Jumapili, 25 Septemba 2016

UWATU




SIFA NJEMA ZOTE NI ZA MWENYEZI MUNGU AMBAYE NI VYAKE VILIVYOMO MBINGUNI NA VILIVYOMO ARDHINI. 

ANAYAJUA YANAYOINGIA KATIKA ARDHI NA YANAYOTOKA HUMO NA YANAYOTEREMKA KUTOKA MBINGUNI NA YANAYOPANDA HUKO NA YEYE NI MWENYE KUREHEMU, MWINGI WA MAGHUFIRA.

Kwa leo tutaangalia kwa ufupi kuhusu mmea uitwao UWATU umekua na faida nying sana kwa kiumbe mwanadamu kutokana na kutibia baadhi ya maradhi na kumponesha kabisa kwa uwezo wa MUUMBA 

✅  FAIDA ZA UWATU  

® tibazakisssuna.blogspot.com

1) TUANZE KWA KUWAJALI WANAWAKE SIFA YA KWANZA HUSAIDIA MWANAMKE AMBAE HATOI MAZIWA PINDI ANAPO JIFUNGUA KWA KUTUMIA UWATU KIJIKO NA UNGA WA JIRA NDANI YA MASAA 24 KWA UWEZO WA MUNGU UTAPATA MAZIWA YA MTOTO

2) HUMPA MSAADA MWANAMKE AMBAE ANAENDA JIFUNGUA KUTO KUSUMBUKA KUTOA MTOTO NA PIA HUPUNGUZA MAUMIVU YA HEDHI KWA WENYE KUTESEKA NA MAUMIVU HAYO 

® tibazakisssuna.blogspot.com

3) HUONGEZA HISIA ZA JIMAI KWA WALE AMBAO HUSUMBUKA NA KUSUMBUKA KUA HAWANA HAMU YA TENDO HII NI KWA WANAWAKE NA WANAUME

4) HUSAIDIA NGUVU ZA KIUME KWAN HUSAFISHA KIBOFU NA KUSAIDIA MATATIZO YA NGIRI NA PIA KWA WANAUME WENYE KUFANYA MAZOEZ DAWA HII HUMUONGEZEA NGUVU NA KUMSAIDIA KUTANUKA MISULI

5) HUTIBU MB'A NA KUZUIA NYWELE KUKATIKA KATIKA

6) HUSAIDIA MMENGENYO NA KUMPA MTU HAMU YA KULA NA PIA KUONDOA CHOLESTEROL

7) HUTIBU MTU MWENYE UPARA NA KURUDISHIA NYWELE PIA HUTIBU PUMU YA NGOZI

8) HUTIBU ULCERS YA KWENYE ULIMI NA YA MGUUNI PIA VIDONDA VYA MAJERAHA NA GOUT

® tibazakisssuna.blogspot.com

9) HUTIBU UGONJWA WA KISUKARI 

10) HUSAIDIA MTU ALIE VIMBIWA NA KUSIMAMISHA KUARISHA KWA ANAE HARISHA

11) HUPUNGUZA UZITO PIA NI DAWA NZUR KWA WANAO KOSA USINGIZI USIKU

12)HUSAIDIA KIFUA KILICHO SHINDIKANA PIA NA MAGONJWA YA UPUMUAJI

13) HUONDOSHA MAJINI WALIO KAA MDA MREFU KWA KUCHANGANYA NA SUPU YA NDEGE KUJUA WA AINA GANI NITAFUTE 

14) KWA WANAUME AMBAO HUTOA MANII NYEPES HII NI DAWA NZUR YA KURUDISHA MANII KUA NZITO

NAMNA YA KUTUMIA NI VYEMA KUULIZA KWA MJUZI KABLA YA KUTUMIA

™ © TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

18 maoni:

  1. shaibu naomba kujua matumizi ya uwatu maana manii Yang ni mapesi sana

    JibuFuta
  2. Naam I ope itakua bora zaid endapo utatufunza namna ya kutumia ustadh

    JibuFuta
  3. Natakakujua namnayakutumi uwatu yaan matumiz

    JibuFuta
  4. Uwatu kwa Kingereza ni nini?

    JibuFuta
  5. Je ni nzuri kwa mjamzito kwa kutumia

    JibuFuta
  6. Naomba kujua matumizi ya uwatu kwa kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kwa kuleta ham ya tendo la ndoa Kwa wanawake chukua kijiko kimoja Cha chakula Cha fenugreek ya unga mchaichai, tia sukari kiasi ndani ya Lita Moja nusu kweny sufuria chemsha then kunywa ikiwa ya moto asubuhi kabla ya kula then jioni we muhusika atasweat👌👌

      Futa
  7. Jaman mbn hamna majibu humu

    JibuFuta
  8. Napenda kujua matumizi ya uwatu hasa ktk kuongeza hisia na wingi wa manii nitumia uwatu wa unga au mbengu

    JibuFuta
  9. Uwatu unatumiaje kuzuia maumivu ya tumbo la hedhi

    JibuFuta
  10. Je uwatu inasaidia kupunguza tumbo au mafuta mwilini?

    JibuFuta
  11. Je uwatu inasaidia kupunguza tumbo au mafuta mwilini?

    JibuFuta
  12. Kwa tumbo la hedhi matumizi yake yakoje

    JibuFuta
  13. Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.

    WhatsApp; +31 687 329 133
    Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
    Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
    Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon

    JibuFuta