Jumatatu, 4 Aprili 2016

FANGASI


LEO KWA UCHACHE TUTAANGALIA FANGAS ZA SEHEMU ZA SIRI AMBAPO KILA MMOJA KATIKA MAISHA YETU HUENDA AMESHAWAHI KUPISHANA NA UGONJWA HUU

candidiasis ni ugonjwa unao sababishwa na ongezeko kubwa la yeast katika mwili ambapo huitwa candida albicans japo kwa kawaida mwanadamu hua na yeast ila kwa kiwango cha chini ikiwa ni kinga kwa baadhi ya magonjwa ila ongezeko hilo huweza kuwepo kwa baadhi ya sababu kama vile
 baadhi ya madawa, kushuka kwa kinga ya mwili kuwa na ujauzito,kula vyakula vya sukari na mengine.

KWA WANAUME

kwa wanaume sio mara nying sana huwakumba ugonjwa huu ikumbukwe kwamba fangas hupenda sana mazingira ya joto na unyevunyevu hivyo kwa mwanaume alie kwenda SUNNAH( KUTAIRIWA )  uume wake hupata upepo na kupelekea ukavu tofauti na ambao hawajaenda sunnah ile ngozi huifadhi unyevunyevu na joto na kusababisha fangas wa ngozi

hata hivyo fangasi pia huweza ingia kwa mfumo wa njia ya mkojo na mara chache sana kuingia mpaka kwenye kende mbili na huleta madhara 

utajua upo kwenye shida pale unapo kojoa na kuona hali ya muwasho kama wa wanawake wenye fangasi.

KWA MWANAMKE

Tatizo hili ni sugu sana kwa wanawake wengi ila sio rahisi kwa wao kusema 
kama nilivyosema yeast huwepo kwenye uke ila tatizo ni pale wanapo kua kwa wingi na lactobacillus bacteria kushindwa kuwa control ambapo huleta tatizo 

japo na hivyo wapo fangas ambao huletwa kwa maambukizi ya jimai na na uchafu  hawa kutibiwa husumbua maana kuna ambao huingia mpaka kwenye damu na wengine hua nje ya mwili ni aina tofauti.

tibazakissuna.blogspot.com

DALILI ZA UGONJWA

KUWASHWA SANA SEHEMU ZA SIRI

KUTOKWA NA MAJI MAJI MAZITO KAMA MAZIWA AU MAJI  MEPESI YA RANGI NYEUPE AU BROWN NA MARA NYINGI HUA NA HARUFU

KUVIMBA UKE  

KUTOKWA VIDONDA 


KUSKIA MAUMIVU KWA MWANAMKE HASWA AKIINGILIWA

tibazakissuna.blogspot.com


USHAURI 

(( A ))   HAKIKISHA UNAVAA NGUO ZENYE MATERIAL YA PAMBA ILI KUKAUSHA MAJI MAJI YA JASHO  

(( B ))    NYOA NYWELE SEHEMU ZA SIRI KUZIACHA  NYWELE  HUPELEKEA KUKAA KWA MAJI MAJI NA UKIVAA NGUO HULETA JOTO JOTO NA FANGAS HUJITENGENEZA  

(( C ))   PASI AU ANIKA NGUO ZAKO KWENYE JUA NA OSHA NGUO ZA NDAN KWA MAJI YA MOTO  

(( D ))    KUNYWA MAZIWA YA MGANDO MARA KWA MARA  

(( E ))    USIKALIE KANGA/TAULO MBICHI UKIWA UMETOKA KUOGA  

(( F ))    ANGALIA KUNA BAADHI YA WANAWAKE WANAUME ZAO WAKITUMIA MIPIRA( CONDOM ) WAO HUPATA MADHARA YA FANGAS NA MATATIZO MENGINE  

(( G ))   ANGALIA PEDI UNAYO TUMIA HUENDA HUENDANI NAYO KUNA MTU ALITUMIA DAWA ZOTE LAKIN NILIPO MWAMBIA ABADILISHE PEDI YA AINA ANAYO TUMIA KAPONA
*$*   KAMA UTATUMIA DAWA ZOTE NA HUPONI JIULIZE AU ANGALIA JE NINAE SHIRIKI NAE TENDO LA NDOA ANAO UGONJWA HUO ULIO NAO MAANA FANGAS ZA KICHAWI HAZIAMBUKIZI JAPO HUA NA DALILI HIZO HIZO ZA FANGAS INGAWA 

tibazakissuna.blogspot.com
}} FANGASI ZA UCHAWI 

HUWASHA NA KUPASUA PASUA NGOZI HASWA PALE UNAPO PAKUNA

UTAHISI VITU KUTEMBEA TEMBEA KWENYE NGOZI HIYO 

>> MSAADA WA KWANZA 

tibazakissuna.blogspot.com

 TUMIA MAFUTA YA NAZI CHANGANYA NA MAFUTA YA HABAT SAUDA KUPAKAA SEHEMU ZILIZO ATHIRIKA NA PIA WAKATI WA JIMAI 

MSAADA WA PILI NI BORA TUONANE UPATE TIBA KAMILI IKIWA NI PAMOJA NA KUTUMIA DAWA INAYO TIBU FANGASI YA MWILINI NA AMBAYO IMESABABISHWA NA UCHAWI.

0 maoni:

Chapisha Maoni