Jumapili, 5 Machi 2017

KWANIN MOTO HAUWAKI TENA



NIMEONA LEO TU TIBU NDOA

KWANIN MOTO  HAUWAKI TENA NA YAPI MADHARA YAKE

Hamna kitu mwanaume huumizwa nacho kama mwanamke kumkatalia pindi anapo omba jimai haswa kama ikiwa teyari alishawah kupewa

Hamna kitu mwanamke huchukia kama jimai bila maandalizi

Nimekua nikistakiwa sana sheikh sasa ni miaka 20, 3 au 12 tupo ndan ya ndoa ila jimai sheikh wangu kupata saa zingine ni mpaka  ulazimishe

sasa nimejiuliza sana kwanini na kama sintalisemea hili bas ndoa nyingi huingia matatizo na mwisho talaka huweza kufatia ambapo ni jambo Mungu asilo lipenda

MWANAUME ni kiumbe ambae sio mzur sana katika mambo ya hisia kitu ambacho huwachanganya sana wanawake
utaskia mwanaume akisifia sana bwana wee mke wangu mjuz sana kwenye kitanda anajui hiki anajua kile aaah wacha tu ananichanganya haswa hata kutoka naona sintaweza kabisa
KITU hiki huwachanganya sana wanawake na kuona kama wanatumika tu kama chombo cha kuwakidhia haja zao lakini kumbe haipo hivyo

MWANAUME hujifunza kupenda kupitia jimai yaan anapo toka kutafuta milango yake yote ya hisia hufunga na hufungua akili kutafuta kufanya hivi mara vile kulipa kodi kupata pesa ya kujenga kibanda yakuwa visha mke na wanawe mara nyingi hisia zake hupotea kabisa HIVYO anapo kuja na kukutana na mkewe HISIA zake huchanua na hapo ndipo akipewa Chakula cha usiku ndipo mapenz yake hukua kwa mkewe na utaona Wengi wa wanaume hupenda mwanamke afike kwanza au askie raha sana ndo na yeye afike

MWANAMKE hupenda sana mawasiliano yaani ili kuweza kupata kiu ya jimai lazima kwanza ajione anapendwa na anahitajiwa yaani sio uje tu nyumban na uombe inatakiwa atleast umtumie meseji mchana umuulize mahabuba umekula nin au njoo sehem flani tule pamoja au txt yoyote ya kumpa furaha na kumchekesha kiasi ajihisi mwanaume wangu ananipenda hapo moyo wake hupata joto na kuchanua kias cha hata ukitaka utapata

SABABU NI NIN SASA JIMAI HUPOTEA

Kuna mtu alishawah kusema MWANAUME ni kama sufuria yaan hupata joto haraka sana unapoweka tu juu ya moto na pia huwah kupoa lakini MWANAMKE ni kama chungu huchukua mda sana kupata joto na pia huchelewa sana kupoa kikisha pata joto

MWANAUME huumia sana anapo kataliwa huona huyu ana mtu au hanipend na mwanaume huchanganyikiwa, anapo katishwa tamaa kua huwez kunifikisha hapa kama fulani, au kuambiwa mzee juma wako ni mdogo au unawahi sana kama kuku
tatizo hua ni namna mwanamke alivyosema laiti angetumia njia ya kumbembelezea na kuto kumkatisha tamaa bas huenda mwanaume huyu asinge jenga chuki ya jimai na KUJIONA kua sio mwanaume mkamilifu kwako na kuanza kutafuta mwanamke mwengine ambae ana mridhia kwa mapangufu aliyo nayo

tibazakissuna.blogspot.com

MWANAMKE hujihisi hapendwi pale anapo jaribu kujipambana na kuvaa vyema jicho lako limuone na husemi lolote anatokea mshamba flan tu ana msifia kila siku kua umeumbika na umzur sana kias cha kuupa joto moyo wake na mwanamke kuangukia kwenye moja kati ya hatua nne za usaliti
jitahidi kumsifia mwanamke wako hata kama hatoki nyumban sifia usafi anao ufanya msifie kwa uimara wa kuwalea wanao mtoe mpeleke sehem hajawahi fika msikilize mtomase tomase sio lazima iwe kwenye mechi hata nje ya kitandan

tibazakisssuna.blogspot.com
TIBA YA TATIZO

JIMAI huyeyusha yote yaliyomo vifuani mwa mwanaume na mwanamke haswa ukiifanya vyema kisha baada ya jimai yaongeeni yataisha asikudanganye mtu kua mwanamke hapendi jimai
mwanamke ana vilele aina 99 achana na G spot A spot C spot zipo nyingi mno ila kubwa ya yote ukumbuke kua mwanamke ulimuangaikia kipindi ukimtaka awe mkeo hivyo angaikia hisia zake ziku ridhie hata ukimsemesha tu kwa mahaba anaweza kufika akijua tu anapendwa na wewe

Mwanamke jua mwanaume hujitahid zaid kukuonyesha mapenz yake nje lakin kubwa ya yote ni jimai hivyo usijione kua ni chombo cha kutumika kua haoni mengine ukiweza vuka mtihan huo hasa kwa kumuelewesha kwa njia laini na ya kumridhisha haswa siku kama haupo sawa kabisa ataelewa na ile hali ya kuona kua humpi nafas ya kukuonyesha upendo itatoweka na mtakua na amani


0 maoni:

Chapisha Maoni