Jumanne, 8 Julai 2014

TIBA YA KUMUACHISHA KIKOJOZI



TUKIONGELEA SUALA LA UKOJOZI NI JAMBO ZITO MNO,
kwani huweza kuathiri sana akili ya mtu na kusaabisha uduni wa utendaji na maendeleo. na inaweza kusababisha mtu akashindwa kuingia jukumu la ndoa kwa kuhofia aibu na udhalili iwapo mwenza wake akakosa subira.


NINI SABABU YA UKOJOZI ?

    1) ni matatizo ya kibofu cha mkojo kwa mtu kuwa na kazi nyingi na kushindwa kunywa maji mchana, matokeo anakunywa usiku maji mengi na kulala. sasa kwa uchovu wa pilikapilika na ukosefu wa mawasiliano ya ubongo hufanya mtu kojo limtoke bila kujijua.

  2) majini aina ya subian hao humfanya mtu akawa anaota tukio mfano wa mchezo au safari na kisha kuhitaji kujisaidia akimaliza kujisaidia basi huamka usingizini na kukuta kakojoa kitandani.

TIBA YAKE

©tibazakissuna.blogspot.com
kwa kikojozi mwenye tatizo la figo au kibofu cha mkojo, yeye achukue dawa iitwayo KUSTI.

kisha atatwanga na kupata unga, 
halafu anachota ujazo wa KIJIKO KIKUBWA cha chakula na kuweka katika UJII USIO NA SUKARI halafu anakunywa,

Atadumu kwa siku 21, na ataacha kabisa ukojozi na magodoro yatasalimika.

kama ukojozi wa MAJINI apate MAFUTA ya NYANGUMI na ZAYTUNI awe anapakaa kila wakati wa kulala kwa MWENZI MZIMA na kufanyiwa KISOMO cha siku 3.

ALLAH MJUZI ZAIDI

1 maoni:

  1. JE UNAMATATIZO, (KWANINI USUMBUKE) NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO,
    NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE
    MIKOSI,
    MABALAA,
    JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote

    JibuFuta