Jumapili, 23 Aprili 2017

ILIKI



ILIKI

NI KITU KINACHO JULIKANA SANA NA WANAWAKE NA WANAUME HASWA WALE WENYE KUPENDA KUPIKA ILIKI SIO KITU KIGEN HASWA KATIKA KULETA HARUFU KWENYE CHAKULA CHAO

LAKIN KWA BAHAT MBAYA SANA WAO HUKIONA KAMA KIKOROMBWEZO TU CHA KUTIA HARUFU JE WANAJUA KUA KWAMBA ILIKI NI MALKIA WA MIMEA MIDOGO MIDOGO

© tibazakissuna.blogspot.com

NZUR ZAID NI ILE YA KIJANI

WALICHUKULIWA WATU 20 WALIO NA PRESSURE YA KUPANDA WAKATUMIA ILIKI NDAN YA WIKI 12 MATUMIZ YA GRAM 3 KILA S MATOKEO BAADA YA KUPIMWA PRESSURE YAO ILIONEKANA KUSHUKA NA BAADA YA MIENZ MITATU SUMU ZILIZO KUA NDAN YA MWILI ZILIONDOSHWA NA DAMU KUA SAFI NA FAIDA NYINGINE NYINGI

FAIDA ZA ILIKI

1 HUONDOA SUMU MWILINI

2 HUTIBU MAGONJWA SAMBULIIZ KWENYE NJIA YA MKOJO

3 HUSAIDIA MARADH YA MFUMO WA UPUMUAJI ( ASTHMA PRESHA )

4 HUTIBU MAGONJWA YA MENO KWA KUUA BACTERIA PAMOJA NA KUONDOA HARUFU MBAYA

© tibazakissuna.blogspot.com

5 HUONDOA MAFUTA KWENYE MISHIPA

6 HUSAFISHA NA KUNGARISHA NGOZI

7 MAFUTA YA ILIKI HUSAIDIA KUWEKA NGOZ YA MDOMO VIZUR KWA KUPAKAA

8 HULETA AFUEN KUBWA KWA MAFUA NA KIFUA

9 HUSAIDIA KUTULIZA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO

© tibazakissuna.blogspot.com

10 HUTIBU KWIKWI

11 HULETA HAMU YA JIMAI KWA MWANAMKE NA MWANAUME UKICHANGANYA NA TANGAWIZI

12 HULETA HAM YA KULA NA KUONDOA KICHEFU CHEFU

© tibazakissuna.blogspot.com

13 HUONDOA KIUNGULIA

KWA MADOGO HAYA NADHAN INA TOSHA 

Alhamisi, 13 Aprili 2017

MAWE KATIKA FIGO



MAWE KATIKA FIGO

mara nying tumekua tukishauriwa kunywa maji kwa siku isipungue vikombe nane mpaka kumi kwa ila sio mfululizo maana kunywa maji mfululizo ni kutoa madini mwili

 Pindi figo linapo chuja uchafu kutoka kwenye damu na kubalansi maji unapatikana mkojo sasa mkojo unapo kua na asid sana (uric acid) inachanganyikana na chumvi na madini mengine  ( crystalline mineral ) hutengeneza vijiwe kwenye njia ya mkojo au ndani 

© tibazakissuna.blogspot.com

vinaweza kua vidogo sana kama punje za sukari kias zikipita kwenye njia ya mkojo mtu hawezi jua ILA pia zinaweza kua kubwa na hapo ndo hua tatizo haswa likianza kupita kwenye njia ya mkojo

© tibazakissuna.blogspot.com

DALILI ZA TATIZO

>> KUPATA MAUMIVU MWISHO WA TUMBO MWANZO WA PAJA

>> KUPATA MKOJO WA DAMU

© tibazakissuna.blogspot.com

>> KUPATA MUWASHO UNAPO MALIZA KUKOJOA

>> HALI YA KUHISI HAM YA KUKOJOA JAPO HUKOJOI

>> KICHEFU CHEFU NA KUTAPIKA

TIBA YAKE

MAFUTA YA ZAITUNI VIJIKO VINNE

MAJI YA LIMAO VIJIKO VINNE

 CHANGANYA TUMIA KUTWA MARA MBILI

© tibazakissuna.blogspot.com

KUMBUKA CHANZO CHA TATIZO NI KUTO KUNYWA MAJI HIVYO UKINYWA MAJI KUNA NAFAS KUBWA YA KUPONA GONJWA HILI AU KUTO KULIPATA KABISA
ALLAH MJUZ ZAIDI