Jumamosi, 5 Julai 2014

SWALI NA MAJIBU YAKE




Je mwanamke asiyekuwa na hamu ya tendo la ndoa je?pia hafki hata kilelen,pamoja na kupata maumv wakat wa tendo atumie dawa gan shekh?



Waalaykuma salaam. mwanamke ambaye hafiki kileleni na hana hamu ya tendo la ndoa pamoja na kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa,huyo ana Majini Mahaba.
Itabidi atumie mafuta ya Zaytuna yakiwa na mchanganyo wa mafuta ya Vitunguu Thaumu Kisha apake Ukeni kabla ya tendo la ndoa. na kila anapo taka kulala. 
lakini Majini hawato toka ila atapata ladha ya tendo hilo. na ili apone kabisa basi afanyiwe VISOMO na mafuta hayo apakae siku 33
 

0 maoni:

Chapisha Maoni