Ijumaa, 30 Juni 2017

UKE KUTOA SAUTI




UKE KUTOA SAUTI

Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai 

SASA TATIZO SIO KUSKIKA KWA SAUT HUYO ILA NI MUME KUTO KUJUA NI NN HALI HIYO JE NI UGONJWA TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE

© tibazakissuna.blogspot.com 

KWANINI UKE HUTOA SAUTI 

Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

© tibazakissuna.blogspot.com 

 IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI

nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndan au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofaut na uume kuiingia kwenye uke na kutoa 

kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio 

ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha jesi/hewa  hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari

© tibazakissuna.blogspot.com 

SABABU ZA UKE KUTOA MLIO 

UREFU WA UKE kutoka katika kizaz japo sio wote

UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza

WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote

KUTANUA UKE kupita kias chake haswa katika mikao

© tibazakissuna.blogspot.com 

NINI CHA KUFANYA

ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI

TUMIA MAJI YA BARIDI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA JIMAI AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI

FANYA MAZOEZI YA KEGEL yana faida nying sana na nimeshaelezea sana kwenye group la ilinde ndoa yako

© tibazakissuna.blogspot.com 

Jumatano, 21 Juni 2017

MWANAUME KUPOTEZA HAMU YA JIMAI BAADA YA KUOA



KWANN WANAUME HUPOTEZA HAMU YA TENDO LA NDOA HASWA NDAN YA NDOA

Ukiuliza kuhusu hili utaambiwa tatizo kubwa ni upungufu wa homoni ya TESTOSTERONE majukumu na watoto 

© tibazakissuna.blogspot.com 

ila mbona wanaume walio achana na wake zao na walio na watoto wanakua na nguvu na hamu hali yakua na yeye pia anamajukumu na watoto 

sasa mimi sio mwanasayansi ukisema kuhusu testosterone nataka niijue ina muathiri vipi mwanaume na ina faida gan kwake

 kwa ufupi testosterone ni kitu kinacho mfanya mwanaume kua mwanaume yaan humfanya yeye KUPATA HAMU yakufanya mapenzi, humfanya kupata saut nzito na kutoka nywele na  kukua kwa uume na kadhalika

sasa kwa mwanamke yeye ya kwake huitwa estrogen ambayo hii humpa hamu ya kufanya mapenzi na ni homon yenye kumuunganisha  kwa upendo wa jamii na urafiki 

Bahat mbaya vyakula tunavyo kula wanaume vina wekewa estrogen ili kunenepesha miili ya kuku na wanyama kama ngombe na kadhalika unapo kula vyakula hivi vyenye homon ya kike MWANAUME unakosa hamu ya kufanya mapenzi

© tibazakissuna.blogspot.com 

sasa lingine linalo shusha hamu ya mwanaume ni pamja na kua katika ndoa mda mrefu

BIBI zetu walifundishwa KUKAA KIMYA yaan wanawake kuto kubishana na wanaume ili dumisha ndoa zao lakini tatizo Hii ilikua busara ya kuepusha kuto kuelewana maana mwanamke anapo sema hua haangalia anasema nin kikubwa anacho taka DUKUDUKU la moyoni limtoke kwan yeye kuongea ni njia ya kumpa faraja

sasa katika kuongea huko mwanaume huona HILI ni tatizo ima mwanamke anakelele sana maana wanawake ni wenye kumbukumbu nzur akianza kuongea atayasema hata ya miaka 5 yaliyo pita JAMBO hili HUFANYA MWANAUME KUTOA HOMON YA ESTROGEN ambayo ni homon ya kike hii humfanya mwanaume achoke na kuchanganyikiwa kutokana na hasira na kuto kumuelewa mwanamke SASA ikifikia hapo mwanaume HUONDOA HISIA kutoka kwa MKE WAKE

Mwisho mume huyo hua ni mkimya tu akiulizwa swali hajibu wala hajishughulishi kujali sas mwanamke huumizwa tena na hali hii na kujiuliza je mwanaume huyu ananin na bado ananipenda kweli

WANAWAKE WA SIKU HIZ NI WASEMAJI SISEMI KUA WASIWE WAONGEAJI ILA WAANGALIE KWANZA WANACHO KISEMA KISHA WAJUE KUSHUSHA SAUT ZAO

MWANAUME ASITOE USHAUR MPAKA AOMBWE NA MWANAMKE KIKUBWA MWANAUME AMSIKILIZE TU MKEWE MPAKA ATAKAPO MALIZA KUYATOA YA MOYONI KISHA AMAHID KUYATENDEA KAZI

KWANI NINAVYO JUA MIMI WANAUME WENYE KUONGEA SANA KULIKO WANAUME MARA NYINGI HAWAPAT TENDO LA NDOA KUTOKA KWA WANAWAKE WAO NA HUAMBULIA KUAMBIWA WANAGUGU

MWANAMKE KUA NA HALI YA KUJISAHAU KUA MAPENZ NI SUMAKU KUA ANATAKIWA AWE KAMA CHUMA CHENYE KUNGAA NA KUVUTIA NA KUCHEZA NA UZUR WAKE KUJIPAMBA NA PIA AWE MWENYE KAULI NJEMA ZA KUMPA MOYO MWANAUME NA KUMSIFIA KAMA KIDUME WAKE ILI IMNYANYUE HOMONI MWANAUME WAKE

© tibazakissuna.blogspot.com 

NINI MWANAUME AFANYE KUNYANYUA HAMU YA TENDO NA KUMPENDA 

kwakua testosterone ndio huongeza hamu ya mwanaume bas 

1) MWANAUME ANAPO KUMBWA NA TATIZO HOMON YAKE ILE HUTOKA HARAKA NA KUMPA HALI YA KIUME KUTATUA TATIZO NA AKIFANIKIWA KUTATUA BAS HUJISKIA FURAHA SANA SASA KIKUBWA UNACHOTAKIWA KUKIFANYA NI KUJISHUGHULISHA HATA KAMA NI MAZOEZ AU KAZ ILI HOMON HIZI ZITOKE 

2) JITAHID KUJUA KUMVUMILIA MWANAMKE AKIONGEA USIMJIBISHE BALI MWACHE AONGEE NA WEW ITIKIA NDIO SAWA KISHA MUOMBE AKUPE MDA BAADAE AKISHAPOA NDO UMREKEBISHE 

NILIPO KUA NAANGALIA WANAJESHI WA KIMAREKAN WANAVYO FANYIWA MAFUNZO HUTUKANWA NA KUSEMESHWA MANENO MABAYA HATA KUTUKANIWA MAMA NA WAKIANGALIWA USONI HURUHUSIW KUJIBU KITU  NI KUVUMILIA TU ukijibu una pushup 20 HII NI KWAKUA MWISHO WA SIKU UKISEMA UNAFATA HASIRA ZAKO MWENZAKO ULIO MSHIBA AKIPIGWA RISAS HUKAWII KUCHARUKA NA KUPIGA RISAS OVYO MWISHOWE UKAFA KIZEMBE

3) PENDA KUTUMIA MAKOKO MANGA MATUNDA YA ZAITUNI AU NAZI HIZI ZITAKUONGEZEA HOMON YAKO NA KUKUPA HAMU 

© tibazakissuna.blogspot.com 

Alhamisi, 8 Juni 2017

NYOTA NA MILANGO YA MARADHI


NYOTA NA MLANGO WA MARADHI

nyota zina mgawanyo wa hali na tabia, pia huongoza maarifa ya kazi
Lakini leo tunaangalia mlango wa maradhi wa kila nyota
tibazakissuna.blogspot.com
1. Punda 

Nyota hii mwenyewe husumbuliwa na maradhi ya kichwa na moyo, kwa sababu huwa wanasumbuliwa au hurogwa kwa jini Khafqaan
Mwili huwa na joto unababua kama Moto mwilini
Tabia ya nyota ni moto
Kazi zake ni usafirishaji na utumishi ,siku ya bahati jumanne na nuks jumapili

2. Ng'ombe

Hii Nyota hufanyia kazi katika udongo, siku yake ya bahati ijumaa na nuks jumatano
Maradhi yake, viungo kulegea kama mtu aliye choka na majini kama maymuna huusumbua sana mwili huo, wanapenda mapenzi sana
kazi ni biashara ya mazao au uchimbaji madini
3. Mapacha
Inafanya kazi jumatano, na nuks jumatatu
Tabia yake upepo, kazi za mawasiliano au elimu ya anga
Biashara zote za vyombo vya mawasiliano
Maradhi
Husumbuliwa kwa marogi kupitia jini twayr, huwa wanaota kupaa, chunus sugu, na matatizo ya uzazi
tibazakissuna.blogspot.com
4. Kaa 

Ina fanya kazi jumatatu na nuks yake jumamosi
Nyota hii ni nzuri kwa utawala japo kuwa mara nyingi haipati sifa hata ikitawala vzuri, utendaji ni maji
Kazi huduma zote za jamii, utumishi na kutumika kwa maslahi machache pia hujiamini sana
Maradhi huingiwa sana na maradhi ya mapenzi kama limbwata, husda ya ndugu na marafiki kumuona kama ana nufaika hali hana maslahi zaidi ya utumishi

5. Simba

Inafanya kazi jumapili na nuks ijumaa
Maradhi yake, vidonda vya tumbo, kiungulia na kuchukiwa haswa na majirani
Hutumika sana subian kudhuru watu hawa
Kazi ni usimamizi na uangalizi wa mali, na kutunza amana za watu japo uaminifu kwao huwa mdogo,tabia moto

6. Mashuke

Hufanya kazi jumatano na nuks jumatatu
Nyota yenye asili ya kipato kwa kazi za mahesabu au uhasibu na mambo ya utunzaji amana
Hutenda kazi katika udongo
Husumbuliwa kurogwa kwa jini Ummu subian
Maradhi ya strock, ganzi na baridi kama rheumatism
Maradhi ya moyo na cholesterol tatizo la kushindwa kufanya jimai

7. Mizani

Inatenda kazi ijumaa na nuks jumatano
Husumbuliwa na husda na wivu, majini kama tawaabia, alkhannaas, zawaabil husumbua sana watu hawa.
Hawa watu ni upepo na hawana misimamo

8 Nge

Hutenda kazi jumanne na nuks jumapili
Hutenda kazi kwa maji, watu wenye jadhba na maamuzi ya kujilaumu, wana mikono ya kuharibu na kuto dumu na vitu. Wana maeneno mengi, na akili huwa vichwa vyao vipo haraka kidogo
Majini aljinnu saakiniyna au khaadimu sihr huwa athiri sana
Wengi wao husumbuliwa na chale za wanga huwa wana maradhi ya kukakamaa misuli
tibazakissuna.blogspot.com
9. Mshale 

Inatenda kazi alkhamis na nuks jumanne
Nyota ya biashara, nyota hii hata iuze matapishi itaingiza pesa
Ni nyota hatari kwa kuchezewa na washirikina, wengi wao hupatwa uchizi wa ghafla kwa kuchukuliwa nyota, ni nyota yenye uaminifu zaidi na misimamo, pia maamuzi yao ni makubaliano huwa hawaamui wenyewe kwa matakwa yao. Wavivu sana wa kula na kunywa, husumbuliwa haraka na sukari, figo na homa za matumbo

10. Kondoo (mbuzi) 

Ina tenda jumamosi na nuks alkhamis
Tabia udongo
Maradhi ya kichwa, khofu, matatizo ya viungo kulegea na kuishiwa nguvu na macho kusumbua bila sababu za kidaktary, hutokana na kusumbuliwa na husda za wachawi
Kwani kwa kazi za shamba nyota hii ina nguvu sana pia elimu ya misitu na mimea. Majini kama hamaatu nnisaai, jinnu saakiniyna na ummu subian, huwafanya wakawa na madhaifu mengi ya ndoa na uzazi

11. Ndoo 

Inafanya kazi jumamosi na nuks alkhamis
Husumbuliwa na matatizo ya akili, moyo pamoja na matatizo ya kuanguka, si ajabu kwa mtu huyo
Na ikitokea wanaishi karibu na makaburi rahisi kukumbwa na jinni mayyit
Na wazuri kwa kazi na elimu ya kuhifadhi na usindikaji, au ujasiriamali
tibazakissuna.blogspot.com
12. Samaki 

Hutenda alkhamis na nuks jumanne
Husumbuliwa na awaaridhwu, riyh riyhaan, na majini wengi sana kwa kuwataja mmoja mmoja ni ngumu
Pia huwa ni watu wenye kuandamwa na mambo ya kiasili kuanzia maradhi, afya na rizqi
Husda nyingi hufanyiwa na wanawake
Kazi ya kuhudumia jamii kama Jeshi, utabibu na sheria zinawafaa sana
Kama unaziada karibu inbox
Vigezo na mashart kuzingatiwa
tibazakissuna.blogspot.com


Baada ya kujua ulivyo ndiyo uweze kusaidika kwani wapo ambao nyota zao huahama na wengine kutembelea nyota ya washirika, ili kusaidiwa tatizo la kinyota huhitajika sana utumiaji wa Aayatu rizqiya, ayaatu l fat hi, na ayaatul khawaatimu
Swihat shifaa na zaytu shifaa ni lazima kupatikana kwa dawa za kula,kuoga na kupakaa