Alhamisi, 11 Septemba 2014

HERNIA (NGIRI)




HERNIA (ngiri) ni ugonjwa unao wapata Wanaume (scrotal hernia) pia kwa Wanawake ( femoral hernia).

Hernia nyingi huanzia kwenye kuta za tumbo ambapo hushuka  kwa pembezon mwa mbavu hadi chini ya kitovu, hizi kuta ni kama mfano wa kuta za tairi ya gari ambapo kunakua na mpira ndani  yake ambao mpira huo hua na hewa ili kuzuia tairi  kuto kuharibika. 

Zipo hernia zinazo shuka mpaka pembezoni mwa kibofu (Groin hernia) Na zipo zinazo shika njia ya mirija ya manii mpaka kwenye makende (Indirect inguinal hernia)
henia hutokea pindi kuta zinapokua dhaifu .

 SABABU HUA

2) UMRI 

3) KIKOHOZI KIKALI 

4)  KUDHURIKA KUTOKANA NA UPASUAJI

DAWA

chukua Shubiri kijiko kimoja 

Chukua Asali nusu lita 

Chukua juice ya Vitunguu Swaumu lita moja 

Chukua Siki ya Karafuu robo lita 

kisha changanya pamoja utakua unakunywa ujazo wa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu kwa siku 7 hadi 21.


9 maoni:

  1. mchanganyiko huu wa dawa unapatikana wapi tafadhali

    JibuFuta
    Majibu
    1. Tengeneza mwenyewe kama uko Dar nitafute najua hvyo vtu vinapopatikana

      Futa
    2. Tengeneza mwenyewe kama uko Dar nitafute najua hvyo vtu vinapopatikana

      Futa
  2. mkuu ningependa kutoa ushauri kwako kama unazo hizo dawa ungekuwa watengeneza alafu watuuzia kwa gharama nafuu maana wengi wetu tuko busy na baadhi yetu dawa hatuzijui au kama una maduka ya dawa hizi dar au mkoani tujulishe plz tunaomba msaada wako

    JibuFuta
  3. Majibu
    1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

      Futa
  4. Ss mimi korodani yangu moja imevimba shida nn

    JibuFuta
  5. Siki ya karafuu ni ipi hiyo

    JibuFuta