Jumamosi, 25 Machi 2017

JIAMINI UWE TOFAUTI





KUJIAMINI

KUTOKUJIAMIN KWA MWANAUME NI KITU ASICHO KIPENDA MWANAMKE YOYOTE YULE
KUONDOA HOFU KWANZA  UJUE HOFU YAKO IPO WAPI

*TATIZO*

1⃣  Bahat mbaya hakuna alie wah kutufundisha juu ya tabia za miili yetu kua hujirekodi mambo tuyafanyayo na yanapo jirudia rudia hua ni TABIA za miili yetu sasa unapo fanya PUNYETO mara nying huwez fanya ndan ya dakika 30 ila huishia ndan ya dakika mbil au tatu
Sasa wew ndo unae weza tofautisha kua sasa unafanya punyeto BILA MWANAMKE na sasa unafanya na mkeo kitu hichi mwili hukirekod kama kitu kimoja hivyo unapo fanya na mwanamke unaishia ndan ya dakika 3 maana mwil wako ulishaji program kuishia dakika tatu

® tibazakissuna.blogspot.com
 
2⃣ Inaweza pita siku nzima mwanaume hajasimamisha uume hunywea kitu ambacho kinaweza kua ni sababu moja wapo ya kupungua kwa uume chukulia mfanya mazoez ya kifua pindi anapo jaza mishipa yake ya damu kwa kunyanyua vyuma na anapo acha kupiga chuma hua sawa

3⃣  MWANAUME YOYOTE HUONEKANA KILAZA KAMA HAJUI KUMUANDAA MWANAMKE KWA MDA MREFU kwan hutaweza mfikisha mkeo hata kama ungekua unalo la tembo sanasana utamuumiza na hata taman kukujua tena ima kukutolea maneno ambayo huenda yakakukosesha KUJIAMINI

  *JIBU LETU*

💝ACHA pupa na vuta pumzi ndefu kisha achia taraaatibu unapo taka kuanza mechi kisha jitahidi KUMUANDAA mkeo kwa mda mrefu isipungue dakika 20 hii itasaidia wew kujizuia kufika na kuvumilia pili itasaidia kulainisha zoez utalo enda fanya next time tutatazama kwenye namna ya kumuandaa mkeo

® tibazakissuna.blogspot.com

💞 MKEO KUKUTIBIA

Mkeo ajaribu kuifuta TABIA YA KUWAHI kufika atakacho kifanya atakuchezea mpaka upandishe joto dhakar ifikie hal ya kutaka kutoa manii kisha aache kwa wew kumwambia kua sasa naziskia zinakuja aache dhakar ilainike kias cha kua haijasimama kisha arudie zoez hilo mara tatu au zaid HILI LITAKUSAIDIA pale unapo kua umewahi kufika unakua na uwezo wa kusimamisha na kufanya tena bila kupoteza mda na pia inauwezo wa kukufanya kuzoea msisimko wa kufika tafadhalj usijifanyie wew nina maana yangu kusema ni mwanamke kukufanyia ikiwa hutaweza ni bora utafute mazoez ya uume na pia dawa za kuimarisha uume

💘 AMA KUHUSU UREFU WA UUME 

usipate tab sana juu ya hili pata tabu juu ya pumzi yako na namna ya kumuandaa mwanamke kwan hakika kuna kiongo kimoja cha mwanamke kina mishipa ya faham 8000 ambapo ukipachezea vyema unafaida ya kumfikisha kabla ya jimai na akaridhika kabisa
 
bibi harus hua na urefu wa kuanzia inchi 4 akiwa hajaandaliwa na mpaka inchi 5 au 7 kutegemeana na mtu na maandalizI

na raha ya mwanamke ipo juu inchi 3 au zaidi ntaelezea zaid siku ingine kwamba dhakar ilio pinda kuelekea juu ina athar gan katika kumfiksha mwanamke na hasara gan

ila mwanamke anapo sisimka ndan mwake hujaadam kwenye yale matuta na hapo hua inakaa tayar kuendan na kitacho ingia ikiwa ni kidole kimeingia bas uke hunywea sawa sawa na ukubwa wa kidole kitu ambacho humpa faida ambae ana dhakar ndogo

® tibazakissuna.blogspot.com

ila pia kuhusu dhakar inafanana sana na sindano ile yenye bomba la kat unapo lisukuma hutoa dawa na unapo vuta lile bomba hua na tabia ya kuvuta dawa hivyo hivyo kwa mwanaume alie na umbile dogo huvuta uke kupitia yale maskio yake ya mbele ya uume na kizaz cha mwanamke husogea karib ikiwa kuna hewa bas akiwa anatoa dhakar hutoka na ile hewa ambayo dhakar iliingiza awali
sasa sio juu ya mwanaume KUMFIKIRIA/KUMTOLEA MANENO MABAYA mwanamke kua mbona kuna saut kama kupumua anayo iskia ikitoka kwan wew ndo ulie ingiza upepo na ukautoa (queefing)

NIA SIO KUKUPA ELIM YA ZINAA LAA NI ELIM AMBAYO WENG WANAIDHARAU KWA KUIONEA HAYA AU VINGINE MWISHO WA SIKU HUARIBU NDOA ZAO KWA KUTO KUA NA ELIM SAHIHI

KARIBU ILINDE NDOA YAKO KUJUA ZAIDI

Jumapili, 5 Machi 2017

KWANIN MOTO HAUWAKI TENA



NIMEONA LEO TU TIBU NDOA

KWANIN MOTO  HAUWAKI TENA NA YAPI MADHARA YAKE

Hamna kitu mwanaume huumizwa nacho kama mwanamke kumkatalia pindi anapo omba jimai haswa kama ikiwa teyari alishawah kupewa

Hamna kitu mwanamke huchukia kama jimai bila maandalizi

Nimekua nikistakiwa sana sheikh sasa ni miaka 20, 3 au 12 tupo ndan ya ndoa ila jimai sheikh wangu kupata saa zingine ni mpaka  ulazimishe

sasa nimejiuliza sana kwanini na kama sintalisemea hili bas ndoa nyingi huingia matatizo na mwisho talaka huweza kufatia ambapo ni jambo Mungu asilo lipenda

MWANAUME ni kiumbe ambae sio mzur sana katika mambo ya hisia kitu ambacho huwachanganya sana wanawake
utaskia mwanaume akisifia sana bwana wee mke wangu mjuz sana kwenye kitanda anajui hiki anajua kile aaah wacha tu ananichanganya haswa hata kutoka naona sintaweza kabisa
KITU hiki huwachanganya sana wanawake na kuona kama wanatumika tu kama chombo cha kuwakidhia haja zao lakini kumbe haipo hivyo

MWANAUME hujifunza kupenda kupitia jimai yaan anapo toka kutafuta milango yake yote ya hisia hufunga na hufungua akili kutafuta kufanya hivi mara vile kulipa kodi kupata pesa ya kujenga kibanda yakuwa visha mke na wanawe mara nyingi hisia zake hupotea kabisa HIVYO anapo kuja na kukutana na mkewe HISIA zake huchanua na hapo ndipo akipewa Chakula cha usiku ndipo mapenz yake hukua kwa mkewe na utaona Wengi wa wanaume hupenda mwanamke afike kwanza au askie raha sana ndo na yeye afike

MWANAMKE hupenda sana mawasiliano yaani ili kuweza kupata kiu ya jimai lazima kwanza ajione anapendwa na anahitajiwa yaani sio uje tu nyumban na uombe inatakiwa atleast umtumie meseji mchana umuulize mahabuba umekula nin au njoo sehem flani tule pamoja au txt yoyote ya kumpa furaha na kumchekesha kiasi ajihisi mwanaume wangu ananipenda hapo moyo wake hupata joto na kuchanua kias cha hata ukitaka utapata

SABABU NI NIN SASA JIMAI HUPOTEA

Kuna mtu alishawah kusema MWANAUME ni kama sufuria yaan hupata joto haraka sana unapoweka tu juu ya moto na pia huwah kupoa lakini MWANAMKE ni kama chungu huchukua mda sana kupata joto na pia huchelewa sana kupoa kikisha pata joto

MWANAUME huumia sana anapo kataliwa huona huyu ana mtu au hanipend na mwanaume huchanganyikiwa, anapo katishwa tamaa kua huwez kunifikisha hapa kama fulani, au kuambiwa mzee juma wako ni mdogo au unawahi sana kama kuku
tatizo hua ni namna mwanamke alivyosema laiti angetumia njia ya kumbembelezea na kuto kumkatisha tamaa bas huenda mwanaume huyu asinge jenga chuki ya jimai na KUJIONA kua sio mwanaume mkamilifu kwako na kuanza kutafuta mwanamke mwengine ambae ana mridhia kwa mapangufu aliyo nayo

tibazakissuna.blogspot.com

MWANAMKE hujihisi hapendwi pale anapo jaribu kujipambana na kuvaa vyema jicho lako limuone na husemi lolote anatokea mshamba flan tu ana msifia kila siku kua umeumbika na umzur sana kias cha kuupa joto moyo wake na mwanamke kuangukia kwenye moja kati ya hatua nne za usaliti
jitahidi kumsifia mwanamke wako hata kama hatoki nyumban sifia usafi anao ufanya msifie kwa uimara wa kuwalea wanao mtoe mpeleke sehem hajawahi fika msikilize mtomase tomase sio lazima iwe kwenye mechi hata nje ya kitandan

tibazakisssuna.blogspot.com
TIBA YA TATIZO

JIMAI huyeyusha yote yaliyomo vifuani mwa mwanaume na mwanamke haswa ukiifanya vyema kisha baada ya jimai yaongeeni yataisha asikudanganye mtu kua mwanamke hapendi jimai
mwanamke ana vilele aina 99 achana na G spot A spot C spot zipo nyingi mno ila kubwa ya yote ukumbuke kua mwanamke ulimuangaikia kipindi ukimtaka awe mkeo hivyo angaikia hisia zake ziku ridhie hata ukimsemesha tu kwa mahaba anaweza kufika akijua tu anapendwa na wewe

Mwanamke jua mwanaume hujitahid zaid kukuonyesha mapenz yake nje lakin kubwa ya yote ni jimai hivyo usijione kua ni chombo cha kutumika kua haoni mengine ukiweza vuka mtihan huo hasa kwa kumuelewesha kwa njia laini na ya kumridhisha haswa siku kama haupo sawa kabisa ataelewa na ile hali ya kuona kua humpi nafas ya kukuonyesha upendo itatoweka na mtakua na amani