Jumamosi, 19 Julai 2014

NGUVU ZA KIUME




TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

MADA YA LEO ITAHUSIANA NA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii zetu waathirika wakubwa wakiwa vijana 

Tatizo hili limegawanyika kwa aina mbali mbali kutegemeana sana na chanzo cha tatizo

tibazakissuna.blogspot.com

AINA ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA SABABU

(( 1 )) KUWAHI KUFIKA / KUMWAGA MANII UPESI

Weng wamekua wakiuliza ni kiwango gan cha muda kinasema kwamba nina tatizo la kuwahi kufika
kiukweli ni chini ya dakika TANO ILA SABABU HUA NI

KISAIKOLOGIA
  • HOFU NA PUPA: hii hutokea pale ambapo Mwanaume hupatwa na tamaa haswa ya jimai na kushindwa kujizuia, humpelekea kumaliza mapema chini ya dakika mbili na kushindwa kusimamisha dhakari hivyo HOFU huingia na kuzuia mawazo ya msisimko wa tendo na kusababisha dhakari kusinyaa
  • KUPOTEZA MSISIMKO: Hii hutokana na kupoteza hamasa ya tendo kwa yule unae fanya nae ama akili kutokusisimka kutokana na Utendaji Mbaya wa Jimai ulio pita pia Msongo Wa Mawazo kutokana na matatizo ya kimaisha au kuto kumridhia unae fanya nae.
KIMWILI
  • UDHAIFU WA MISHIPA YA PUBOCOCCYGEUS (PC):
Kama Misuli ya Pubococcygeus (pc) ikiwa dhaifu humpelekea mwanaume kushindwa kujizuia kutokana na kufika upesi na pia humfanya mwanaume ashindwe kua na nguvu za kunyanyua dhakari pindi inapo sinyaa 
  • MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI
 Kwa wenye majini mahaba mara nyingi halii hii huwatokea yaani anasimamisha vizur ila sasa akisogelea MLANGO WA OFISI TU mzee analala kabisa au MZEE HUTAPIKA HAPO HAPO MLANGONI AU AKISHA INGIA TU HACHUKUI DAKIKA MBILI sas maradhi ya aina hii ni vyema sana ukanitafuta tuongee vyema tujue ni jini au ni uchawi


(( 2 )) KUCHELEWA KUFIKA KILELE / KUCHELEWA KUMWAGA MANII

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

 Wakat wapo watu wanalia kuhusu kuwahi kufika wapo watu ambao wanaweza kwenda hata dakika 35 bila kupata goli hata moja  hili pia ni tatizo la nguvu za kiume NA SABABU ZAKE HUA NI


  • KUPIGA PUNYETO ( masturbation ) SANA NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO
 Watu wataniuliza mbona wataalamu husema kufanya hivyo kuna pelekea ufike haraka JIBU ni hutegemeana na mfanyaji na anavyo fanya maana kichwa cha uume ndo kimebeba hisia ( sensitiveness ) hivyo mtu anaposugua kile kichwa kwa nguvu ya KIGANJA  mpaka kufika hupelekea kichwa kile kua na hali ya USUGU ( NUMB ) kiasi ambacho akikutana na mwanamke huitaji kutumia nguvu ya ziada kuweza kupata msuguano sawasawa na ule wa mkono ili aweze kufika

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM


  • KUTUMIA DAWA NA KUFANYIWA UPASUAJI WA KENDE MBILI
Kuna baadhi yetu wenye maradhi ya KISUKARI, PRESSURE YA KUPANDA NA ALLERGY mara nying dawa zao hupelekea tatizo hili hivyo vyema ukiwa na shida hii uongee na daktar wako akubadilishie dawa
 Kuhusu operation za kende kwa wale walio fanyiwa naamin madktar walisha waarifu tatizo la kuto kumwaga au kumwaga hewa lipo kwa upande wao

hata wenye KUENDESHA BAISKELI kwa mda mrefu sana jambo hili HUENDA likawatokea

MATIBABU

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT 
  • TANGAWIZI - Chemsha Tangawizi gramu 100 kwa maji lita moja na nusu baada ya kuchemsha haswa changanya na asali lita moja .
    Matumizi - vijiko vitatu asubuhi na jioni
  • MAFUTA YA KHARDAR NA UNGA WAKE - chukua mafuta ya khardar changanya na unga wake kisha chua Dhakari kila unapo taka kulala pia hukuza dhakar na kuipa nguvu haswa

Jumanne, 8 Julai 2014

TIBA YA MTOTO WA JICHO



KUHUSU MTOTO WA JICHO HILI TATIZO LINA SABABU NYINGI SANA.

kwani mtu anaweza kupatwa na mtoto wa jicho kwa kuhusudiwa na sihri au majini, lakini tiba yake ni nyepesi kwa maana haina gharama.

MATIBABU

© tibazakissuna.blogspot.com

Chukua  TOTO LA NDIZI
halafu kwanyua lile gamba lake moja na kupata UTOMVU wa lile toto la ndizi.

kisha ule utomvu DONDOSHE  katika JICHO na utapata MAUMIVU maana inauma sana, ukisha weka tu NENDA KALALE.
ukiamka utakuta uchafu mwingi sana

UTADUMU KUFANYA HIVYO KWA WIKI MOJA.
JICHO litakuwa safi na salama.

ALLAH MJUZI ZAIDI

BAADHI YA MASWALI YA NDOA




KATIKA MAISHA JAMBO ZITO NA AMBALO LINA NAFASI KUBWA BAINA YETU NI KUA NA MWENZA WA MAISHA YAANI KUA NA MUME AU MKE AMBAE UTADUMU NAE NA ATAKUPA WATOTO NA PIA ATA KUSHAURI NAMNA YA KUJENGA MAISHA NA KUA NA FAMILIA BORA

©tibazakissuna.blogspot.com

MASWALI MENGI NINAYO ULIZWA NA WANAWAKE NI

>> MBONA KILA MWANAUME NINAE KUA NAE IKIFIKIA SWALA LA NDOA ANAPOTEA JAPO ATATOA MPAKA MAHARI

>>KWANIN NIKILALA NA MWANAUME TU HUTOKEA HALI YA MIMI KUMCHUKIA NA TUNAACHANA

>>MBONA NIKIJICHEZEA NAFIKA NA HATA KWENYE NDOTO PIA NAFIKA ILA MUME WANGU AKINITAKA NAMCHUKIA NA HATA KUNIFIKISHA HANIFIKISHI

>> KWANINI SIKU HIZI SIPAT HATA MWANAUME WA KUNIOMBA UCHUMBA

>> KWANINI CHUNUSI ZANGU HAZIISHI USONI NIMETUMIA KILA AINA YA DAWA LaKINI BADO ZIPO

KWA KAKA ZANGU 

©TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

>> NINAPO KUA NA MUANDAA MKE WANGU UUME HUA SAWA ILA NIKITAKA KUMUINGILIA TU UUME HUNYWEA TATIZO NI NINI

>>KWANINI NIMEKUA NIKIWAOGOPA SANA WANAWAKE NA NAPENDA KUFANYA MUSTARBATION NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

>> SI MWANAMKE WALA SIO KAZI HAKUNA NINACHOPATA NA NIKILALA NAOTA NAANGUKA KUTOKA SEHEMU ILIO JUU NA KUANGUKA UMBALI MREFU SANA

© tibazakissuna.blogspot.com

JAPO MATATIZO HAYA YANAWEZA KUA YA KISAIKOLOGIA AU KUTOKUA NA MBINU SAHIHI ZA KUKABILIANA NA HALI HALISI YA KILE UNACHO KITAKA ILA PIA NI MUHIMU KUJUA KWAMBA KAMA UMEFANYA JITIHADA ZA KUTOSHA KATIKA HAYA NA BADO JAMBO HILO LIPO BASI JUA HUENDA UNA MATATIZO MENGINE HASWA YANAYO SABABISHWA NA JINI MWENYE KULETA NUKSI AINA YA ANKIS 

©tibazakissuna.blogspot.com 

ILI KUJUA KAMA SIO SAIKOLOGIA BAS NI MUHIMU KUCHUNGUZA NDOTO ZAKO MAANA NDO DIRA YA MAISHA YAKO YA KIROHO AMBAPO HUKUELEZEA MAGONJWA YANAYO KUSIBU AMBAYO HOSPITALI HUWEZ KUYAONA

TIBA YA KUMUACHISHA KIKOJOZI



TUKIONGELEA SUALA LA UKOJOZI NI JAMBO ZITO MNO,
kwani huweza kuathiri sana akili ya mtu na kusaabisha uduni wa utendaji na maendeleo. na inaweza kusababisha mtu akashindwa kuingia jukumu la ndoa kwa kuhofia aibu na udhalili iwapo mwenza wake akakosa subira.


NINI SABABU YA UKOJOZI ?

    1) ni matatizo ya kibofu cha mkojo kwa mtu kuwa na kazi nyingi na kushindwa kunywa maji mchana, matokeo anakunywa usiku maji mengi na kulala. sasa kwa uchovu wa pilikapilika na ukosefu wa mawasiliano ya ubongo hufanya mtu kojo limtoke bila kujijua.

  2) majini aina ya subian hao humfanya mtu akawa anaota tukio mfano wa mchezo au safari na kisha kuhitaji kujisaidia akimaliza kujisaidia basi huamka usingizini na kukuta kakojoa kitandani.

TIBA YAKE

©tibazakissuna.blogspot.com
kwa kikojozi mwenye tatizo la figo au kibofu cha mkojo, yeye achukue dawa iitwayo KUSTI.

kisha atatwanga na kupata unga, 
halafu anachota ujazo wa KIJIKO KIKUBWA cha chakula na kuweka katika UJII USIO NA SUKARI halafu anakunywa,

Atadumu kwa siku 21, na ataacha kabisa ukojozi na magodoro yatasalimika.

kama ukojozi wa MAJINI apate MAFUTA ya NYANGUMI na ZAYTUNI awe anapakaa kila wakati wa kulala kwa MWENZI MZIMA na kufanyiwa KISOMO cha siku 3.

ALLAH MJUZI ZAIDI

Jumatatu, 7 Julai 2014

TIBA KWA ASIYE SHIKA UJAUZITO





WENGI HUTESEKA KWA KUKOSA UJAUZITO  HUANGAIKA KUPIMA NA VIPIMO KUONYESHA KUA HAWANA TATIZO LOLOTE KATIKA UZAZI 

LAKINI SAA ZINGINE HUA SABABU NI KIZAZI KUA MBALI AU HORMONAL IMBALANCE (HOMONI KUTOKUA SAWA)
WENGI WAMEPATA UJAUZITO KWA KUTUMIA DAWA HIZI

 MATUMIZI KWA HOMONI:




©tibazakissuna.blogspot.com
 
MBEGU ZA HALIDALI ZILIZO TWANGWA TWANGWA 100 GRAMS

ASALI ORIGINAL 25 CENTILITRE

UTAZICHANGANYA NA KUZIACHA KWA MASAA 24 

NDANI YA SIKU YA PILI UTACHANGANYA ULE MCHANGANYIKO WA ASALI NA MBEGU ZA HALIDALI NA MAFUTA YA ZAITUNI UTAACHA  IJICHANGANYE TENA KWA MASAA 24 

KISHA UTAKUWA UNA KUNYWA VIJIKO VITATU ASUBUHI KABLA YA CHOCHOTE NA USIKU VIJIKO VITATU PINDI UNAPO TAKA KULALA NDANI YA MIENZI SITA WENGI WAMEONA MATOKEO NDANI YA MIENZI 3

 NA KAMA NI KIZAZI KUA MBALI 

BASI ATUMIE MUJJARABU KATIKA UJI WA DONA KUSOGEZA KIZAZI

 

TIKITIKI MAJI




Leo tutaona faida zaid za TIKITIKI MAJI kwa mujibu wa TIBA ZA KISUNA
MTUME (s.a.w) amesema kuna aina mbili za elimu moja ya DINI nyingine ya MWILI.
Pindi unapo kula tunda unashauriwa kula TIKITIKI MAJI kwani ni tunda la peponi
MTUME (s.a.w) alikua akila TIKITIKI MAJI akichanganya na TENDE

FAIDA ZA TIKI TIKI MAJI

© tibazakissuna.blogspot.com

MTUME (saw) amesema hakutakua na moja kati ya wake zenu ambae atakula MATIKITI MAJI asijifungue MTOTO alie na AFYA njema na AKILI. Na Wanasayansi wameithibitisha kauli kua ni KWELI  (2003 study in the International Journal of Gynecology)

Husaidia kuondoa kiungulia kwa Mama wajawazito Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na ujauzito

Lycopene hutolewa na Matikitiki  ambayo Huondoa hatari ya kutokupata mimba (pre-eclampsia) au mimba kuharibika

Husafisha KIBOFU CHA MKOJO huondoa harufu mbaya UKENI ukila kwa wingi ILA ISIPITE KIWANGO na pia kukulinda na cancer 

Lycopene hutolewa na Matikitiki husaidia kuimarisha Mbegu za Kiume

Hupunguza unene na kitambi (obesity) 




Jumapili, 6 Julai 2014

JITIBU KWA KITABU



ASSALLAM ALLYKUM,
 Huwa najiuliza kwanini Uteseke na magonjwa ya kishetan mpaka ukafikia kumkufuru Mola wako ili hali unaweza chukua jukumu la kujua namna ya kujitibu mwenyewe bila kupoteza pesa kwa Waganga
Soma ili ujifunze na kusaidia NDUGU FAMILIA NA RAFIKI ZAKO maana kitabu hiki 

KINAONGELEA

AINA ZA MAJINI NA TOFAUTI ZAO

MAJINI WANAO SABABISHA MARADHI 

DUA ZA KUJIKINGA NA MABALAA NA ZA KUOMBA KUONDOSHA BALAA

JINSI YA KUYATOA MAJINI MACHAFU KWA VISOMO NA PIA DAWA ZA KUYACHOMA NA KUYAFUKUZA MASHETANI KUTOKANA NA DALILI AMBAZO ZITAKUELEKEZA NI SHETAN WA AINA GANI NA NAMNA YA KUMTOA .

ILI KUKIPATA KITABU HIKI TUWASILIANE

+255 655 826 838

+255 713 826 838


Jumamosi, 5 Julai 2014

SWALI NA MAJIBU YAKE




Je mwanamke asiyekuwa na hamu ya tendo la ndoa je?pia hafki hata kilelen,pamoja na kupata maumv wakat wa tendo atumie dawa gan shekh?



Waalaykuma salaam. mwanamke ambaye hafiki kileleni na hana hamu ya tendo la ndoa pamoja na kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa,huyo ana Majini Mahaba.
Itabidi atumie mafuta ya Zaytuna yakiwa na mchanganyo wa mafuta ya Vitunguu Thaumu Kisha apake Ukeni kabla ya tendo la ndoa. na kila anapo taka kulala. 
lakini Majini hawato toka ila atapata ladha ya tendo hilo. na ili apone kabisa basi afanyiwe VISOMO na mafuta hayo apakae siku 33
 

UZAZI WA MPANGO



TUNAPOONGELEA UZAZI WA MPANGO SI KOSA KATIKA UISLAM, NA UNAWEZA KUPANGA UZAZI KWA MUJIBU WA SHERIA YA UISLAM BILA KUPATA ATHARI MTUMIAJI ni tofauti na njia za kisasa ziitwazo nyota ya kijani kutumia mjia ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwa mtumiaji. chukua HALILINJI. KUMBUKA HALILINJI  SIYO  HALINJI.

 MATUMIZI

© tibazakissuna.blogspot.com
Utachukua mbegu TATU ZA HALILINJ pamoja na kipande kimoja cha KARAFUU MAITI. kisha utachemsha kwa maji ml 750. yachemke pamoja na dawa hizo yani karafuu mait na halilinji. moaka yakauke yabaki ml 250. kisha utakunywa ile siku uliyo maliza hedhi. 

BAADA YA HAPO UTASUBIRI MPAKA UINGIE HEDHI YA KWANZA HUTO KUNYWA NA YA PILI HUTO KUNYWA ILA UKIINGIA YA TATU BASI SIKU UKIMALIZA TU UNAKUNYWA TENA. ITAKUWA HIVO KILAA BADA YA HEDHI YA TATU. kumbuka kwa mwanamke asiye pata hedhi dawa hii haimfai

TATIZO LA PRESHA




TATIZO LA PRESHA

Moyo wako kaz yake ni kusukuma damu katika mwili mzima kupitia mishipa ya ateri na vein
kwa kawaida msukumo wa damu unatakiwa usome mapigo 60 mpaka 100 ndani ya dakika moja 
utajua mapigo yako kwa kugusa mshipa wa damu na kuhesabu mapigo ndani ya sekunde kumi 
mapigo uliyo yapata zidisha mara sita kisha linganisha kiwango tajwa hapo juu

sasa ikiwa msukumo wako upo chini 60 basi una tatizo la pressure kushuka yaani HYPOTENSION

© tibazakissuna.blogspot.com

 SABABU ZAKE  huenda ni kusimama mda mrefu, kunyanyuka ghafla baada ya kukaa mda mrefu ima kuwa na hali yoyote inayo zuia kuzunguka kwa damu ipasavo, kuto kunywa maji


DALILI ZAKE NI 

kuto kuona vizur, kuskia kichwa chepes, kusikia kizunguzungu, kichefu chefu, kutokwa na jasho

© tibazakissuna.blogspot.com

Ikiwa MSUKUMO  wako wa DAMU ni zaid ya 100 kwa dakika bas jua unatatizo la PRESSURE YA KUPANDA 

SABABU zake hazijajulikana ila kuna mambo yanayopelekea hali hii kutokea ikiwa ni pamoja na uvutaji wa sigara, unene na kitambi,  kuto kufanya mazoez,  chumvi ilio kithiri kwenye chakula, matatizo sugu ya figo,unywaji wa pombe, mawazo, uvutaji sigara

DALILI ZAKE NI

kuumwa kichwa haswa, matatizo ya kuona, mkojo katika damu, maumivu ya kifua, mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida, kutokujielewa, kupumua kwa tabu, 


 DAWA ZA KUTIBU PRESHA YA KUPANDA:

© tibazakissuna.blogspot.com
HABATI SAUDA

SUFA NYEKUNDU

SUFA NYEUPE

HARMAL NA KUST

changanya pamoja ujazo wa vijiko viwili @. kisha chukua ujazo wa kijiko kidogo weka katika uji wa ulezi au mtama kunywa mara mbili kwa  siku 11, in shaa Allah utapona.

VIDONDA VYA TUMBO UTUMBO MPANA



Maradhi ya vidonda vya tumbo yamekuwa yakiathiri sana afya za binaadamu na maradhi haya yana dalili nyingi mfano:-
1) maumivu ya tumbo juu ya kitovu 
2) maumivu ya mgongo
3) kiungulia 
4) tumbo kujaa gesi 
5) kuishiwa nguna kuuma tumbo wakati wa jimai 

DAWA ZAKE

 © tibazakissuna.blogspot.com
SAGA MBEGU ZA PARACHICHI, kisha changanya na HULBA na HABBAT SAUDA kwa ujazo sawa na upate jumla ya unga wa ujazo wa robo kilo.

MATUMIZI
 chukua dawa ujazo wa kijiko cha chakula na uweke katika MAZIWA YA MOTO kila asubuhi na usiku, yani mara mbili wa siku kwa siku 21. 

ANGALIZO:

SIKU ZA TIBA USILE 
1) MAHARAGE 
2)PILIPILI 
3) PILAU 
4) VIAZI 
5) VITU VYA GESI 
6) DAGAA 
7) NYAMA KAVU.

MAJINI AINA YA ANKIS



Ankis ni aina ya Majini watiao nuksi na mikosi katika maisha ya mwanadamu.
,ajini hawa humuingia kiwepesi mtu ambaye

  1) Anachelewa kuoga JANABA au HAOGI janaba
  2) Mwenye kupendaUZINZI
  3) Mwenye kupenda kusimama sana NJIA PANDA
  4) Mwenye kupenda kujisaidia MITARO YA MAJI


DALILI ZA ANKIS :-

 1)  KUCHUKIWA NA WATU
 2) MIPANGO KUHARIBIKA
 3) KUGOMBANA NA WATU BILA SABABU
 4)  KUOTA VYURA MARA KWA MARA
 5)  UKIWA UNAZO DALILI HIZO JUA UNAE
 6)  JINI HUYO NADRA KUPANDA

DAWA ZA KUMUONDOA

© tibazakissuna.blogspot.com HABATI NUKSI na NYOTA YA JAHA kwa ajili ya KUOGEA KILA ASUBUHI NA USIKU NA KUJIFUKIZA KILA ASUBUHI KWA SIKU 7 

MAFUTA YA KUJIPAKA

MAFUTA YA ZAITUNI
MAFUTA YA NYANGUMI SIKU 11 HADI 21
PIA KISOMO CHA KWAWAATIMU SIKU 3

PUMU (sehemu ya pili)



Chukua dawa iitwayo KAL KAARIYAT. kisha uchemshe kwa MAJI lita 3.

KUMBUKA UJAZO WA DAWA UWE gr 100. 
kisha MAJI yachemke mfano wa maji ya ugali.
halafu utakuwa unakunywa ujazo wa KIKOMBE CHA CHAI mara mbili kwa siku. 
Dawaa hii huua hata MALARIA SUGU.
Siku ya kwanza kwa mgonjwa wa pmu ni siku pumu imemshika, atatumia hadi yatakapo ishia maji yake.

TIBA YA PUMU (sehemu ya kwanza)



Pumu ni ugonjwwa ambao husababishwa na matatizo ya Mapafu  au Majini.
hapa nakupa tiba ya Pumu ya maradhi ni hivii
   
Chukua dawa iitwayo HULBA kisha fanya unga na kama utapata ile iliyo SAGWA kabisa ni bora.
kisha ujazo wa kijiko cha chai unaweka katika UJI wa NGANO isiyo kobolewa, 

mara tatu kwa siku.
muda ni siku 9 in shaa Allah utakuwa umepona.

Ijumaa, 4 Julai 2014

KURUDISHA HISIA YA TENDO LA NDOA KWA MWENYE JINI MAHABA




 JAMANI NDUGU ZANGU.
ASIKUDANGANYE MTU KABISA

Tatizo la MAJINI MAHABA ni kubwa na lina adha kubwa na nzito.
MWANAMKE mwenye MAJINI MAHABAanaweza kukaa maisha yake yote asitamani mwanaume.

TIBA YAKE



©tibazakissuna.blogspot.com
Chukua MAFUTA YA NDIMU na MAFUTA YA THAUMU na MAFUTA YA ZAITUNI na uweke KARAFUU MAITI kipande kimoja.
kisha uwe unapaka UKENI  kila wakati wa kulala
.
Dumu kwa siku 21
utakuwa na hisia kali sana.

lakini JINI HAUTAKUA UMEMTOA ila utamtuliza kwa asilimia kubwa
ili umtoe lazima ufanyiwe VISOMO husika kutegemea aina ya JINI uliye naye kwa UKOO wa jini huyo.

MAJINI AINA YA KHAFQAAN




Majini hawa huwa  wanamfanya mtu awe na tabia ya kulala hovyo bila sababu za msingi mpaka unaweza kuhisi labda ana tatizo la moyo.
mwingine hua na uhaba wa usingizi na hana tatizo lolote la kichwa
hali inayo weza kufanya awe ana kula dawa za usingizi kumbe tatizo ni majini aina ya khafqaan.

DAWA
kwanza unatakiwa kusomewa kisomo maalumu utanitafuta tusaidiane kisha tumia

mafuta ya :~
© tibazakissuna.blogspot.com
1) zaytun

2) nyonyo

3) nyangumi

          yawe mafuta ya kupakaa kichwani asubuhi na usiku.
dawa za kula

        kula sana mapeasi
in shaa allah utapona


REJESHA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MKEO


REJESHA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MKEO

Tendo la ndoa ni tendo lenye ladha ya pekee kwa mwanadam 
kufika kilele hali hii hua haichukui dakika ni kitendo kinacho jiri ndan ya sekunde 30 haswa kwa mwanaUme na kwa mwanaMke huzidia kias kuna sababu yake ntaelezea baadae 
 sasa tendo hili kwa mwanaMke ni kama kuonyesha maridhio ya nafsi yake kwa ampendae

mwanaUme humchukia mwanaMke kwakua hataki tendo la jimai na mwanamke humlaumu mwanaUme kua hajui kupenda
mwanaume humlaum mwanamke kua huongelea tu mapenz lakin hajui kuyafanya hayo mapenz anayo yataka 

sababu ya mwanadamu kutaka kufanya jimai ni homoni iitwayo testosterone ambapo mwanaume huzalisha 20 zaid ya mwanamke anavyo zalisha yaani mwanamue akifanya leo akashinda kesho atajiona sawa na mwanamke alie fanya leo na kupumzika siku 20 bila kufanya,

sasa kimaumbile yetu mwanaume hua ni mwenye kuhitajia sana tendo hili na mwanamke huitajia baada ya kuona kua anapendwa Ndo maana mwenye elim alituusia tuishi nao kwa mapenz na huruma

 ©tibazakissuna.blogspot.com

najua hulka ya kiume ni kufukuzia mwanamke kama afanyavyo mnyama wa porini utasumbuliwa na utakimbiza labda kwa mda mrefu ila unapo mpata unashangalia na kula kwa furaha ila ham ile huisha kadiri siku zinavyo zidia unapo kua nae ( naongelea walio kwenye ndoa ) 

na mwanamke nae hua na manjonjo meng mwanzon na akisha ona sasa nimesha teka mipaka yote ya nchi hii hujisahau na kutulia kitu ambacho humfanya mwanaume kujiuliza vip mke ameshapata wa pemben japo sio hivyo

sasa ili kudumisha ndoa iwe ni yenye kudumu hakikisha mwanaume una mfukuzia (DATING) mkeo yaani una mtoa dina kama vile ulivyo kua unafanya kabla hujampata sawa bhana una mpeleka sehem nzur ambayo hajawah fika na usione haya kumshika au kumchumu mkeo ni wako bhana na hakika yeye hujiskia mapenz sana na utadumu nae mda mrefu bila kuona usaliti labda iwe tabia yake 

 ©tibazakissuna.blogspot.com

KWANN NIMEONGELEA  HAYA 

jua kua mechi ambayo hujapigia tizi  una asilimia kubwa ya kufungwa yaani hata kama ungekua umefundwa yote kuhusu jimai na kama hakuna mapenz ndani ya nafsi ya mwanamke una asilimia ndogo ya kumfikisha kilele

kisha baada ya hayo mkuu wa elimu anasema amelaaniwa anae muingilia mke wake bila kumuandaa

yaani  zipo sehem zaid 21 kwa kwa mwanamke usikimbilie kwa bibi yaani kama zipo 1 mpaka 5 anza  na 1 kisha nenda 3 rudi 2 njoo 1 rudi 4 njoo 3 rudi 2 kisha malizia na 5 

kama hayo yote yamefanyika na bado basi
 huenda ni JINI MAHABA maana anakua na tabia mbaya ya kuvuruga mipango ya wapendanao ulingoni VYEMA UFIKE OFISIN kumtoa

©tibazakissuna.blogspot.com

HUDUMA YA KWANZA

KUNGU MANGA robo kilo. 

KARANGA nusu.

KISHA CHANGANYA lakini kungu manga itabidi UTWANGE na karanga USITWANGE, 
kisha tafuna pamoja  nusu saa au saa moja kabla ya kuanza kuingia katika jimai (TENDO LA NDOA).
utapata raha na hisia za ajabu na kufurahia tendo hilo. utadumu hivyo kwa siku 11 ukitumia tiba hii. na utapona inshaa Allah.

 ©tibazakissuna.blogspot.com
 

Tiba ya kufungua hedhi




Mwanamke Kamili Kiafya huwa Kila Mwenzi anatoa Damu Chafu iitwayoo Damu ya Hedhi.
Damu ambayo Mwanamke asipo toka anaweza kupata maradhi ya Tumbo Kututuma.

DAMU HIYO HUSHINDWA KUTOKA KUTOKANA NA :

1)  MARADHI YA KIAFYA
2)  MATATIZO YA KULOGWA
3)  MATATIZO YA MAJINI

 KWA UDHAIFU WA AFYA TUMIA

© tibazakissuna.blogspot.com
SUFA YA UNGA IWE ROBO KILO

CHUMVI YA UNGA UJAZO WA MKONO KISHA CHANGANYA

MATUMIZI

UTAKUA UNANYWEA KATIKA MAZIWA YA MOTO KIKOMBE KIMOJA
MARA 2 KWA SIKU NDANI YA SIKU 13

ALLAH MJUZI ZAIDI

Alhamisi, 3 Julai 2014

CHUMA ULETE NI NINI ???



 SALAAM ALYKUM MADA YA LEO NI CHUMA ULETE

unapoongelea chuma ulete ni kitu ambacho kipo sana mitaani na baadhi ya watu kuona kama labda ni mambo na maneno ya kiswahili au watu wasio na elimu na maarifa.
lakini uhalisia wake upoje??

chuma ulete ni aina ya wizi ambao hutia hasira na hasara katika maisha na kazi mbalimbali za kimaendeleo, kwani huwa wanatumika aina ya majini ambao wamefunga mikataba na binaadamu wenye imani ya kishirikina au maarufu wachawi
.
majini hawa wizi wao huwa hawaibi pesa zote au mali yote ila hueiba kama ni pesa basi huiba chini ya 30% na kukuachia 70%  au zaidi.
maana ni majini wezi na ndiyo wenye michezo ya kufanya watu kuwa misukule pamoja na kuiba mimba za wamama ambao mimba zao zilifika miezi 7 au 8 na kisha mama huyo akienda hospital huambiwa tumboni hamna kitu.
hao ni majini aina ya GHUUL
majini hao wapumbavu kama atakuwa ni jini mahaba basi dalili ya jini mahaba aina ya ghuul ni kwamba mtu utakuwa na bahati ya kuokota pesa na vitu vya thamani haswa unapokuwa na shida ya jambo hilo.
vipi uwaondoe majini hawa?????
 kwani wanaweza kusababisha mtu atakaye kumbwa majini hao kubadilika tabia na kuwa mwizi ghafla jambo ambalo hakuwa nalo awali.
ima mtu kuwa natibia za kuota unazikwa japo ndoto hizo hufanana na mtu mwenye jini maiti.

 TIBA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com

mafuta ya figiri

mafuta ya ndimu

mafuta ya ngamia

mafuta ya mkunazi 

awe anapakwa mgonjwa kila siku asubuhi na usiku siku 21

DAWA ZA KULA

© tibazakissuna.blogspot.com  
shomar

bakar had

al hamza

kharmal

utachanganya na kunywea katika uji. pia kisomo ni aya zinazo taja kifo na kiama
kwa siku 7.
kumbuka majini hawa ghuul hutumika kumfanya mtu kuwa msukule na katika tiba basi waganga washirirkina hukwambia una mzizimu ya kwenu kumbe unadhurika na huwa wanaweka alama maalum katika uso ikiwa mfano wa chale ili waganga washirikina wasikutiby.
fata hayo maelekezo na ALLAH akuponye.
TOA MAONI YAKO 

TIBA YA MTOTO ANAYE STUKA NA KULIA SANA USIKU




MTOTO KUSTUKA NA KULIA ANAPO LALA

katika dini ya kiislam watu wamekatazwa kukujoleaya matunda yaliyo anguka kwenye mti ukiwa wima au kukojolea mitaro na mengine mengi kama tahadhari kwako 
sababu mazingira hayo hukaa majini aina ya Ankis ambayo ukiyakojolea unakua umeyachokoza na unapo yachokoza hukuvaa na kukupa athari ya KIJICHO ambacho hua ni mionzi ya sumu ya kijini  baadhi

© tibazakissuna.blogspot.com

ndipo unaona mwenye mionzi hii ( iriso,zongo,mhai,evil eye) akimwangalia MTOTO hulia au kuvimba tumbo baada ya mtu huyo kuondoka na  usiku mtoto huyo hustuka na kulia na hata kupelekea kifo

AKIANGALIA ngombe maziwa hayotoki akiangalia chakula ukila unavimba tumbo na kuumwa
mara nyingi wazazi haswa wakike wamekua wakiteseka sana kwa watoto wao pindi wanapo ona mtoto kastuka  na kuanza kulia 
tatizo hili mara nying halionekan hospital
  
© tibazakissuna.blogspot.com

SABABU NYINGINE HUA

###Nyumba kuwa inaingiliwa sana na wanga
###Mama kuwa na majini mahaba.
 NJIA YA KUONDOSHA TATIZO

KWA ALIE FANYIWA KIJICHO 
chukua MAGADI weka kwenye maji kisha muogeshee mtoto kutwa mara mbili
  kama nyumba inasumbuliwa na WANGA upate

MDAULA na MTUNDA kisha loweka katika maji muda wa SAA NZIMA halafu mwaga mwaga ndani ya nyumba nzima,
 kisha mtoto awe anapakwa MAFUTA YA NDIMU kwa miezi sita

© tibazakissuna.blogspot.com

 NJIA YA PILI YA KUONDOSHA TATIZO

 kama ni mama ana majini mahaba basi mtoto awe anapakwa MAFUTA ZAITUNI mwili mzima na ASITUMIE mafuta mengine yeyote kupaka zaidi ya mafuta ya zaytun adumu kwa MIAKA MIWILI. hapo mtoto hatodhuriwa na majini ya mama yake

pia kama mama ana majini ya kuapanda na ni majini mahaba au wale wajiitao wa kimila au uganga, wao pia ni majini mahaba japo huwa visingizio vya uongo ili waogopewe na watu wasio na imani kamili kidini.
mtoto atapakwa MAFUTA YA ZAITUNI mchanganyo na mafuta ya VITUNGUU SWAUMU.  mpaka aache kunyonya.
© tibazakissuna.blogspot.com

KUREFUSHA NYWELE



Assallam alykum ndugu zangu tuzidI kumshukuru Allah kwa kutuwezesha kukutana tena katika sefu yetu hii.
Hivi leo tutaona namna ya kukuza nywele zilizo kua ndogo ama zilizo isha na kubaki na kipara
sababu hua ni nying sana baadhi ikiwa ni stress kuridhi katika familia  na magonjwa ya ngozi

DAWA YA KUREFUSHA NYWELE:

Chukua hulba. ( uwatu)

Ujazo wa 100 gr

Kisha chemsha pamoja na maji ujazo wa ml 1500

Yachemke halafu yapoe.kisha oshea nywele wakati maji bado ya vuguvugu.
Halafu zifunge nywele kwa dk 30
Kisha suuza kwa maji ya kawaida na kupaka mafuta ya zaytuni.
Hata kama nywele zako kipili pili in shaa Allah zitarefuka.

Ili kuondoa mba
TUMIA

Sanamaki uchanganye na hina
Kisha chemsha na uoshee nywele
Mba watapotea kabisaaaaa.

KUKAUSHA MAJI UKENI (sehemu ya pili)


NJIA YA PILI YA KUONDOA TATIZO LA MAJI UKENI

DAWA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com
  • MAJANI YA MBAAZI

MATUMIZI

 © tibazakissuna.blogspot.com
TWANGA MAJANI YA MBAAZI mpaka yawe kama KISAMVU

halafu YAVAE UKENI kama vile PEDI.
ILA kila utakapo kwenda chooni italazimu ubadili na kuvaa mengine.
hali hii itakusaidia kupandisha JOTO UKENI na kuongeza HAMU YA TENDO la ndoa kwa mumeo.
UTATUMIA KWA SIKU 17

FAIDA ZAIDI 

HULETA JOTO zuri na HUSOGEZA KIZAZI na KUSAFISHA uke kwa wale wenye asili ya utelezi mwingi ukeni.

KUKAUSHA MAJI UKENI






KUNA TATIZO AMBALO WANAWAKE WENGI HUWASUMBUA AMBALO NI KUTOKWA NA MAJI UKENI
.
tatizo hilo laweza sababishwa na mwanamke kutumia sana njia za uzazi wa mpango kwa dawa za kizungu au kuto kukandwa maji baada ya kujifungua
.
VIPI ATASHUGHULIKIWA

© tibazakissuna.blogspot.com
iwapo ni tatizo analo afanye yafuatayo
  • ASALI MBICHI YA NYUKI
  • MAFUTA YA ZAITUNI

UTACHANGANYA ZOTE MBILI

halafu awe anakula ujazo wa kijiko cha chakula asubuhi na usiku. kisha kabla ya kuoga apakae asali ukeni baada ya dkk 30 akaoge na kujisafisha vizuri. asubuhi na jion mpaka maji yatakapo kata
tutaendelea zaidi usisite kutoa maoni yako.

KUREFUSHA DHAKARI(uume)


Asalaam Alykum ndugu zangu tumshukuru ALLAH kwa kutupa uzima 
Ama mada yetu ya leo itahusu kuongeza urefu wa dhakari(uume) kwan ni moja ya tatizo lililopo kwenye jamii yetu.
kwa wale wallo na dhakari isiyofika inchi sita ( 6inch ) ipo tiba yake ya asili isiyo na madhara (side effect) kwa mtumiaji kwani ni ya asili / kissuna

DAWA ZA KUREFUSHA:

©tibazakissuna.blogspot.com
CHUKUA MAFUTA YA TEMBO UJAZO  ML50
MAFUTA YA NYONYO UJAZO  ML50
KISHA WEKA UNGA WA KARAFUU UJAZO GR 10
KISHA CHANGANYA ZOTE PAMOJA

MATUMIZI :

UTAKUA UNACHUA DHAKARI WAKATI IMESIMAMA KILA SIKU UKISHA MALIZA KUCHUA SIKU  11 HADI 21 UTAKUA UMEPATA UNENE NA UREFU UUTAKAO ILA KILA UMALIZAPO KUCHUA UNATAKIWA KUFANYA JIMAI.
USISITE KUTOA MAONI YAKO WABILLAH TAUFYQ 


Jumatano, 2 Julai 2014

MOJA KATI YA TIBA ZA JINI SUBIANI

ASSALLAM ALLYKUM NDUGU zangu leo tuna endelea na mada ya Subiani aliye tumwa.

  • ANA VISA HIVI

Hupanda kwa fujo na vurugu nyingi sana.

Na akipanda huwa ana gaa gaa sana.

Hulia na kupiga kelele.

Ni Mkali sana na ana Nguvu za ajabu kiasi hata watu sita mnaweza msimshike.

Na anaweza kumfanya mtu mfano wa kichaa. 

Ndoto za kulakula hovyo.
Kuumwa kila siku haswaa ganzi na vichomi na mwili kuwaka moto na kukosa hamu yakula.
 
Aliye kuja mwenyewe, Akipanda hujifanya yeye Ruhani
Hakuna jini ambae ni Ruhani.
Ruhani tutaongelea katika mada nyingine.

Pia Subia hujifanya anataka uganga
Hukuchagulia nguo kama vile nyeupe,nyekundu, damu ya mzee,bluu bahari au nyeusi na kukupambia kupenda pete nyingi sana.
Huwa kufanya kwa alie na Subiani wa kutumwa ni ngumu sanajimai ni ngumu sana.
Mengine muda bado

  • JINSI YA KUMTOA
© tibazakissuna.blogspot.com 
Hambali tatu
Mafuta ya nyangumi
Mafuta ya ngamia
Mafuta ya mchaichai
Mafuta ya ndimu
Mafuta ya vitunguu thaum
Mafuta ya fugiri
Mafuta vitunguu maji

Kisha kisomo cha harbu l qatwui na sayfu l qatw I
Dawa za fusho siku 30 mafuta kupakaa siku 90 .

USISITE KUTOA MAONI USHAURI AU MASWALI 

Jumanne, 1 Julai 2014

JINI AINA YA SUBIANI

 

Salaam Alykum Ndg zangu leo Mada ya leo tunaongelea majini aina ya Subiani;

laiti tungejua vituko vya subiani mungenihurumia ninapofikisha mada. Kwani nachokoza vita na kila mwenye jini huyo kwa kumfichua. 

Na kuna tofaut baina ya UMMUSUBIANI na SUBIANI.

DALILI ZAKE

Majini hawa wana weza kuharibu mifumo ya ndoa haswa mwanamke kuingia hedhi kabla ya tarehe zake na hasa iwapo kama tarehe hiyo anaweza kubeba mimba.

Mwanaume kushindwa kumkabili vema mkewe.huotesha ndoto za vitisho kama majoka au wanyama wakali wana kusumbua kutaka kukuvamia nk 

Humfanya mtu awe kama bwege hapendi wageni au kupenda kukaa peke yake na kulala hovyo hata mchana jua kali.

pia husababisha mtu kuwa jeuri na kupenda sana ugomvi.


Na unapo kuwa na jini huyu jua kabisa ni waganga wachache wenye kumudu kumtoa.
Nadhani watu wa Moshi na Arusha waliwahi kuona pale sheikh Amr Abeid na Moshi Bonite au matindigani jinsi gani subiani walivyo
Hupanda kwa hasira na vurugu.
 

Jee ? utamjuaje subiani aliye tumwa au kukaa mwenyewe.
Nitaendelea. usisite kutoa maoni yako na kutembelea ukurasa wetu wa facebook link ipo hapo juu.