Jumatano, 2 Julai 2014

MOJA KATI YA TIBA ZA JINI SUBIANI

ASSALLAM ALLYKUM NDUGU zangu leo tuna endelea na mada ya Subiani aliye tumwa.

  • ANA VISA HIVI

Hupanda kwa fujo na vurugu nyingi sana.

Na akipanda huwa ana gaa gaa sana.

Hulia na kupiga kelele.

Ni Mkali sana na ana Nguvu za ajabu kiasi hata watu sita mnaweza msimshike.

Na anaweza kumfanya mtu mfano wa kichaa. 

Ndoto za kulakula hovyo.
Kuumwa kila siku haswaa ganzi na vichomi na mwili kuwaka moto na kukosa hamu yakula.
 
Aliye kuja mwenyewe, Akipanda hujifanya yeye Ruhani
Hakuna jini ambae ni Ruhani.
Ruhani tutaongelea katika mada nyingine.

Pia Subia hujifanya anataka uganga
Hukuchagulia nguo kama vile nyeupe,nyekundu, damu ya mzee,bluu bahari au nyeusi na kukupambia kupenda pete nyingi sana.
Huwa kufanya kwa alie na Subiani wa kutumwa ni ngumu sanajimai ni ngumu sana.
Mengine muda bado

  • JINSI YA KUMTOA
© tibazakissuna.blogspot.com 
Hambali tatu
Mafuta ya nyangumi
Mafuta ya ngamia
Mafuta ya mchaichai
Mafuta ya ndimu
Mafuta ya vitunguu thaum
Mafuta ya fugiri
Mafuta vitunguu maji

Kisha kisomo cha harbu l qatwui na sayfu l qatw I
Dawa za fusho siku 30 mafuta kupakaa siku 90 .

USISITE KUTOA MAONI USHAURI AU MASWALI 

7 maoni:

  1. Huyu jini subuani naona Mara Mara Niko ndhiki nalia sijuwi nalia kwanini huzuni je hayo mafuta waweza andika lugha kiengereza batheni.

    JibuFuta
  2. Huyu jini subuani naona Mara Mara Niko ndhiki nalia sijuwi nalia kwanini huzuni je hayo mafuta waweza andika lugha kiengereza batheni.

    JibuFuta
  3. na inakuwaje jini anapanda halafu hasemi..anavuruga kchwaa tuu.huyu nijini ganii ana ili aseme unatakiwa kufanyaje

    JibuFuta
  4. naombunisa idiye kuhusu daawa za mafusho nigani?.

    JibuFuta
  5. Mimi nnatatizo kwenye kichwa kila muda nahic nnakitu kichwani kinanichokorora naekewa mishra nahic kinavutwa na vitimbi vyengine cna raha wala furaha

    JibuFuta
    Majibu
    1. Doctor Zombe,huyo ni mdudu mbaya anajibu asi au wa kichawi anakifanya ukose raha njoo tumtoe mara moja bila ya kona kona 0626031313

      Futa