Jumamosi, 5 Julai 2014

UZAZI WA MPANGO



TUNAPOONGELEA UZAZI WA MPANGO SI KOSA KATIKA UISLAM, NA UNAWEZA KUPANGA UZAZI KWA MUJIBU WA SHERIA YA UISLAM BILA KUPATA ATHARI MTUMIAJI ni tofauti na njia za kisasa ziitwazo nyota ya kijani kutumia mjia ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwa mtumiaji. chukua HALILINJI. KUMBUKA HALILINJI  SIYO  HALINJI.

 MATUMIZI

© tibazakissuna.blogspot.com
Utachukua mbegu TATU ZA HALILINJ pamoja na kipande kimoja cha KARAFUU MAITI. kisha utachemsha kwa maji ml 750. yachemke pamoja na dawa hizo yani karafuu mait na halilinji. moaka yakauke yabaki ml 250. kisha utakunywa ile siku uliyo maliza hedhi. 

BAADA YA HAPO UTASUBIRI MPAKA UINGIE HEDHI YA KWANZA HUTO KUNYWA NA YA PILI HUTO KUNYWA ILA UKIINGIA YA TATU BASI SIKU UKIMALIZA TU UNAKUNYWA TENA. ITAKUWA HIVO KILAA BADA YA HEDHI YA TATU. kumbuka kwa mwanamke asiye pata hedhi dawa hii haimfai

1 maoni:

  1. Nifafanuliwe kidogo, kwa hiyo kwa hiyo ukishakunywa ile mara moja inakuwa ni salama mpaka baada ya hedhi mbili kupita?

    JibuFuta