Jumatano, 8 Oktoba 2014

UPUNGUFU WA DAMU MWILINI (ANEMIA)





UPUNGUFU WA DAMU MWILINI 

ni ugonjwa unaosababishwa na upungufu wa seli hai nyekundu kwenye damu pia huweza kua na maana ya pili ambayo ni tatizo la damu kushindwa kubeba oxygen.

SABABU ZA UPUNGUFU WA DAMU

1)  Kupoteza damu kwa wingi kutokana na majeraha au magonjwa yanayo pelekea kuvuja damu
2)  kuzidi mvunjiko wa seli nyekundu kwenye damu

DALILI

> Kujihisi  kuchoka

> Kua mdhaifu na kupoteza umakini kwa jambo unalo shughulikia

> kupoteza pumzi

> kupata kizunguzungu au kuzimia mara kwa mara

* Vyema kupima kwani dalili hizi hushabihiana na magonjwa mengine

TIBA YAKE

>  Tafuta ASALI YA TENDE ml 250
Chemsha pamoja na MAUA DAMU ( karkadee) ikichemka tayari
Chukuwa ujazo wa kikombe cha robo lita ikiwa na uvugu vugu uweke ROSE MARASHI kijiko kidogo cha chai.

Kisha anywe.
Atatumia kutwa mara tatu kwa siku 27
Atapona kabisa in shaa Allah


 

0 maoni:

Chapisha Maoni