Ijumaa, 31 Oktoba 2014

JINNI JADI





JINNI JADI 

ni aina ya majini ambayo huleta athari za kiafya na kimaendeleo katika mwili wa mwanadamu
ila utajuaje kua umeathirika na jini wa aina hii 

DALILI ZAKE
  • KULALA NA KUOTA UNAZIKWA
  • KUOTA MISIBA MARA KWA MARA
  • BABU AU BIBI MMOJA WAO ALIKUA MCHAWI NDO MAANA UNASUMBULIWA
  • WAGANGA WATASEMA KUA UNA MIZIMI YA KWENU INAKUSUMBUA
  • UNAKUA NA CHALE NDOGO NDOGO KWENYE USO AMBAPO HUWEZ KUPONA MPAKA CHALE HIZO ZA WACHAWI KUFUTWA NA KUMUONDOA HUYO JINI 
  • UKIWA MWENYEWE CHUMBANI UNA HISI KUNA MTU ANAKUFATA NA UNASKIA NYAYO ZIKIKUKARIBIA ILA HUONI MTU UNAPO GEUKA KUANGALIA
MADHARA YATOKANAYO NA JINI HUYO
  • Pesa kupotea katika mazingira ya ajabu [ chuma ulete ]
  •  kivuli chako kutumika kulogea 
  • Kua na asili ya uganga wa jadi
  • Kufanywa msukule 
 MSAADA WA HARAKA:

© tibazakissuna.blogspot.com

ANDIKA BISMILLAHI  RAHMAN RAHIM   بسم الله الرحمن الرحيم    MARA 35  
UWEKE CHINI YA MTO WAKATI WA KULALA ITATULIZA TATIZO ILA HUJATIBU TATIZO KUTIBU INABIDI UPATE TIBA. 


Jumanne, 21 Oktoba 2014

TIBA YA MINYOO (Ascariasis)




MINYOO 

hutokana na kunywa au kula chakula chenye mayai ya round worm.
pindi unapo kula mlo wenye mayai hayo basi yai hutamia na kutoa mayai machanga larvae,
Ndani ya siku kadhaa larvae hutembea kwenye kwenye njia za damu mpaka kwenye mapafu hapo huleta hali ya mapafu kubana na kuuma ( eosinophilic pneumonia ),
Hurudi kwenye utumbo mpana na kuendeleza mazalia na kukomaa na kuishi ndani ya mienzi 10 mpaka 24.

DALILI ZA MINYOO 


  • kupata choo chenye minyoo
  • kutapika minyoo
  • kukohoa damu 
  • kupata pumzi kwa tabu kutokana na mbavu kubana 
  • kupata kizunguzungu kutokana na kupungukiwa na damu
  • tumbo kujaa na kuisi gesi nyingi

TIBA KWA MINYOO

© tibazakissuna.blogspot.com

Chukua VITUNGUU SWAUMU kisha saga juice.
Upate ujazo wa robo Lita
Kisha saga SHUBIRI kijiko kimoja cha chakula
Halafu weka na ASALI vijiko 3 vikubwa.
Kisha unakunywa ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa Mara tatu.

Utafanya kwa siku 5.

Jumamosi, 18 Oktoba 2014

TIBA KWA MATATIZO YA MACHO

 


MAUMIVU YA MACHO 

Yako magonjwa ya aina nyingi ya matatizo ya macho kutegemeana na chanzo cha tatizo.
japo ntagusia kuhusu matatizo mengine ya macho ila ntaongelea zaidi JICHO KUCHOMA CHOMA NA KUPELEKEA MAUMIVU

SABABU YA TATIZO
  • Kuangalia sana tv,simu au kompyuta
  • Kusoma kwa muda mrefu
  • Ukosefu wa usingizi
  • kutumia vikuza muonekano (lenses)

TIBA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com

> Tumia MAJI YA BARIDI kuoshea uso

> Tumia ROSE WATER kusafishia jicho kwa kuweka kwenye pamba ukikosa tumia matone ya SHUBIRI 

> ASALI na MAJI changanya kwa ujazo sawa kisha pakaa kwenye jicho likiwa lime jifunga

> Kata kipande kidogo cha TANGO kisha weka kwenye jichoukiwa umelifunga ukiwa umejilaza chali  kwa dakika 15

> Unaweza kukosa vyote sio mbaya pia kama utafunga jicho na kujiweka kijiko juu yake kwani ubaridi wake huleta nafuu

MATATIZO MENGINE YA JICHO 

 > JICHO LILILO VIMBA NA KUA JEUSI KANDA KWA BARAFU NDANI YA DAKIKA KUMI NA TANO AU 20 KILA SIKU

JICHO LINALO UMA KUTOKANA NA SABUNI BASI MIMINIA MAJI YATIRIRIKIE KWENYE JICHO NA KUSHUKA CHINI

> KWA JICHO LILOKUA KAVU CHUKUA KITAMBAA CHA MAJI YA MOTO KISHA KANDA JICHO

> KWA JICHO LILIO INGILIWA NA PILIPILI BASI WEKA MAZIWA KWENYE KIKOMBE KISHA FUNGUA JICHO MAZIWA YAINGIE KWENYE JICHO UKIKOSA CHANGANYA CHUMVI NA MAJI KISHA SAFISHIA JICHO KWA MAJI HAYO

> KWA VIJIPU MBUZI VILIVYO KWENYE JICHO OSHEA USO KWA MAJI YA CHUMVI YENYE VUGU VUGU

TIBA KWA KUPITIA VYAKULA

  • KUNYWA JUISI YA KAROTI KWA WINGI

  • KULA VYAKULA VYA ASILI YA KIJANI

  • KULA SAANA MBEGU ZA ALIZETI


Alhamisi, 16 Oktoba 2014

TIBA KWA ANAE POTEZA KUMBUKUMBU


KUPOTEZA KUMBUKUMBU


Ni uwezo mdogo wa kuhifadhi kumbukumbu kwa ajili ya matumiz ya akili.
Kuna kupoteza kumbukumbu ya jambo lililo tokea siku nyingi (long term memory) au jambo ambalo halijapita hata sekunde thelathini ukawa umelisahau (short term memory)

SABABU HUA

> UZEE

> MADAWA YA PRESSURE AU MADAWA YA MAUMIVU

> AJALI ZILIZO ATHIRI SEHEMU ZA UBONGO 


TIBA YAKE  

© tibazakissuna.blogspot.com

chukua ROSE zile  tunda zake. zilivyo zipo kama KOROSHO zilizo banguliwa.
kisha awe anatafuna 21 asubuhi na usiku baada ya kula  kwa muda wa mwenzi mzima 30 siku.
kupaka kichwan ataondoa nywele kichwani kwanza awe UPARA kisha tumia MAFUTA YA ROSE na ZAYTUNI akiwa anatafuna tunda hizi ale mbegu hizi basi anakua anapakaa kichwan hayo mafuta yatasaidia

1 )  kuimarisha mishipa ya ubongo 

2 )  kurejesha kumbukumbu 

3 )  kuongeza fahamu na akili

4 )  kujenga ubongo 

Jumatano, 8 Oktoba 2014

UPUNGUFU WA DAMU MWILINI (ANEMIA)





UPUNGUFU WA DAMU MWILINI 

ni ugonjwa unaosababishwa na upungufu wa seli hai nyekundu kwenye damu pia huweza kua na maana ya pili ambayo ni tatizo la damu kushindwa kubeba oxygen.

SABABU ZA UPUNGUFU WA DAMU

1)  Kupoteza damu kwa wingi kutokana na majeraha au magonjwa yanayo pelekea kuvuja damu
2)  kuzidi mvunjiko wa seli nyekundu kwenye damu

DALILI

> Kujihisi  kuchoka

> Kua mdhaifu na kupoteza umakini kwa jambo unalo shughulikia

> kupoteza pumzi

> kupata kizunguzungu au kuzimia mara kwa mara

* Vyema kupima kwani dalili hizi hushabihiana na magonjwa mengine

TIBA YAKE

>  Tafuta ASALI YA TENDE ml 250
Chemsha pamoja na MAUA DAMU ( karkadee) ikichemka tayari
Chukuwa ujazo wa kikombe cha robo lita ikiwa na uvugu vugu uweke ROSE MARASHI kijiko kidogo cha chai.

Kisha anywe.
Atatumia kutwa mara tatu kwa siku 27
Atapona kabisa in shaa Allah