Alhamisi, 20 Novemba 2014

TATIZO LA KUKOSA HEDHI ( AMENORRHEA )





TATIZO LA KUKOSA HEDHI ( AMENORRHEA )


Kuto kupata hedhi kuna pelekea mawazo na mashaka kwa wanawake wengi pindi tatizo hili linapo jiri
Tatizo hili huweza kutokea 

Mapema Mwanzoni ( PRIMARY ) ambapo msichana hua katika umri wa kuvunja ungo (16) ila hapati mabadiliko ya kimaumbile yanayo ambatana na kuvunja ungo PIA anaweza kupata dalili zote za kuvunja ungo kama kuota nywele sehemu za siri na kuota matiti ila bado pia hapati hedhi

Pia linaweza kutokea 

Badae katika Maisha ( SECONDARY ) Ambapo mwanamke hayupo katika hali yoyote ya kumzuia kupata hedhi kama vile ujauzito, kunyonyesha au kutokuwepo katika kipindi cha Menopause yaani yupo chini ya miaka arobaini.

NININI HUSABABISHA KUTOKUPATA HEDHI

> Kupata Hitilafu katika viungo vinavyopelekea mwanamke kupata hedhi ambavyo ni matezi yake ya hypothalamus, pituitary, kizazi (uterus) na kiwanda cha kutengenezea mayai (ovaries)

> Madhara yanayo tokana na matibabu ya kansa

> { functional hypothalamic amenorrhoea } hii ni hali inayo kusanya sababu nyingi za kawaida ambazo ni
> Msongo wa Mawazo  Kupungua mwili  Kuzidisha kati ya kula au mazoezi na pia maradhi

> Kulogwa au Kua na Majini Mahaba

MATIBABU

© tibazakissuna.blogspot.com

Chukua dawa inayo itwa SUFA.
Iwe ya UNGA ujazo ni Robo kilo 

changanya na chumvi ya unga ujazo huo huo.  

Halafu awe anachota kijiko kimoja kidogo na kuweka katika Maziwa ya Moto kikombe kimoja.
Kila siku Asubuhi na Usiku. Mpaka amalize hiyo dawa. 


Lakini kama atakuwa na Jini Mahaba basi damu itafunguka 

http://tibazakissuna.blogspot.com/

Jumanne, 18 Novemba 2014

TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI ( Blocked fallopian tubes)




Mirija ya uzazi kwa mwanamke (fallopian tube) ni mirija miwili kila moja upande mmoja inayo unganisha  kati ya OVARIES (ambapo mayai huzalishwa) na mayai yanapo komaa hupitia sasa kwenye mirija ya fallopian na yai kukutana na mbegu za kiume na kua (fertilezed) na kushuka kwenye UTERUS (kizazi) kwa ajili ya uzalishaji 


AINA YA UZIBAJI WA MIRIJA 

Matatizo katika mfumo wa uzazi huanzia aidha ukeni au ndani ya kizazi. Maambukizi ya ukeni huweza kujipenyeza hadi ndani ya kizazi na kushambulia tabaka la ndani ya kizazi na mirija.

HYDROSALPINX  hii hua ni mirija ya yai kuongezeka kwa umbo kutokana na mirija kujaa maji na kuzuia mbegu kupita ili kukutana na yai na hali hii kupelekea kutokupata mimba


NINI HUPELEKEA KUZIBA KWA MIRIJA

> PID = (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE) Hii hua ni matokeo ya maambukizo ya zinaa ambapo huleta makovu yenye uvimbe na kusabaisha mbegu kutopita, ila sio lazima uwe una ugua hata kama ulikua una historia ya kuugua mara kwa mara magonjwa ya zinaa kama kisonono hupelekea hali hiyo

> Historia ya kufanyiwa UPASUAJI wa sehemu zisizo za kawaida kama tumboni na kizazini

> ECTOPIC PREGNANCY kutunga mimba kwenye mirija ya uzazi ( fallopian tube ) na kutokushusha yai kwenye kizazi  ambapo huleta hatari zaid na hugundulika baada ya wiki nane kwa vipimo, pia yai huweza kutunga kwenye mdomo wa kizazi (cervic).

> Kufanyiwa upasuaji kwenye mirija ya uzazi ( fallopian tube )

> Kutoa Mimba

DALILI ZA KUKUJULISHA 

# Maumivu chini ya kitovu yasiyo kwisha 

# maumivu wakati wa jimai 

# Kutokupata ujauzito hata kama ulipata mara moja

# kutokwa na uchafu usio wa kawaida kwenye uke


TIBA

© tibazakissuna.blogspot.com

Chukua SANAMAKI na ZATTARI ujazo sawa.
 Kisha chota ujazo wa NGUMI yako uchemshe kwa MAJI LITA MOJA NA NUSU
Yachemke mpaka yabaki NUSU LITA halafu utakunywa ASUBUHI na USIKU
utakunywa kwa siku MOJA  tuu
 Kisha utarejea tena baada ya MWENZI MMOJA
LAKINI  kabla ya kuandaa upya UKAPIME kama hauna mimba ili kama utakuwa na mimba USINYWE

Jumatatu, 10 Novemba 2014

MAJINI AINA YA ZAWAABIL



MAJINI ZAWAABILI


Majini hawa husababisha maradhi yafananayo na ya kansa au mkanda wa jeshi.
Ni majini wapumbavu sana.
Na humuingia kwa wepesi mtu mwenye TABIA YA KUPENDA KUKAA WAZI MWILI WAKE AKITOKA KUOGA
Na akiwa ni JINI MAHABA aina hii hutopenda kusikia wala kukaa na mwenye kunuka jasho ila utakuwa mwenye kutema tema mate.


DALILI ZAKE


  • Mwili kuwasha sana
  • Ngozi kubabuka
  • Ngozi kuvuka kama gamba la nyoka
  • Mwili kuvimba na kuwaka moto
  • Mwili kuwa na midonda ya mapele

KUWAONDOA KWAKE

© tibazakissuna.blogspot.com

Kisomo cha KHAWAATIMU siku 11

Na dawa zakupakaa ni MRUTURUTU changanya na MAFUTA YA NYONYO au MAFUTA YA NDIMU pakaĆ  siku 27
 

Dawa za kunywa ni MKUNAZI na SUFA NYEKUNDU siku 27
 

KWA MAWASILIANO ZAIDI YA TIBA NA KISOMO

+255 713 826838
+255 655 826838
+255 784 638989