Jumanne, 21 Oktoba 2014

TIBA YA MINYOO (Ascariasis)




MINYOO 

hutokana na kunywa au kula chakula chenye mayai ya round worm.
pindi unapo kula mlo wenye mayai hayo basi yai hutamia na kutoa mayai machanga larvae,
Ndani ya siku kadhaa larvae hutembea kwenye kwenye njia za damu mpaka kwenye mapafu hapo huleta hali ya mapafu kubana na kuuma ( eosinophilic pneumonia ),
Hurudi kwenye utumbo mpana na kuendeleza mazalia na kukomaa na kuishi ndani ya mienzi 10 mpaka 24.

DALILI ZA MINYOO 


  • kupata choo chenye minyoo
  • kutapika minyoo
  • kukohoa damu 
  • kupata pumzi kwa tabu kutokana na mbavu kubana 
  • kupata kizunguzungu kutokana na kupungukiwa na damu
  • tumbo kujaa na kuisi gesi nyingi

TIBA KWA MINYOO

© tibazakissuna.blogspot.com

Chukua VITUNGUU SWAUMU kisha saga juice.
Upate ujazo wa robo Lita
Kisha saga SHUBIRI kijiko kimoja cha chakula
Halafu weka na ASALI vijiko 3 vikubwa.
Kisha unakunywa ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa Mara tatu.

Utafanya kwa siku 5.

0 maoni:

Chapisha Maoni