Ijumaa, 29 Aprili 2016

KWANIN UNANENEPA HALI YA KUWA UNA UMWA


 


KWANIN UUMWE HUKU UNANENEPA ??

Uchawi uitwao Ghaasiq huu ni uchawi miongoni mwa aina 410 za uchawi zilizopo duniani. Na uchawi huu ukikufika unaweza kupata shida sina kwa sababu unashikiliwa na mjini aina mbili.

1) Zawaabil 

2) Swaariu majini 

hawa pia hushika uchawi aina ya Naafith. 
ila leo tuangalie ghaasiq ambao umetajwa pia katika SUURAT L FALAQ Wamin sharri ghaasiqin idhaa waqaba

uchawi huu mara nyingi hukaa katika INI na mtu mwili hushindwa kufanya detoxification  hivyo husababisha hali ya mwili kuvimba pamoja na ganzi pia hupanda hadi moyoni na mtu kuwa na hali kama cholesterol 

kisha ugonjwa huu humfanya mtu kuwa ngozi yenye vipele vingi visivyo sikia dawa pamoja na kuharibika kwa ngozi kama mtu mwenye fangas au ugonjwa wa zinaa. na ukumbuke ugonjwa wa fangas HUAMBUKIZA lakini mwenye sihri hii huwa fangas zake haziambukizi kwa mwenza wake. 

uchawi huu ukiwa nao huwa haonekani ugonjwa hospitali. ndipo madaktar huweza kutumia kuhisi na kukupa midonge bila mpangilio mwishowe ukaua ini au kongosho ukapata uti sugu au sukari. hapo ndipo ugonjwa huja kuonekana dakika za majeruhi na wauguzi kujiona wazembe au kutukana madaktari.
 utajuaje kama jini akusumbuaye ni Swaariu ili uujue uchawi wa ghaasiq? 
rejea blog yetu ya tibazakissuna.blogspot.com tiba yake nini? 

watu hudhani kama vile kutibia maradhi ya kichawi ni kitu chepesi. hapana ni kazi ngumu na huweza kugharimu pesa nyingi sana. 

TIBA YAKE

ufanyiwe visomo vya Muhlikaat ambapo wanye kazi yao wanavijua na kama huvijui mfate anaye jua. 

pili upate

1 rawandi 
2 msigi 
3 mwingwa jini 
4 mfulet 
5 msharifu 
6 haijal 
7 faijal 

changanya zote hali ni unga na uzingatie wengi huuziwa MKUMBI badala ya mwingwa jini. uwe makini kunywa siku zote utakazo fanyiwa kisomo mpaka siku ya 19 utakuwa umepona in shaa Allah

tibazakissuna.blogspot.com


Alhamisi, 14 Aprili 2016

KUHARIBIKA KWA MIMBA



TATIZO LA UHARIBIKAJI WA MIMBA CHINI YA MIEZI MINNE

Kwa huzuni kubwa

Kuelezea tatizo hili ni kuigusa jamii
Leo wapo watu walio kata tamaa na uzazi kwa khofu kuwa hawawezi tena kuzaa.
Lakini nini tatizo mpaka kufikia huzuni na ukataji tamaa?
Ni kutokana na kukosa tiba sahihi ya kutokemeza tatizo hili ambalo linakosa msaada wa kisayansi
Tatizo la kuharibiwa mimba chini ya MIENZI MINNE ni tofauti sana na lile la kutoka Mimba iliyo vuka MIENZI SABA
Tatizo hili husababishwa na aina majini wajulikanao kama الجن طيور
Ama ukiongea kuhusu majini hawa TWUYUUR huwa ni wale majini ambao wengi wake wana dini ya kiyahudi na ndiyo maana ukiwasomea Quran huwa jeuri sana
Majini hawa mtu mwenye kuwa nao huwa na tabia hizi
 
1) akilala huota anapaa angani

2) huwa hapendi ibada bila sababu za msingi

3) hulala bila sababu panapo ongelewa dini

4) hapendi maongezi ya dini dini

Na mwenye majini aina hii huwa na tabu sana kwa sababu huwa anapoteza hisia za mapenzi
Pia jini huyu huwa ana tabia ya kupenda kujitokeza wazi kwa binaadam akiwa kama binaadam

Na mwenye kusibiwa na jini huyu huwa na tabia hizi
tibazakissuna.blogspot.com

1) kuhisi mtu pamoja naye hali hakuna mtu

2) kukutokea kama mtu unaye fahamiana kisha kutoweka

3) kuwa na tabia za kukaa na kukosa amani

4)  kulala na kuhisi umelala na mtu. 

Pia ukiongelea kuhusu hawa majini basi unaongelea jambo adhim mno, kwa sababu jini twuyuur kama ni mahaba huwa na tabia za kukujia na kufanya mapenzi ya wazi kama mtu na mtu bila kupitia ndoto
Na ndiyo mtu mwenye jini huyu akipata mimba basi mimba hiyo huharibika kabla ya miezi minne
Na siku ambayo mimba huharibika huwa mwenye mimba anapata ndoto ya kuonyesha mimba kuharibika au mstuko usingizini akiwa ndotoni na akistuka hustuka akiwa katika hedhi na mimba imeharibika
tibazakissuna.blogspot.com

+255784638989
الشيخ إيل


Jumatatu, 4 Aprili 2016

FANGASI


LEO KWA UCHACHE TUTAANGALIA FANGAS ZA SEHEMU ZA SIRI AMBAPO KILA MMOJA KATIKA MAISHA YETU HUENDA AMESHAWAHI KUPISHANA NA UGONJWA HUU

candidiasis ni ugonjwa unao sababishwa na ongezeko kubwa la yeast katika mwili ambapo huitwa candida albicans japo kwa kawaida mwanadamu hua na yeast ila kwa kiwango cha chini ikiwa ni kinga kwa baadhi ya magonjwa ila ongezeko hilo huweza kuwepo kwa baadhi ya sababu kama vile
 baadhi ya madawa, kushuka kwa kinga ya mwili kuwa na ujauzito,kula vyakula vya sukari na mengine.

KWA WANAUME

kwa wanaume sio mara nying sana huwakumba ugonjwa huu ikumbukwe kwamba fangas hupenda sana mazingira ya joto na unyevunyevu hivyo kwa mwanaume alie kwenda SUNNAH( KUTAIRIWA )  uume wake hupata upepo na kupelekea ukavu tofauti na ambao hawajaenda sunnah ile ngozi huifadhi unyevunyevu na joto na kusababisha fangas wa ngozi

hata hivyo fangasi pia huweza ingia kwa mfumo wa njia ya mkojo na mara chache sana kuingia mpaka kwenye kende mbili na huleta madhara 

utajua upo kwenye shida pale unapo kojoa na kuona hali ya muwasho kama wa wanawake wenye fangasi.

KWA MWANAMKE

Tatizo hili ni sugu sana kwa wanawake wengi ila sio rahisi kwa wao kusema 
kama nilivyosema yeast huwepo kwenye uke ila tatizo ni pale wanapo kua kwa wingi na lactobacillus bacteria kushindwa kuwa control ambapo huleta tatizo 

japo na hivyo wapo fangas ambao huletwa kwa maambukizi ya jimai na na uchafu  hawa kutibiwa husumbua maana kuna ambao huingia mpaka kwenye damu na wengine hua nje ya mwili ni aina tofauti.

tibazakissuna.blogspot.com

DALILI ZA UGONJWA

KUWASHWA SANA SEHEMU ZA SIRI

KUTOKWA NA MAJI MAJI MAZITO KAMA MAZIWA AU MAJI  MEPESI YA RANGI NYEUPE AU BROWN NA MARA NYINGI HUA NA HARUFU

KUVIMBA UKE  

KUTOKWA VIDONDA 


KUSKIA MAUMIVU KWA MWANAMKE HASWA AKIINGILIWA

tibazakissuna.blogspot.com


USHAURI 

(( A ))   HAKIKISHA UNAVAA NGUO ZENYE MATERIAL YA PAMBA ILI KUKAUSHA MAJI MAJI YA JASHO  

(( B ))    NYOA NYWELE SEHEMU ZA SIRI KUZIACHA  NYWELE  HUPELEKEA KUKAA KWA MAJI MAJI NA UKIVAA NGUO HULETA JOTO JOTO NA FANGAS HUJITENGENEZA  

(( C ))   PASI AU ANIKA NGUO ZAKO KWENYE JUA NA OSHA NGUO ZA NDAN KWA MAJI YA MOTO  

(( D ))    KUNYWA MAZIWA YA MGANDO MARA KWA MARA  

(( E ))    USIKALIE KANGA/TAULO MBICHI UKIWA UMETOKA KUOGA  

(( F ))    ANGALIA KUNA BAADHI YA WANAWAKE WANAUME ZAO WAKITUMIA MIPIRA( CONDOM ) WAO HUPATA MADHARA YA FANGAS NA MATATIZO MENGINE  

(( G ))   ANGALIA PEDI UNAYO TUMIA HUENDA HUENDANI NAYO KUNA MTU ALITUMIA DAWA ZOTE LAKIN NILIPO MWAMBIA ABADILISHE PEDI YA AINA ANAYO TUMIA KAPONA
*$*   KAMA UTATUMIA DAWA ZOTE NA HUPONI JIULIZE AU ANGALIA JE NINAE SHIRIKI NAE TENDO LA NDOA ANAO UGONJWA HUO ULIO NAO MAANA FANGAS ZA KICHAWI HAZIAMBUKIZI JAPO HUA NA DALILI HIZO HIZO ZA FANGAS INGAWA 

tibazakissuna.blogspot.com
}} FANGASI ZA UCHAWI 

HUWASHA NA KUPASUA PASUA NGOZI HASWA PALE UNAPO PAKUNA

UTAHISI VITU KUTEMBEA TEMBEA KWENYE NGOZI HIYO 

>> MSAADA WA KWANZA 

tibazakissuna.blogspot.com

 TUMIA MAFUTA YA NAZI CHANGANYA NA MAFUTA YA HABAT SAUDA KUPAKAA SEHEMU ZILIZO ATHIRIKA NA PIA WAKATI WA JIMAI 

MSAADA WA PILI NI BORA TUONANE UPATE TIBA KAMILI IKIWA NI PAMOJA NA KUTUMIA DAWA INAYO TIBU FANGASI YA MWILINI NA AMBAYO IMESABABISHWA NA UCHAWI.

Jumamosi, 2 Aprili 2016

UMUHIMU WA DUA NYUMBANI





Assalaam alaykum Ndugu zangu kwa kweli kuna mambo yanaweza kutokea na usiamini kibinaadam Kuna nyumba ilikuwa na shida na watu wake kulala usingizi wa MARUERUE NA MAUZAUZA ( usingizi usio na amani ).

sasa mwenye nyumba akaniomba nikamfanyie dua nyumbani kwake Jana usiku nilikwenda kwake mida yaa SAA NNE USIKU. 

Baada ya kufanya DUA na kutumia BUGHULI KALI  kuna Mtoto akaanza kupata kichefuchefu, tukampa dawa ya SWIHAT SHIFAA , 

yule Mtoto akatapika TANDU MZIMA lakini hana miguu. 

Hii ni kuonyesha ni umuhimu gan upo kwenye kufanya DUA haswa kwa familia zetu ikiwa unaona shari inakuzunguka kutokana na hasadi za kibinaadamu

Sikuweza kupata video kwa sababu halikuwa jambo la kutarajia kama kitatokea kitu gani 
Ila hizi ni picha za tandu na Mtoto aliye tapika hatumuweki picha ya USONI sababu mzazi wake ni mtu maarufu kiasi

Hakupenda mwanae aonekane sura Ila ni jambo lililo staajabisha sana 

 +255 784 638 989
الشيخ ءيل