Jumatano, 27 Julai 2016

KUCHEZEWA NYOTA

NYOTA ILIYO CHEZEWA

Leo nataka kuongea kitu kitakacho kuwa kama kigeni kwa baadhi yetu, lakini ni maarufu pia kwa baadhi yetu.
Nyota ni sehemu ya mzunguko wa maisha yako mwanadamu, ambalo fungamano hili huenda kabisa na maisha ya binaadam kiutendaji kazi, rizk na maradhi.

Ukiongea nyota wapo watu wataona ni elimu ya ajabu ama shirk fulani, kwa sababu wengi wetu tunapenda uzungu na kuona kama elimu iliyo katika mfumo wa kiarabu imepoteza dira. Nyota zipo aina hii
كواكب،بروج،نجوم
Kawaakib,Buruuji na Nujumu. 

Ambapo kwa wasomi wa kizungu elimu hii kwao huwa ni astronomy
Ni elimu ya mambo ya geography.

hapa nyota ya maisha ya mwanadamu ni hii buruuji, ambayo hii buruji huwa ni Sayari na njia zake ni kawaakib ama obirt
 
Ambapo zipo sayari 12 na Obirt 12
Sayari hizi ni Hamal punda, Thaur ng'ombe mume, Aljauzau mapacha, surtwaan kaa, asadu simba,alqadhwyimat mashuke, mizan, aqrab nge,qaus mshale,Jady,dalwu na huut ama samaki.na kila nyota zina sifa nne ambazo Maji,Udongo,Moto Hewa
Hapa ndipo mtu anapo weza kukuchezea na kuharibu maisha yako. Audhu billaahi min dhaalik

© tibazakissuna.blogspot.com

Epukeni sana ndg zangu waganga wenye tabia za kuharibu maisha ya watu
Kwa mfano mtu ambaye nyota ya mashuke huyu nyota hufanya kazi jumatano, sifa mapato, utendaji wake udongo. 

Huyu ndiye mwenye hatari kwa mkulima na hatari kwa mfanya biashara anaweza kuchezewa nyota kwa maslahi ya muhuni mmoja anaye taka kulima au biashara na nyota yake haikubali kazi hiyo.
Hizi nyota huwa zinautendaji wa kila siku na nuksi ya kila siku kwa wiki nzima, zikiwa chini ya Malaika husika na malaika hawa wapo Saba, Ruuqayaail,Jibril,Samsamaail,Miykaail,Swarfayaail,Ainayaail na Kasfayaail hao ndiyo Malaika wa jumapili mpaka jumamosi kila Malaika na siku yake kwa nyota husika.
 
MTU ANACHEZEAJE NYOTA YAKO?? 
 
AUDHU BILLAAHI MIN DHAALIA

niwaombe matabibu kwa kweli suala la kucheza na nyota ya mtu ni dhambi iliyo kubwa na Muogopeni Allah

© tibazakissuna.blogspot.com

Kinacho fanyika ni kuchukua kivuli kwa siri na kuweka na madawa husika kisha kutumiwa sehemu husika, na hao watumiaji ndiyo watu ambao unaweza kukuta unatumia nyota ya ndg au mfanyakazi, na kama mfanyakazi basi huyu anaweza kutukuzwa hata kama elimu yake hairuhusu kukaa katika wadhifa huo, au atafanya kosa kubwa na kupata msamaha wa mwepesi na haraka bila Shart.kama itatumiwa na ndg hapo ndiyo majanga.
 
Dalili gani utajua iwapo nyota inatumiwa au kuchezewa???
 
Hapo aliye chezewa nyota huwa
 
1 mambo yake yanaharibika hovyo

2 watu hawamjali

3 huwa kama mwehu au zezeta fulani

4 watu watamtenga

5 pesa kutoweka mazingira ya ajabu

6 kufanya kazi kwa bidii na kutoona faida ya kazi

7 kuumwa ugonjwa wa ajabu ima kurukwa akili

8 mtu mzima watu kumfanya kama mdoli kwa kukosa heshima

9 akili inakuwa kama imefunikwa na kukosa muelekeo mpaka kutamani kujiua

NK

Ni miongoni tu mwa dalili.
Wafanyaji hayo muogopeni Mola wenu.
Pia mtendewaji unaweza kuambatana hata na tabia ya kuota utajiri hali ya kuwa hela ya kodi hujui pa kuitoa.
Unakuwa na wakati mgumu ukichezewa na ndugu, na utajiona una bahati isiyo na mafanikio ukichezewa na bosi.
Msingi kwa upande wa tiba
Upate Sheikh mjuzi wa elimu ya tiba isiyo na shirk na iwe tiba ya kisheria kisha ufanyiwe visomo vya Aayatu l fathi na Aayatu rizq

Huku ukiwa unapakaa zayt shifaa
tibazakissuna.blogspot.com
+255784638989
+255713826838

Jumapili, 24 Julai 2016

PUNYETO ( MASTURBATION ) PICHA ZA NGONO ( PORN ADDICTION )

MADHARA YA PICHA ZA NGONO NA KUPIGA PUNYETO/KUJICHUA (PORN ADDICTION AND MASTURBATION)

kuna mfugaji wa mbwa alikua akimpa mbwa wake chakula LAKIN kabla hajampa mfupa wa nyama alikua analiza kengele ambayo huitikiwa kama ishara ya chakula akilini mwa mbwa
mbwa anapo isikia kengele ile akili yake hutoa kemikali kwenye ubongo ambayo huongeza kiwango cha mate mdomoni mwa mbwa husika walio soma SAIKOLOGIA WANAJUA NAMZUNGUMZIA PAVLOV

tibazakissuna.blogspot.com
 
 hivyo hivyo tunapo angalia picha za ngono zina sisimua kemikal za mfumo wa jimai  kitu ambacho kita mpelekea muangaliaj ashawishike kumaliza ham yake kwa kutumia viganja vya mikono yake
hivyo hufanya mfumo wa akili yetu kuanza kujumlisha ya kwamba ili upate msisimko lazima basi uone picha ya aina flan ima mwanamke awe mwenye makalio makubwa au afanye kwa mfumo flani na hivyo hivyo pia kwa mwanamke mwenye atapenda dhakar kubwa na kifua kikubwa  kwakua tu ndivyo vinavyo jenga ukamilifu wa jimai kwenye akili yake

*MADHARA YA  KUFANYA PUNYETO NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

"tibazakissuna.blogspot.com

1) Kupoteza ham ya kushiriki jimai kwa mwandani wako maana unajitosheleza mwenye

2) kuto mridhisha mwenzio maana katika picha za ngono hakuna mapenz na kushibana baina ya wafanyao watu huvamiana kama wanyama hakuna kuandaana

3) ikumbukwe asilimia 80 ya jimai ni mawazo ambapo hupelekea hali ya mwili kua radhi kuufanya ufikie unalo taka hivyo unapo fanya punyeto una shawishi sana kumbukumbu na maono ili uweze kupata mihemko ya kumaliza haja zako kitu kinacho pelekea akili yako kupoteza kumbukumbu pia mwili hua unachoka hasaa

tibazakissuna.blogspot.com

4) E D  ( Erectile Dysfunction ) kumbuka picha za ngono mara nying huangalii ni nan bali hua unaangalia sana maumbo kitua ambacho hufanya msisimko kwenye akili yako hivyo kwa mkeo haita hutaweza simamisha dhakari ikawa na nguvu maana mwili wake umeshauzoea na akili yako huitajia kuona maumbile flani ili usisimkwe haswa HAPA ndo mwanaume akiangusha moja hataki tena maana hakuna msisimko atajaribu kuamsha lakin hawez

5) kupata uhanidhi kwa kuudhoofisha mishipa ya uume kutokana na kufanya punyeto na kwa mwanamke hawez kufika mpaka akae mkao ule alio kua akikaa pindi akifanya punyeto

6) najua yapo mabaya na mazur kiasi katika kila jambo ila picha za ngono na kujichua ina madhara zaid kwa mfanyaji maana unapo fika kilele mbegu unazo toa hua zina nguvu ya kuunganisha kimwili na kiroho sasa unapo fanya bila mtu hali ile ya kuungana inayo patikana katika manii inapotea ndo maana mfanyaji yoyote wa punyeto haridhiki hata afanye mara mia pindi akiona watu wakifanya kweli kiu yake hurud pale pale na pia unapo maliza unajiskia vibaya utajutia ulilo fanya maana hamna muungao (emotional and love bond )

tibazakissuna.blogspot.com

TIBA

FUNGA KAMA ULIVYO FUNGA RAMADHANI UJUE NAMNA YA KUMILIKI NAFSI YAKO

KISHA

tibazakissuna.blogspot.com

Anatakiwa apate

ZAYT SHIFAA

MJAAFAR

MWINGA JINI

MKWAMBA

NA SWIHAT SHIFAA

akitumia kwa siku 21 basi tatizo litaisha in shaa Allah

+255 784 638 989
+255 713 826 838

Jumatano, 20 Julai 2016

KUONGEZA BAADHI YA VIUNGO

JEE! NI KWELI UNAWEZA KUKUZA BAADHI YA VIUNGO??

Swali hili huwa linaumiza vichwa sana, na pia wapo watu ambao hutapeliwa sana kutokana na aina ya dhiki wanayo pata katika nafsi zao, pia kuna wale ambao hupenda kuwa na aina fulani ya mwili, kama vile, vitambi au hips nk.
برجلة
Huu ni mti wenye faida sana iwapo utaukutanisha na قسطال

MITI HII NI MITI AINA GANI?

برجلة ni mti mkubwa sana wenye faida nyingi sana kama ilivyo miti maarufu mfano wa mbuyu,mkuyu,mpera na mzuri.
Pia maajabu yake ni kama haijal na faijal
Na pia hutumika na baadhi ya washirikina kama unavyo tumika مكل،مشندو ،مكي
Hiyo miti hatari sana.

tibazakissuna.blogspot.com
برجلة mti huu hutumiwa sana kwa kutibia mgonjwa sugu kama yafuatayo

#1 cd4 mtu mwenye upungufu wa cd4 yeye huchemsha magome na kunywa na akapona

#2 vidonda vya tumbo, mwenye tatizo hili hutumia unga wa mizizi na akapona kabisa

#3 pressure ukichanganya unga wamajani yake na Mjaafar pressure huisha kabisa

#5 Mtoto aliye bemendwa, kutumia kukandwa kwa magome ya mti huu pamoja na mpingo

#6 husafisha figo na pia hutibu fangas zote pamoja na kuongeza nguvu ya macho
tibazakissuna.blogspot.com
 
Mti huu ni aina ya miti ambayo huota sana ardhi za bara na Mara chache kuwepo kando ya bahari
Lakini pia unaweza kushangaa jambo hili!

KUKUZA VIUNGO

Magome ya mti huu huwa yanatumika sana iwapo unga wake utaweka kwenye mafuta ya nyangumia kwenye mafuta ya rozi, kisha mtumiaji akawa anapakaa sehemu kama mapaja na makalio basi humfanya akawa na hips pamoja na makalio kuongezeka kwa siku 50-90
Na baadhi ya kabila za nchi yetu hutumia sana kwa kuogeshea watoto na kufanya wanawake wa kabila hizo kuonekana kama hips na makalio asili yao.
Unaweza kushangaa sana na usiamini maajabu ya mti huo ambao leo nakuchambulia, kwani mti huu ni maarufu sana hata tunda lake linaliwa sana kama linavyoliwa tunda La peasi na mengineyo.
Kumbuka mbegu za peasi yaani سفرجل huwa zinachanganywa unga wake na asali kisha huwekwa dawa fulani za kichina na kukuza makali, 

lakini ubora wa peasi haufanani na برجلة hata kidogo
Pia kuna watu wenye upungufu wa uume,

uume kidaktar ni kwamba ukiwa chini ya nchi sita basi uwezekano wa kupata Mtoto ni mdogo na ukizidi nchi tisa unatakiwa upigwe rings kwa sababu pia uwezo wa kupata Mtoto ni mdogo
Hivyo watu huhaha kusaka dawa ya kukuza dhakari zao,ima wengine misuli ya dhakari zao huwa dhaifu na huhaha kutokana na kupiga sana punyeto na kuua misuli kiasi kufanya dhakari kukosa nguvu
Wao watatumia kuchua pindi dhakari imesimama na hunenepesha pamoja na kurefusha kwa siku 27 mpaka 45

Na kufikia saiz Utakayo
tibazakissuna.blogspot.com
Tambelea blog yetu kupata faida zaidi

Ushauri +255 713 826 838
+255 784 638 989
+255 758 711 111

Ijumaa, 15 Julai 2016

FANGASI WA ULIMI ( ORAL THRUSH )

FANGASI KWENYE  ULIMI ( ORAL THRUSH )

Kwa kawaida kama ilivyo mdomoni  na ukeni kwamba Fangas hua wanaishi ila sio kwa kiwango kikubwa hivyo ikiwa fangas watakua wengi hapo ndipo tatizo huanzia 
kwa watu wazima huweza kua shida sana kupona kwa tatizo hili ikiwa mtu huyo hafatilii mlo kamili AU Hula aina za dawa ambao huua baadhi ya vimelea ambao wangeweza pambana na tatizo hilo

© tibazakissuna.blogspot.com

kwa watoto ambao hua na ugonjwa huu huweza muambukiza mama ( chuchu ) na kupelekea kuambukizwa kwa wengine watakao nyonya na  dalili zake huleta 
hali ya chuchu kuwasha na kuuma na kuweka kama mngao kwenye chuchu ya mama

kwa fangas wa mdomoni  hushambulia ulimi ( Candida albicans ) japo mara nyingi hushambulia watoto ila hata kwa watu wakubwa hili pia ni tatizo na lina sababishwa na mambo niliyo yataja ikiwa ni pamoja na kuugua HIV na KISUKARI

NJIA GANI YA KUJIHADHARI JUU YA KUJIRUDIA KWA UGONJWA HUU

© tibazakissuna.blogspot.com

kwanza kula vizur sio ule vyakula vitam zaidi

kama unavuta sigara ndugu yangu acha au pombe au ni mpez sana wa kahawa

safisha sana meno yako ya bandia maana bahat mbaya ndugu yangu meno haya yna nafas kubwa ya kuleta ugonjwa huu pia hakikisha una safisha na ulimi unapo osha kinywa

piga mswaki vyema jino hadi jino na akikisha unasafisha baada ya kuosha meno na unapo taka kupiga mswaki  kwa maji ya moto yenye chumvi

© tibazakissuna.blogspot.com

NAMNA YA KUTIBU TATIZO HILI

<#> PENDA SANA KUNYWA MAZIWA YA MGANDO USIWEKE SUKARI

<#> TULIONGELEA TUNDA LA APPLE KAMA TIBA YA VINGI SASA CHUKUA SIKI YA APPLE VIJIKO VIWILI WEKA KWENYE MAJI YA MOTO SUKUTULIA KISHA MEZA MARA BAADA YA DAKIKA KUMI KUISHA FANYA  MARA MBILI KWA SIKU

<#>  CHUKUA MAFUTA YA  NAZI MAFUTA YA KITUNGUU SWAUMU CHANGANYA NA MAFUTA YA MDALASINI 

© tibazakissuna.blogspot.com

<#> KISHA CHUKUA KIJIKO KIMOJA CHA MCHANGANYIKO HUO KISHA HAKIKISHA UNAYAZUNGUSHA KWENYE ULIMI WOTE NA BAADA YA DAKIKA KUMI TEMA INAPENDEZA UKIFANYA ASUBUHI KISHA PIGA MSWAKI NA MAJI YA MOTO 

© tibazakissuna.blogspot.com

< # > UKIKOSA VYOTE BAS CHUKUA KIJIO KIMOJA CHA CHUMVI WEKA KWA MAJI YA MOTO KISHA SUKUTULIA BAADA YA DAKIKA KUMI TENA