Jumamosi, 5 Julai 2014

TATIZO LA PRESHA




TATIZO LA PRESHA

Moyo wako kaz yake ni kusukuma damu katika mwili mzima kupitia mishipa ya ateri na vein
kwa kawaida msukumo wa damu unatakiwa usome mapigo 60 mpaka 100 ndani ya dakika moja 
utajua mapigo yako kwa kugusa mshipa wa damu na kuhesabu mapigo ndani ya sekunde kumi 
mapigo uliyo yapata zidisha mara sita kisha linganisha kiwango tajwa hapo juu

sasa ikiwa msukumo wako upo chini 60 basi una tatizo la pressure kushuka yaani HYPOTENSION

© tibazakissuna.blogspot.com

 SABABU ZAKE  huenda ni kusimama mda mrefu, kunyanyuka ghafla baada ya kukaa mda mrefu ima kuwa na hali yoyote inayo zuia kuzunguka kwa damu ipasavo, kuto kunywa maji


DALILI ZAKE NI 

kuto kuona vizur, kuskia kichwa chepes, kusikia kizunguzungu, kichefu chefu, kutokwa na jasho

© tibazakissuna.blogspot.com

Ikiwa MSUKUMO  wako wa DAMU ni zaid ya 100 kwa dakika bas jua unatatizo la PRESSURE YA KUPANDA 

SABABU zake hazijajulikana ila kuna mambo yanayopelekea hali hii kutokea ikiwa ni pamoja na uvutaji wa sigara, unene na kitambi,  kuto kufanya mazoez,  chumvi ilio kithiri kwenye chakula, matatizo sugu ya figo,unywaji wa pombe, mawazo, uvutaji sigara

DALILI ZAKE NI

kuumwa kichwa haswa, matatizo ya kuona, mkojo katika damu, maumivu ya kifua, mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida, kutokujielewa, kupumua kwa tabu, 


 DAWA ZA KUTIBU PRESHA YA KUPANDA:

© tibazakissuna.blogspot.com
HABATI SAUDA

SUFA NYEKUNDU

SUFA NYEUPE

HARMAL NA KUST

changanya pamoja ujazo wa vijiko viwili @. kisha chukua ujazo wa kijiko kidogo weka katika uji wa ulezi au mtama kunywa mara mbili kwa  siku 11, in shaa Allah utapona.

0 maoni:

Chapisha Maoni