Jumapili, 7 Mei 2017

KIUNGULIA KWA MAMA MJAMZITO



KIUNGULIA KWA MAMA MJAMZITO

KIUNGULIA naamini weng miongon mwetu wanajua ni nn kiungulia haswa kama umeshawah kuhisi kitu kichungu chenye kuchoma kinapanda kooni na gesi

sasa tatizo hili limekua likiwasumbua wakina mama wajawazito sana japo sio wote ila weng wao mwanzon au mienz mitatu ya mwishon mwa ujauzito

KIPI HUPELEKEA KIUNGULIA KUTOKEA


unapo kula chakula kinapita kwenye esophagus na kuingia tumbon ila mwisho wa esophagus kuna valve ambapo huruhusu chakula kupita na hukizuia chakula ambacho kitaingia kwenye TUMBO kisirudi juu

© tibazakissuna.blogspot.com 

SABABU YA KIUNGULIA

kiungulia hutokea pale ambapo TINDIKALI ( acid ) itokayo kwenye utumbo na kupita kwenye ile valve ambayo ilitakiwa kuto kuruhusu kitu chochote kisitoke na kupanda mpaka juu na kusababisha maumivu kwenye kifua na hali ya uchungu ikiambatana na gesi

kwa mama mjamzito valve ile ya kuzia huathiriwa na homon ya progestorene  kwa kuisababisha kulegea na hivyo acid kupita

kutanuka kwa kizaz kwa sabab ya ukuaji wa mtoto husukuma utumbo na kusababisha hali ya valve ile kufunguka kirahisi na mjamzito kupata kiungulia

© tibazakissuna.blogspot.com 

USHAUR GAN ANAPATA

jitahid kula chakula kias yaan usile ukashiba jitahid kula kias hata kama utakula mara tano kwa siku ila usile mlo mmoja na ukashiba kabisa 

usile vyakula vyenye asili ya tindikali (chips, chocolate,machungwa mengi, nyanya na vingine) au vyenye mafuta sana na ukiweza chunguza nn unakula kinacho kuletea hali ya kiungulia

kula taratibu uweze kuvifanyia umengenyaji mzur chakula unacho kula kisha usinywe maji wakat unakula mpaka baada ya dakika 10 za kula

hakikisha una fanya mazoez ya kutembe unapo maliza kula hakikisha hulali maana utazidisha tatizo 

© tibazakissuna.blogspot.com 

TIBA YA TATIZO

IKIWA UMEKUTWA NA TATIZO LA KIUNGULIA BAS FANYA YAFUATAYO

LIMAO LINA SIFA YA KUPUNGUZA ACID ILIO TUMBON NA MAFUTA FUTA 
CHUKUA LIMAO MOJA MINYIA MAJI YAKE KWENYE GLASS YA MAJI UTUMIE 

© tibazakissuna.blogspot.com 

CHEMSHA MAJI YA TANGAWIZI NA TUMIA NUSU KIKOMBE

TUMIA TUNDA LA APPLE AU SIKI YA APPLE KIJIKO KIMOJA KWENYE MAJI MARA MBILI KWA SIKU 

ALLAH MJUZ ZAID