Ijumaa, 15 Julai 2016

FANGASI WA ULIMI ( ORAL THRUSH )




FANGASI KWENYE  ULIMI ( ORAL THRUSH )

Kwa kawaida kama ilivyo mdomoni  na ukeni kwamba Fangas hua wanaishi ila sio kwa kiwango kikubwa hivyo ikiwa fangas watakua wengi hapo ndipo tatizo huanzia 
kwa watu wazima huweza kua shida sana kupona kwa tatizo hili ikiwa mtu huyo hafatilii mlo kamili AU Hula aina za dawa ambao huua baadhi ya vimelea ambao wangeweza pambana na tatizo hilo

© tibazakissuna.blogspot.com

kwa watoto ambao hua na ugonjwa huu huweza muambukiza mama ( chuchu ) na kupelekea kuambukizwa kwa wengine watakao nyonya na  dalili zake huleta 
hali ya chuchu kuwasha na kuuma na kuweka kama mngao kwenye chuchu ya mama

kwa fangas wa mdomoni  hushambulia ulimi ( Candida albicans ) japo mara nyingi hushambulia watoto ila hata kwa watu wakubwa hili pia ni tatizo na lina sababishwa na mambo niliyo yataja ikiwa ni pamoja na kuugua HIV na KISUKARI

NJIA GANI YA KUJIHADHARI JUU YA KUJIRUDIA KWA UGONJWA HUU

© tibazakissuna.blogspot.com

kwanza kula vizur sio ule vyakula vitam zaidi

kama unavuta sigara ndugu yangu acha au pombe au ni mpez sana wa kahawa

safisha sana meno yako ya bandia maana bahat mbaya ndugu yangu meno haya yna nafas kubwa ya kuleta ugonjwa huu pia hakikisha una safisha na ulimi unapo osha kinywa

piga mswaki vyema jino hadi jino na akikisha unasafisha baada ya kuosha meno na unapo taka kupiga mswaki  kwa maji ya moto yenye chumvi

© tibazakissuna.blogspot.com

NAMNA YA KUTIBU TATIZO HILI

<#> PENDA SANA KUNYWA MAZIWA YA MGANDO USIWEKE SUKARI

<#> TULIONGELEA TUNDA LA APPLE KAMA TIBA YA VINGI SASA CHUKUA SIKI YA APPLE VIJIKO VIWILI WEKA KWENYE MAJI YA MOTO SUKUTULIA KISHA MEZA MARA BAADA YA DAKIKA KUMI KUISHA FANYA  MARA MBILI KWA SIKU

<#>  CHUKUA MAFUTA YA  NAZI MAFUTA YA KITUNGUU SWAUMU CHANGANYA NA MAFUTA YA MDALASINI 

© tibazakissuna.blogspot.com

<#> KISHA CHUKUA KIJIKO KIMOJA CHA MCHANGANYIKO HUO KISHA HAKIKISHA UNAYAZUNGUSHA KWENYE ULIMI WOTE NA BAADA YA DAKIKA KUMI TEMA INAPENDEZA UKIFANYA ASUBUHI KISHA PIGA MSWAKI NA MAJI YA MOTO 

© tibazakissuna.blogspot.com

< # > UKIKOSA VYOTE BAS CHUKUA KIJIO KIMOJA CHA CHUMVI WEKA KWA MAJI YA MOTO KISHA SUKUTULIA BAADA YA DAKIKA KUMI TENA

0 maoni:

Chapisha Maoni