Jumamosi, 18 Oktoba 2014

TIBA KWA MATATIZO YA MACHO

 


MAUMIVU YA MACHO 

Yako magonjwa ya aina nyingi ya matatizo ya macho kutegemeana na chanzo cha tatizo.
japo ntagusia kuhusu matatizo mengine ya macho ila ntaongelea zaidi JICHO KUCHOMA CHOMA NA KUPELEKEA MAUMIVU

SABABU YA TATIZO
  • Kuangalia sana tv,simu au kompyuta
  • Kusoma kwa muda mrefu
  • Ukosefu wa usingizi
  • kutumia vikuza muonekano (lenses)

TIBA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com

> Tumia MAJI YA BARIDI kuoshea uso

> Tumia ROSE WATER kusafishia jicho kwa kuweka kwenye pamba ukikosa tumia matone ya SHUBIRI 

> ASALI na MAJI changanya kwa ujazo sawa kisha pakaa kwenye jicho likiwa lime jifunga

> Kata kipande kidogo cha TANGO kisha weka kwenye jichoukiwa umelifunga ukiwa umejilaza chali  kwa dakika 15

> Unaweza kukosa vyote sio mbaya pia kama utafunga jicho na kujiweka kijiko juu yake kwani ubaridi wake huleta nafuu

MATATIZO MENGINE YA JICHO 

 > JICHO LILILO VIMBA NA KUA JEUSI KANDA KWA BARAFU NDANI YA DAKIKA KUMI NA TANO AU 20 KILA SIKU

JICHO LINALO UMA KUTOKANA NA SABUNI BASI MIMINIA MAJI YATIRIRIKIE KWENYE JICHO NA KUSHUKA CHINI

> KWA JICHO LILOKUA KAVU CHUKUA KITAMBAA CHA MAJI YA MOTO KISHA KANDA JICHO

> KWA JICHO LILIO INGILIWA NA PILIPILI BASI WEKA MAZIWA KWENYE KIKOMBE KISHA FUNGUA JICHO MAZIWA YAINGIE KWENYE JICHO UKIKOSA CHANGANYA CHUMVI NA MAJI KISHA SAFISHIA JICHO KWA MAJI HAYO

> KWA VIJIPU MBUZI VILIVYO KWENYE JICHO OSHEA USO KWA MAJI YA CHUMVI YENYE VUGU VUGU

TIBA KWA KUPITIA VYAKULA

  • KUNYWA JUISI YA KAROTI KWA WINGI

  • KULA VYAKULA VYA ASILI YA KIJANI

  • KULA SAANA MBEGU ZA ALIZETI


9 maoni:

  1. Majibu
    1. Kwa matatizo ya macho..nguvu za kiume. Kukuza na kurefusha uume. Kukuza hips na makalio na shape....pumu kisukar mpigie dr kanyas kupitia 0744903557

      Futa
  2. Mi macho yangu hutoa machozi na kuvimba na macho kuwa mekukundu

    JibuFuta
  3. Kutana na dr mitishamba kanyas anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume. .kukuza hips shape na makalio. .uti sugu..matatizo sugu ya macho . matatizo ya hedhi. .mapenz zindiko..nyota biashara .. mpigie dr kupitia 0744903557

    JibuFuta
  4. Dr kanyas yusuph anatibu pumu bp ..kisukari. .yupo tanga..mpigie 0744903557..na maradh mengineyo

    JibuFuta
  5. MM na tatizo LA kutokuona mbali

    JibuFuta
  6. Huu ni mwaka wa tatu sasa kaka yangu anasumbuliwa na jicho lilianza kama sekenene akaenda cbrt kukatwa toka alivyo katwa mpaka Leo kimekuwa kama kidonda kinamsumbua naomba unisaidie

    JibuFuta
  7. Mimi ninaukungu jichoni na sijafika hata miaka 35

    JibuFuta
  8. Macho yangu ni mekundu je nifanyeje ili yawe meupe

    JibuFuta