Jumamosi, 27 Septemba 2014

MAJINI AINA YA SWAARIU


MAJINI AINA YA SWAARIU 


Majini wa Swaariu pindi wakishirikiana na wachawi basi huweza kukusababishia uchawi aina ya NAAFITH ambao umetajwa katika
QURAN > "JILINDE KUTOKANA NA UCHAWI UNAPO PULIZA KATIKA MAFUNDO YALIYO FUNGWA"

Uchawi huo wa NAAFITH unapoletwa mwilini huchokuliwa miti ya hanjari na fayja kisha huchanganywa na mafuta ya mtoto aliekufa wanaweka kwenye QABBU ambayo ni mfano wachupa ndogo huku wakisema maneno yao yakichawi,kisha inakwenda kwa mfano wa upepo na kumvaa muhusika na mtu huanza kuumwa.na uchawi huo wa majini aina ya SWAARIU hua unatulia katika moyo na kuleta presha ya kupanda na kushuka na ukipima hospitalini huoni ugonjwa.

TIBA YAKE:

Majini hawa ili uwatoe kwanza mgonjwa asomewe RUQYAT,

DAWA ZA KULA

>  KAMUUN AS-WAD

>  SUFA

>  MJAAFAR

Dawa hizo utachanganya kwa ujazo sawa na kisha awe ananywea kwenye uji siku 19.

Pia apate MAFUTA ya

>  ZAITUNI 

>  NDIMU 

>  NYONYO

Achanganye mafuta yote kwa ujazo sawa na apake kwa siku 19


Ijumaa, 26 Septemba 2014

TIBA YA M`BA



UGONJWA WA M`BA NA MATIBABU YAKE


 M`BA ni ugonjwa wa ngozi ambao hushambulia sehemu ya kichwa, Hii hutokana na kuwepo kwa bacteria na fangasi katika ngozi ambapo hupelekea ngozi kuwasha na kuwa kavu. HUU ugonjwa hukumba watu warika zote na huonyesha makali saana wakati wa baridi na mvua.

SABABU YA TATIZO

Kitaalamu haijajulikana mpaka sasa nini huleta M`ba kichwani ila kwa tahadhari ni vyema kukausha maji pindi yanapo kua kichwani kutokana na kuoga au mvua usiache maji yakaukie kichwani na pia epuka vumbi jingi kwa kuosha vumbi pindi linapo fika kwa wingi kichwani.

MATIBABU

MAFUTA YA ZAITUNI > Chukua mafuta ya Zaituni chemsha yapate joto kisha pakaa kichwani kwa kusugulia kichwani kisha utafunika kichwa kwa muda wa lisaa limoja baada ya hapo utachukua brashi kutoa m`ba na utaosha kichwa kwa maji ya baridi.USISAHAU KUKAUSHA KICHWA 

LIMAO > Chukua vijiko viwili vya juice ya limao utasugulia kichwani na kusubiria kwa dakika 3. utachukua kikombe kidogo chenye maji na utaweka juice ya limao kijiko kimoja utaoshea kichwa mchanganyiko ho na kukausha kichwa na taulo safi utafanya hili zoez kila siku mpaka m`ba ziishe


VITUNGUU SWAUMU > Menya vitunguu swaumu kisha saga vitunguu swaumu, kisha weka msago huo kichwan kwa muda wa nusu saa kisha utatoa na kuosha kichwa kwa maji ya barid na ukumbuke kukausha maji.
DAWA hii kwa MTOTO NA MWENYE ALLERGI  itabidi uwekee maji kidogo kuepusha maumivu makali kwa ukali wa dawa




Jumatano, 17 Septemba 2014

TIBA KUPITIA ASALI NA MDALASINI





FAIDA ZA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI

Matatizo mengi yanayosumbua jamii hutibika sio tu kwa hospitali bali meng hutibiwa kwa njia za asilia haswa za kissuna. Tuangalie faida za Mdalasini na Asali kwa baadhi ya maradhi

1)  MATATIZO YA KIBOFU > vijiko viwili vya unga wa mdalasini na vijiko viwili vya asali changanya vyote na glass moja ya maji ya moto  tumia asubuh na usiku 

© tibazakissuna.blogspot.com



2)  KANSA  >  Utapata matukeo mazur kwa kansa ya mifupa na tumbo,chukua kijiko cha asali na kijiko cha mdalasini changanya kisha tumia mara tatu kwa siku muda wa mwenzi mzima

3)  MATATIZO YA UZAZI  > Kwa mwanaume tumia vijiko viwili vya asali kila unapo kwenda kulala itakupa manii zenye uimara 
  kwa mwanamkechanganya mdalasini na asali zote nusu kijiko kisha finya mchanganyiko huo kwa vidole na uweke kwenye fizi za meno ili ujichanganye na mate uingie mwilini na kuimarisha mfuko wa uzazi

© tibazakissuna.blogspot.com

4)   TUMBO  > Asali na mdalasini huondoa maumivu ya tumbo,huondoa gesi na hutibu vidonda vya tumbo kwa kuondoa wadudu walioko tumboni na pia kukupa afya nzuri.

5)  MAFUA >  Wanasayansi wa spain wamethibitisha kua asali hua na mchanganyiko ambao huasidia kutibu mafua

6) MAGONJWA YA NGOZI  >  Pakaa asali na mdalasini kwa makadirio sawa hutibu magonjwa yote ya ngozi 

7) HARUFU MBAYA YA KINYWA >  kitu cha kwanza asubuhi piga mswaki kwa mchanganyiko wa asali na mdalasini kijiko kimoja kwa kila dawa kisha sukutua kwa maji moto

8) PUNGUZA UNENE  >  
                                         NJIA YA KWANZA
 tumia kwa mfumo huu  yaani asali iwe nyingi kuliko mdalasini mfano kijiko kimoja cha mdalasini kwa vijiko viwili vya asali 

                                         NJIA YA PILI
chemsha kikombe kikubwa cha maji kisha epua maji weka mdalasini acha yapoe kwa nusu saa na hakikisha maji yamepoa ndo uweke asali kwan maji yamoto huua virutubisho vya asali kisha utakunywa NUSU ya mchanganyiko huo usiku wakati wa kulala kisha asubuhi malizia mchanganyiko huo BILA kuuchemsha tena

9)  CHUNUSI  > chukuavijiko vitatu vya asali na kijiko kimoja cha mdalasini kisha weka mchanganyiko huo kwenye chunusi kabla hujalala kisha asubuhi utautoa kwa maji ya moto tumia kila siku ndani ya wiki mbili chunusi zitakwisha

© tibazakissuna.blogspot.com

FAIDA ZINGINE > huongeza nguvu na kukupa uchangamfu pia huongeza nguvu za kiume na kukusaidia kujiskia vyema katika tendo, hurudisha nywele, kwa vipara huongeza nguvu za mwili na kukusaidia kuto kuzeeka mapema, na ndio tiba pekee inayotibu magonjwa ya mifupa
(Arthritis).


© tibazakissuna.blogspot.com

Jumatatu, 15 Septemba 2014

KUTOKUZALISHA KWA MWANAUME (male infertility)

KUTOKUZALISHA KWA MWANAUME 

 Ni tatizo ambalo huwakumba Wanaume wachache japo ukuwaji watatizo hili ni wakasi 

SABABU ZIKIWA NI

1)TATIZO LA UZALISHAJI WA MBEGU (Sperm Production Problem)  >  hili ni tatizo kubwa miongon mwa yote ambapo uzalishwaji wa manii hua ni mchache au manii kua dhaifu na kutokuweza kufanya kazi ipasavyo

2) VIZUIZI KWENYE MIRIJA (Blockage of Sperm Transport)  >  vizuizi kwenye mirija inayopeleka manii kwenye dhakari na kusababisha manii kutokutoka ipasvyo au kutokutoka kabisa

3) NGUVU ZA KIUME  >  japo sio tatizo kubwa lakini pia kutokuweza kusimamisha ipasavyo au kutoweza kujihimili na kumwaga mapema kabla ya kumuingilia mwanamke ndani ya uke  hua ni tatizo

4) HOMONI  >  Saa zingine  tezi (pituitary gland) hazitoi taarifa sahihi za homoni kwenye makende hili tatizo hupelekea uzalishwaji mdogo wa manii au kutokuzalishwa kabisa

MAZINGATIO KABLA YA DAWA

Acha Uvutaji SIGARA kama unavuta maana hupunguza kasi ya uzalishaji wa mbegu

Epuka JOTO jingi kwenye sehemu za uume maana huua ubora wa manii zilizo zalishwa kwa muda huo Allah mjuzi zaidi anajua kwanii kiungo dhakari na makende vimewekwa njee

TIBA

Chukua RAWANDI kisha yeyusha kwa maji ya DAFU au maji ya NAZI  halafu kunywa mara MBILI kwa siku ndani ya siku TATU
BAADA YA KUMALIZA HIZO SIKU TATU kata KABICHI ziwe ndogo ndogo saana weka KARANGA MBICHI kisha mwagia ASALI alafu utafune mchanganyiko huo kwa kipimo cha MKONO wako 
utatumia siku SABA ukiwa unaandaa kila siku na kutumia mara moja kwa siku mpaka siku saba
utapata mbegu za KASI na UHAI



Alhamisi, 11 Septemba 2014

HERNIA (NGIRI)




HERNIA (ngiri) ni ugonjwa unao wapata Wanaume (scrotal hernia) pia kwa Wanawake ( femoral hernia).

Hernia nyingi huanzia kwenye kuta za tumbo ambapo hushuka  kwa pembezon mwa mbavu hadi chini ya kitovu, hizi kuta ni kama mfano wa kuta za tairi ya gari ambapo kunakua na mpira ndani  yake ambao mpira huo hua na hewa ili kuzuia tairi  kuto kuharibika. 

Zipo hernia zinazo shuka mpaka pembezoni mwa kibofu (Groin hernia) Na zipo zinazo shika njia ya mirija ya manii mpaka kwenye makende (Indirect inguinal hernia)
henia hutokea pindi kuta zinapokua dhaifu .

 SABABU HUA

2) UMRI 

3) KIKOHOZI KIKALI 

4)  KUDHURIKA KUTOKANA NA UPASUAJI

DAWA

chukua Shubiri kijiko kimoja 

Chukua Asali nusu lita 

Chukua juice ya Vitunguu Swaumu lita moja 

Chukua Siki ya Karafuu robo lita 

kisha changanya pamoja utakua unakunywa ujazo wa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu kwa siku 7 hadi 21.


Jumamosi, 6 Septemba 2014

KITAMBI ( BELLY FAT )



 UNENE  ni hali ya mwili kuongezeka kupita kiwango cha kawaida hii hutokana na sababu mbali mbali zikiwamo

tibazakissuna.blogspot.com

1) KURIDHI KUTOKA KWENYE FAMILIA (genetic influence).

2)  KULA ZAIDI YA KIWANGO  >  kula chakula kwa wingi na kua na utendaji mdogo yaani kutokufanya mazoezi au kuushughulisha mwili ili uchome mafuta kwa kiwango sawa sawa na kiwango kile ulicho kula

tibazakissuna.blogspot.com

3)  MATATIZO YA KIAFYA > ni kama kiungo kiitwacho thyroid kutokutoa homoni kwa kiwango kinacho itajika (hypothyroidism)

4) MADAWA >  kuna baadhi ya madawa ambayo hupunguza kasi ya uchomaji wa mafuta ndani ya mwili au hukuongezea hamu ya kula saana  (corticosteroids, antidepressants,seizure medicines)

tibazakissuna.blogspot.com

MADHARA YA KITAMBI:

1)  TOXINS LIVER  ini kuhifadhi sumu na kushindwa kutoa insulin ambayo hupelekea maradhi ya

2 KISUKARI ambayo hufanya mwili kukosa nguvu ya kukabiliana na magonjwa yanayo ushambulia mwili ikiwa ni pamoja na

 3) KUKOSA NGUVU ZA KIUME ukiwa na tatizo hili unaweza kushindwa kumuingilia mkeo kabisa au kuenda safar moja tu

4) LACK OF MENSTRUAL AND OVULATION kwa utafiti ulio wahi fanyika unaonyesha kwamba wanawake wenye vitambi hupata tabu kupata ujauzito kwa sababu wanazalisha homoni ya androgen ambayo huzuia mwanamke kupata siku zake pia hufanya mzunguko wa mwanamke kusumbua na pia siku za kupata ujauzito (ovulation) kukosekana

5) SIJUI KWANIN MWANAUME AKIPUNGUA KITAMBI NA UUME UNA ONGEZEKA JAPO INCHI MOJA AU ZAIDI

tibazakissuna.blogspot.com

6) CARDIO VASCULAR DISEASE - ni magonjwa ya mzunguko wa damu ikihusisha moyo na mishipa yake ambapo mtu huweza kupata maradhi ya pressure kutokana na Cholesterol kuziba mishipa na kusababisha mtu kupata madhara yakiwemo Stroke

TIBA YA MARADHI

KWANZA LAZIMA TUKUBALIANE TUACHE UVIVU LAZIMA UFANYE MAZOEZI AMBAYO YANA LENGA KUCHOMA MAFUTA YA SEHEMU HUSIKA SIO UFANYE MAZOEZ YA MGUU UTEGEMEE KUONA MABADILIKO TUMBONI

KISHA TUMIA MCHANGANYIKO UFUATAO

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

UKATE VIPANDE VYA LIMAO
UKATE VIPANDE VYA TANGO
SAGASAGA UPATE TANGAWIZI
MAJANI YA NANAA 10 
SIKI YA APPLE  (ACV)
MAJI LITA MOJA

MATUMIZ NA NAMNA YA KUANDAA NITAFUTE BAADA YA SIKU 4 UTANIAMBIA HABARI YAKE.

Jumatano, 3 Septemba 2014

MAFUTA YA KUULIA MAJIN WAKOROFI




MAFUTA YA KUULIA MAJINI WAKOROFI,

ZAYT SHIFAA ni dawa ambayo ina mchangannyiko wa madawa ambayo ni Sumu kwa mwili wa JINI wakorofi wasio taka kutoka.
Hivyo kutokana na watu wengi kushindwa either

1) Kuchanganya dawa vizuri au kupewa dawa feki wanapo nunua

2) Kua mbali na ninapo patikana

3) Kutokujua dua za kusoma ili kuangamia shirki

Hivyo nimeamua kuchukua jukumu la kuchanganya dawa mwenyewe na kutoa kwa mwenye mahitajio ya dawa hizi kisha atatoa maelezo ya jinsi ya yalivyo msaidia mwenyewe maana sio mmoja wala wawili yaliyo wasaidia.

KUPATA DAWA HIZI TUWASILIANE KUPITIA

+255 713 826838

+255 655 826838

+255 774 826838

+255 655 826838

+255 772 156789

+255 784 638989


 



Jumanne, 2 Septemba 2014

UVIMBE WA KWENYE KIZAZI NA TUMBONI





UVIMBE TUMBONI NA KWENYE KIZAZI:

Uvimbe wa Tumboni au kwenye kizazi (Uterine Fibroid/leiomyoma) ni uvimbe ambao hujipandikiza kwenye misuli ya kuta za uzazi na ni moja katika matatizo sugu yanayo wakabili sana wanawake hapo mwanzo ilisemekana kua wanawake wenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea ndio hupata ila kwa hivi sasa ni tofauti. 

© tibazakissuna.blogspot.com
 
DALILI ZA UGONJWA

>> KUPATA HEDHI NZITO AMBAYAO HUPELEKEA KUPOTEZA DAMU AU KUSABABISHA MAUMIVU YA HEDHI

>>> MAUMIVU WAKATI WA JIMAI

>>>  KUPATA MACHUNUSI

>>> KUJIHISI KUJAA KWENYE MAENEO YA CHINI YA KITOVU

>>> MAUMIVU YA KIUNONI

>>> KUJIHISI KUTAKA KUKOJOA MARA KWA MARA

>>> KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO AU KUPOTEZA UJAUZITO

SABABU YA UVIMBE


© tibazakissuna.blogspot.com

Kiukweli mpaka sasa hakuna jibu sahih ya jibu hili ila

KUTOKUBALANCE KWA HOMONI NI SABABU

LAKIN UKINIULIZA MIM MARA NYING WENYE  MATATIZO HAYA NI WENYE DALILI ZA MAJINI


TIBA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com

1) Unga wa Mzizi wa MTOPETOPE nusu kilo

MATUMIZI

Chota ujazo wa Kijiko kikubwa weka katika kikombe kimoja cha uji usio na sukar wala chumvi
Tumia asubuhi na jioni ndani ya siku 11 mpaka 14 kisha nenda kapime utaona umepona

 ILANI

© tibazakissuna.blogspot.com

Mastafeli inatofautiana na Mtopetope japo matunda yake yanafanana hivyo tafuta miziz ya Mtopetope sio mastafeli

KUJUA NAMNA YA KUTIBIWA KWANZA LAZIMA UJUE UGONJWA UMEKUPATA KWA SABABU ZIPI NDIO IWE RAHISI KUTOA TATIZO NA UWEZE KUPATA UJAUZITO AU KUONDOKEWA NA UGONJWA HUO.


KWA MAWASILIANO ZAID



+255 784 638 989

+255 713 826 838