunguza acid, 

10) huongeza  cd4, 
 
11) hutibu ini, 

12) huondoa uvimbe utokanao na homa, 

hii ni sehemu chache sana ya yale yapatikanayo katika zabibu.
ila haya hupati kama si kumpenda Mtume Muhammad saw
© tibazakissuna.blogspot.com

Jumatatu, 2 Februari 2015

HEDHI ISIYOKATA


HEDHI ISIYO KATA

Suala hili la HEDHI isiyo kata,

Ni sehemu ya maradhi yenye kusumbua sana kina mama na kina dada..

lakini tatizo hili kama watu watapenda uislam na kufuata mafundisho ya uislam,basi ni tatizo ambalo halitakiwi kusumbua wanadamu.

NAMNA YA KUWEZA KUONDOA TATIZO HILO ??

CHUKUA:

© tibazakissuna.blogspot.com

  •  JUISI YA PEASI KIASI CHA NUSU LITA

  •  ASALI NUSU LITA .

KISHA CHANGANYA

 halafu uwe unakunywa kiasi cha kikombe cha kahawa kutwa mara mbili. kwa siku 9 hadi 14 tatizo litakuwa limekwasha.
hakikisha ni ASALI ya NYUKI na si SUKARI GURU.
 © tibazakissuna.blogspot.com
pia tiba hiyo hufaa sana kwa wale wenye kutokwa  na MAJI UKENI.
 

FAIDA YA PEASI.


Hili ni miongoni mwa matunda ambayo watu hawayathamini kabisa, lakini yana faida kubwa kutokana na yaleyaliyomo ndani yake. peasi ni tunda lili mfano wa apple,na lina umbo kama moyo wako ila huenda likawa tofauti ya ukubwa na udogo kutokana na ukubwa na udogo wa tunda.
ulaji wa peasi {safrijali} pamoja na vimbegu vyake, 

HUSAIDIA :

 © tibazakissuna.blogspot.com

 1) kuimarisha utumbo

2) kusafisha utumbo wa chakula

3) kung'arisha uso

4) husafisha moyo na mishipa yake kulia na kushoto

5) huondoa jasho la kwapa

6) u t i

7) mwasho wa koo

8)  na juis yake huondoa mba

lakini pia juis ya peasi utaisoma katika mada zijazo

©tibazakissuna.blogspot.com