Ijumaa, 9 Oktoba 2015

VIKANGA AU SUNZUA ((GENITAL WARTS ))


SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine

© tibazakissuna.blogspot.com

SUNZUA mara nyingi huota kwenye sehemu za siri haswa sehemu za siri za mbele na pembene mwa uume au uke na hata nyuma ndo sababu ya watu weng kutopenda kusema kwa kua huona aibu

ni ugonjwa unao weza tokea sehemu nyingine za mwili kama vile mikononi usoni  na  mdomo haswa pembezoni mwa mdomo kwa wale wenye kunyonya sehemu za siri, 

huu ugonjwa husambwazwa kwa kupitia kufanya jimai haswa panapo kua na michubuko ndo maana wanawake wengi hupata ugonjwa huu kutokana na maumbile yao kua malaini

 © tibazakissuna.blogspot.com

MADHARA YA UGONJWA HUU


HPV sio kwamba ni kirusi cha aina moja hapana wako wa aina mia moja 30 kati yao husababisha maradhi ya ngozi kwenye sehemu za siri na vipele KUONEKANA hao ni type 6 na type 11 

70 ya wanao bakia hua ni wale wanao athiri sehemu zingine za mwili kama mkononi usoni na miguuni

ILA HPV ISIYO ONEKANA KWENYE VIUNGO VYA SIRI YAANA VINAVYO OTA NDANI MARA NYINGI HUPELEKEA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ATAKAE NYONYA KIUNGO HICHO HUPELEKEA KUPATA KANSA YA KOO

© tibazakissuna.blogspot.com

MATIBABU YAKE