Alhamisi, 29 Desemba 2016

KUTOKWA KWA DAMU PUANI ( NOSE BLEEDING )

 

KUTOKA KWA DAMU PUANI

KUTOKA KWA DAMU NI HALI YA DAMU KUTOKA NJE YA MFUMO (mshipa) WAKE AMBAPO MARA NYING HULETA MADHARA KUTEGEMEANA NA ENEO DAMU ILIPO VUJIA

 ® tibazakissuna.blogspot.com

DAMU INAYO TOKA PUANI MARA NYINGI HUTOKEA MAENEO YA KARIBU NA PUA HIIHUWA KUTA WATU WENG SANA IKIWA NI PAMOJA NA WATOTO WADOGO  TOFAUTI  NA ILE DAMU INAYO TOKEA UVUNGUN MWA PUAN HII HUTOKEA MARA CHACHE SANA KWA WATU NA HUA NI KWA WAZEE SANA SANA AU UWE ULIPATA JERAHA SEHEM HIYO

MARA NYING UMEKUA UKIONA WATU WEUPE WAKIKUMBWA SANA NA HALI YA KUTOKWA NA DAMU PUANI

KWA UFAHAM WANGU MDOGO KUNA MISHIPA MIKUU MITATU AMBAPO KUNA ATERI,VENA NA KAPILARY

® tibazakissuna.blogspot.com

MARA NYING MTU ANAPO KUA AMEPATA JOTO KALI KICHWAN HUSABABISHA MSUGUANO WA MISHIPA (strain) KUTANUKA NA HASWA MSHIPA YA KAPILARY AMBAO HUA NI MSHIPA MDOGO  HUPASUKA NA KUSABABISHA MTU KUTOKA NA DAMU

® tibazakissuna.blogspot.com

HIVYO CHOCHOTE AMBACHO KITAPELEKEA MSHIPA WA KAPILARI KUPASUKA AU JERAHA ULILO PATA ITAPELEKEA DAMU KUTOKA IWE NI

JOTO KALI SANA KICHWAN AU UKAVU PUANI WA FENI,PERFUME

KUPENGA PUA KWA NGUVU

AU KUVUTA VITU PUAN KWA NGUVU KAMA VILE UGORO AU MADAWA YA KULEVYA

✅VIDONDA

® tibazakissuna.blogspot.com

✅MAGONJWA YA PRESHA

💊 NINI CHA KUFANYA ⤵

 HATUSHAUR MTU KUNYWA DAMU HIVYO MTU UKIAANZA TOKWA DAMU WEKA KICHWA CHAKO KUELEKEA CHINI UKIBANA PUA YAKO KWA DAKIKA KUMI KUNA HALI YA DAMU KUGANDA (CLOTTING) NA KUSABABISHA DAMU KUTOTOKA UNAWEZA FANYA HIVI HUKU UKIJIKANDA NA BARAFU AMBAYO ITAKUA MSAADA WA KUPUNGUZA UPANA WA MSHIPA

® tibazakissuna.blogspot.com

KWA WALE WANAO SHINDA NA FENI KUTWA NZIMA HAKIKISHA UNAPAKAA MAFUTA YOYOTE MALAIN (MAFUTA YA NYONYO, VASSELINI) KWA PUA ILI KUZUIA SABABU YA UKAVU PUAN

® tibazakissuna.blogspot.com

IKIWA UMEFANYA YOTE NA BADO HALI IMEKUA KOROFI BAS HAKIKISHA UNAPATA MWIBA WA NUNGUNUNGU UCHOME NA NUSA MOSHI WAKE UTASAHU TATIZO HILO KWA UWEZO WA ALLAH


Alhamisi, 17 Novemba 2016

CHANGO LA MTOTO




MCHANGO WA MTOTO

kwa uzao wa kwanza katika kitu kinacho msumbua sana mama na baba wa mtoto mchanga ni kilio ambacho hudumu hata ndan ya masaa mawili au matatu ni kilio tu mchana na hata jioni
mara nyingi hali hii huwasumbua watoto walio ndan ya wiki moja mpaka tatu 

® tibazakisssuna.blogspot.com

utaona mtoto anajikunja na kutupa tupa miguu kujamba na pia kuharisha mavi ya kijani

USHAURI

® tibazakisssuna.blogspot.com

MAMA ANAE NYONYESHA ASITUMIE VYAKULA VYA AINA ZIFUATAZO KWA WINGI

>> KABICHI

>> CHOCOLATE

>> MAYAI

>> SOYA
 
>> DAIRY PRODUCT

>> MAZIWA YA NGOMBE

>> VITUNGUU MAJI

>> KUVUTA SIGARA 

>>  KAHAWA

VYAKULA VYA AINA HIZI HUPELEKEA ALEJI KWA MTOTO AU MAZIWA YA MAMA KUA NA GESI KWA MTOTO PINDI ANAPO YANYONYA HIVYO NI VYEMA KUAACHA VYAKULA VYA AINA HII KWA MUDA MPAKA PALE MTOTO MFUMO WA MMENGENYO WAKE UTAKAPO KUA TAYARI 

PENDA KUMNYONYESHA MAZIWA YAKO MWANAO YANASAIDIA KUOKOA VIFO VYA UTOTONI IKIWA NI MAUMIVU YA CHUCHU UNAYA HOFIA BASI UKIMALIZA KUNYONYESHA CHUKUA KABICHI YA TATU KUTOKA JUU YA GAMBA KATA KIWANGO SAWA NA ZIWA LAKO NA FUNIKIA ZIWA BAADA YA HAPO UTAOSHA KWA MAJI BARIDI MAUMIVU YA KUVUTWA YATAISHA

IKIWA HUTOI MAZIWA TUMIA MAJI NUSU LITA  CHANGANYA NA UWATU KIJIKO KIMOJA KISHA KUNYWA MARA MBILI KWA SIKU
 KUNYONYESHA KUNA FAIDA IKIWA NI PAMOJA NA KUKUONDOLEA SABABU ZA KUPATA KANSA YA MATITI NA UKARIBU WA MAMA NA MWANA

KAMA UNAKUMBUKA KUNA SWALA LA ZONGO AMBALO NALO LINA FANANA NA JAMBO HILI TULISHA LIONGELEA HAPA KIKUBWA NI KUA MAKINI TU KUANGALIA IKIWA MTOTO ALISIFIWA SANA NA MTU KISHA ALIPO ONDOKA TABU IKAANZA KWA MTOTO NA HAPO AWALI ALIKUA HANA SHIDA JUA NI TATIZO LA HUSDA

 ® tibazakisssuna.blogspot.com

NINI CHA KUMSAIDIA MTOTO

HAKIKISHA MWANAO ANA FUNIKA CHUCHU KILA ANAPO NYONYA ASIPITISHE HEWA WAKAT ANA VUTA MAZIWA

  CHUKUA CHUPA MFANO WA KILIMANJARO NDOGO KISHA WEKA MAJI YA MOTO YASIWE YENYE KUUNGUZA KISHA ZUNGUSHIA TAULO CHUPA HIYO ALAFU MKANDE NAYO SEHEMU ZA TUMBONI KWA UANGALIFU 

® tibazakisssuna.blogspot.com

CHUKUA MAFUTA YA ZAITUN YAWEKE KWENYE MAJI YA MOTO KAMA UNAVYOFANYA UKITAKA KUFANYA MASSAGE YAKIPATA JOTO MFANYIE MASSAGE TUMBONI KWA MFUMO WA KUZUNGUSHA KIGANJA KAMA MSALE WA SAA UFANYAVYO 

® tibazakisssuna.blogspot.com
 

Ijumaa, 28 Oktoba 2016

KUKWAMA KIBIASHARA KILA UPATAPO MAFANIKIO



MBONA BIASHARA ILIANZA VIZURI, KWANINI IKWAME GHAFLA????

Ukiongelea suala la kukwama biashara, au kudhorota kwa mauzo, ni suala lipo sana kwa wafanya biashara. Lakini tatizo na chanzo huwa ni nini????


 tibazakissuna.blogspot.com
  
1Kuna mtu anafanya biashara, au kazi hali ya kuwa buruji yake (nyota) si ya biashara au kazi anayo Fanya, ataishia kuanza vizuri kisha kuboronga mpaka asifikie malengo

2. JINI MAHABA (ASHK L JINNI) UMMU SUBIAN

 
ukiwa na huyo mpuuzi, basi itakuwa unafanya mipango na ikikaribia mafanikio linatokea janga au tatizo la kurudisha nyuma mipango, biashara inaanza vizuri ikitaka kuchanganya inatokea hasara na kufanya uchukue kaakiba ndani ili uanze upya, hupandi mtaji ila kutwa kuhitajia msada. Kama ni kazi unafanya kazi ili mradi tu, lakini faida hasa ya kazi haionekani ila mfanya kazi jina.

 
tibazakissuna.blogspot.com


3. KUCHUKULIWA NYOTA,


 mtu aliye fanyiwa hivyo, ataanza biashara vizuri ila ikichanganya na akajulikana kwa sifa nzuri ya kile anachouza, basi ghafla ataanza kuogopa kwenda sehemu yake ya biashara, akiwa sehemu ya biashara abatamani kukimbia au kupiga kelele na kukosa amani. IMA kupatwa ugonjwa Mkubwa utakao mfilisi na kufanya asiendelee tena na biashara.ikibidi kupatwa na ugonjwa wa akili.

4. HUSUDA YA BIASHARA

 
Aliye fanyiwa husda katika biashara, ni yule biashara ilianza vizuri ila ghafla inaanza kudoda na mauzo kukata kiasi kwamba mpaka vitu vinaanza kuharibika bila kupata wanunuzi. Inakuwa akiuza anapata hela ya kula tuuuuu, mpaka anafilisika.
Ima ahamishe biashara.  


tibazakissuna.blogspot.com

Unawezaje kurejesha mvuto na biashara iweze kuwa kama awali?
Visomo vya Fathu na dawa zake za kuoga na kujifukiza ima kupakaa vinahitajika.
+255 713 826 838

Jumatano, 19 Oktoba 2016

KINGA YA MWILI KUPITIA VIDOLE



MWILI UNAKINGA ZA ASILI AMBAZO HUSAIDIA MWILI KUKUAMBIA KUA KUNA KITU KATIKA MWILI WAKO HAKIPO SAWA MFANO KUPIGA CHAFYA AU KUKOHOA ILI KUJIKINGA NA KITU KIBAYA KILICHO INGIA KWENYE MFUMO WA HEWA,

tibazakissuna.blogspot.com

HIVYO HIVYO KWA WENYE ELIMU WANAJUA HALI YA AFYA YAKO KWA KUKUANGALIA VIDOLE VYAKO MAANA VIDOLE HUTOA ISHARA KAMA VILE MWILI UNAVYO PATA HOMA AU MATEZI HUKUAMBIA KUA UNA GONJWA LINALO KUSUMBUA NA MWILI UNAKABILIANA NALO KWA KINGA ZA ASILI

tibazakissuna.blogspot.com

HIVYO ALAMA NYEUPE AMBAYO HUA KAMA MWENZI KWENYE VIDOLE VYAKO INA TAFSIRI HALI YA AFYA YAKO KAMA IPO SAWA AU KINGA YAKO YA MWILI IMESHUKA
MFANO WA MTU AMBAE VIDOLE VYAKE VYOTE VINA ALAMA NYEUPE KAMA YA MWENZI INA ONYESHA MTU HUYU ANA AFYA NZURI ANA NGUVU NA KINGA YA MWILI IPO JUU HIVYO UKUBWA WA ALAMA NYEUPE KWENYE KIDOLE CHAKO NDO UKUBWA WA KINGA YAKO YA MWILI JAPO IKIWAA KUBWA SANA KWA KIDOLE GUMBA HUSEMA UNA KIWANGO KIKUBWA CHA DAMU AU MOYO WAKO UNAFANYA KAZ SANA

tibazakissuna.blogspot.com

KWA YULE MWENYE WEUPE KWENYE KIDOLE GUMBA TU INA ONYESHA KUA  ANAHITAJIKA KUPANDISHA AFYA YAKE VINGINEVYO UGONJWA UTAMUINGIA KIRAHISI HIVYO KINGA YAKE YA MWILI HAIJITOSHELEZI 

KWA WALE WENYE ALAMA NYEUPE KIDOGO DOGO KWENYE VIDOLE HUASHIRIA KUA HANA DAMU KWA KIWANGO IPASAVYO HIVYO MARA NYINGI MIGUU YAO UTAIONA NI YA BARIDI

KWA WALE AMBAO HAWANA KABISA ALAMA HIYO HAISEMI NI WAGONJWA LAA MAANA KUJUA MTU NI MGONJWA NI MPAKA UFANYE VIPIMO ILA INA ASHIRIA KUA ANAWEZA PATA GONJWA NA HALITATOKA KIRAHISI YAAN ANAWEZA UGUA KWA MUDA MREFU

tibazakissuna.blogspot.com

RANGI ZA VIDOLE 

NYEUPE huonyesha ana afya nzur na kinga yake ipo juu

KIJIVU  nguvu ya mwili ni ndogo, ugonjwa wa kuchoka, upungufu wa damu matatizo ya mmengenyo

PINKI  mfumo wa viungo vya ndan hasa mapafu na moyo kutofanya kazi ipasavyo na mtu huyu hupoteza nguvu na inaweza sababisha kisukari au magonjwa mengine

ZAMBARAU ina ashiria mzunguko mdogo wa damu ambapo huweza pelekea kichwa kuuma au kupata kizunguzungu 

NYEUSI ina ashiria mfumo mbaya sana tatizo hasaa la moyo huenda imesababishwa na unywaji wa dawa ambazo zimeleta sumu ya mwili

nafkiri kwa leo haya yanatosha kumbuka ukiona hali tajwa hapo juu kupata uhakika ni kwa kufanya vipimo sio kustuka ila ukitaka kuamin jambo hili angalia watu wakiumwa alama hii hupotea ila wakianza kupona hali ya weupe hurudi 

tibazakissuna.blogspot.com

jambo hili haliingiliani na watoto wachanga au walio katika hali ya kukua hivyo usishtushwe NA JAMBO BORA ZAIDI NI KWENYE VIDOLE UPATE WEUPE KWENYE VIDOLE 8 AU 10 KABISA HAPO UTAKUA UPO VIZURI

Jumapili, 25 Septemba 2016

UWATU




SIFA NJEMA ZOTE NI ZA MWENYEZI MUNGU AMBAYE NI VYAKE VILIVYOMO MBINGUNI NA VILIVYOMO ARDHINI. 

ANAYAJUA YANAYOINGIA KATIKA ARDHI NA YANAYOTOKA HUMO NA YANAYOTEREMKA KUTOKA MBINGUNI NA YANAYOPANDA HUKO NA YEYE NI MWENYE KUREHEMU, MWINGI WA MAGHUFIRA.

Kwa leo tutaangalia kwa ufupi kuhusu mmea uitwao UWATU umekua na faida nying sana kwa kiumbe mwanadamu kutokana na kutibia baadhi ya maradhi na kumponesha kabisa kwa uwezo wa MUUMBA 

✅  FAIDA ZA UWATU  

® tibazakisssuna.blogspot.com

1) TUANZE KWA KUWAJALI WANAWAKE SIFA YA KWANZA HUSAIDIA MWANAMKE AMBAE HATOI MAZIWA PINDI ANAPO JIFUNGUA KWA KUTUMIA UWATU KIJIKO NA UNGA WA JIRA NDANI YA MASAA 24 KWA UWEZO WA MUNGU UTAPATA MAZIWA YA MTOTO

2) HUMPA MSAADA MWANAMKE AMBAE ANAENDA JIFUNGUA KUTO KUSUMBUKA KUTOA MTOTO NA PIA HUPUNGUZA MAUMIVU YA HEDHI KWA WENYE KUTESEKA NA MAUMIVU HAYO 

® tibazakisssuna.blogspot.com

3) HUONGEZA HISIA ZA JIMAI KWA WALE AMBAO HUSUMBUKA NA KUSUMBUKA KUA HAWANA HAMU YA TENDO HII NI KWA WANAWAKE NA WANAUME

4) HUSAIDIA NGUVU ZA KIUME KWAN HUSAFISHA KIBOFU NA KUSAIDIA MATATIZO YA NGIRI NA PIA KWA WANAUME WENYE KUFANYA MAZOEZ DAWA HII HUMUONGEZEA NGUVU NA KUMSAIDIA KUTANUKA MISULI

5) HUTIBU MB'A NA KUZUIA NYWELE KUKATIKA KATIKA

6) HUSAIDIA MMENGENYO NA KUMPA MTU HAMU YA KULA NA PIA KUONDOA CHOLESTEROL

7) HUTIBU MTU MWENYE UPARA NA KURUDISHIA NYWELE PIA HUTIBU PUMU YA NGOZI

8) HUTIBU ULCERS YA KWENYE ULIMI NA YA MGUUNI PIA VIDONDA VYA MAJERAHA NA GOUT

® tibazakisssuna.blogspot.com

9) HUTIBU UGONJWA WA KISUKARI 

10) HUSAIDIA MTU ALIE VIMBIWA NA KUSIMAMISHA KUARISHA KWA ANAE HARISHA

11) HUPUNGUZA UZITO PIA NI DAWA NZUR KWA WANAO KOSA USINGIZI USIKU

12)HUSAIDIA KIFUA KILICHO SHINDIKANA PIA NA MAGONJWA YA UPUMUAJI

13) HUONDOSHA MAJINI WALIO KAA MDA MREFU KWA KUCHANGANYA NA SUPU YA NDEGE KUJUA WA AINA GANI NITAFUTE 

14) KWA WANAUME AMBAO HUTOA MANII NYEPES HII NI DAWA NZUR YA KURUDISHA MANII KUA NZITO

NAMNA YA KUTUMIA NI VYEMA KUULIZA KWA MJUZI KABLA YA KUTUMIA

™ © TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

Alhamisi, 1 Septemba 2016

BINZARI MANJANO





NI bahat mbaya sana kumuuliza mwanamke kuhusu BINZARI MANJANO akashindwa kuijua 
maana wao hutumia sana kwa kuondoa chunusi na pia kungarisha uso wao 
lakin kwa haisemi kua ndo kazi pekee ya binzari manjano inafaida nying na nzur sana kama utajua namna ya kuchanganya na kutumia 

 BINZARI MANJANO HUTIBU

1) CHUNUSI NA MAPELE

© tibazakissuna.blogspot.com

2) HUSAIDIA KUONDOA SUMU NDANI YA MWILI

3) HUSAIDIA KUTIBI TATIZO LA KUTOPATA USINGIZI

4) HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO

© tibazakissuna.blogspot.com

5) HUSAIDIA KUKULINDA NA KANSA NA MAGONJWA MENGINE HATARISHI KWA KUKUONGEZA KINGA YA MWILI

6) UNAPO PATA JERAHA UNAWEZA TUMIA UNGA WA MANJANO KWA KUJITIBIA JERAHA HILO MAANA HUSAIDIA KATIKA KUTIBU VIDONDA NA HUSAIDIA KIDONDA KWAN HUUA BACTERIA NA 

7) HUSAIDIA KUONDOA KIWANGO CHA CHOLESTEROL KATIKA MWILI

© tibazakissuna.blogspot.com

8) HUONDOSHA TATIZO LA GESI TUMBONI NA PIA HUSAIDIA MMENGENYO WA CHAKULA

© tibazakissuna.blogspot.com

9) HUSAIDIA MAGONJWA YA AKILI YANAYO JIRUDA KUTOKUJIRUDIA

10) KIWANGO TU CHA KUFINYA  MANJANO KWA VIDOLE UKITUMIA KWA SIKU UNAWEZA KUTIBU UGONJWA WA KUSAHAU

11) HUTIBU MAGONJWA YA KIFUA 

 © tibazakissuna.blogspot.com

12) HUSAIDIA KUTIBU KISUKARI 

13) HUONDOSHA NGOZI ILIO ARIBIKA IKIWA NI PAMOJA NA MADOA NDO MAANA BAADHI HUTUMIA KWA MASSAGE


NA MENGINE MENGI TU HUSAIDIA ILA KWA LEO HAYO MACHACHE YANATOSHA 

Alhamisi, 4 Agosti 2016

NDOTO ( DREAMS )



© tibazakissuna.blogspot.com


NDOTO ( DREAMS )
Ndoto mara kwa mara huwa nasema kwamba, ni taarifa inayo kujia kwa njia ya fumbo kupitia usingizi. Pia zipo ndoto huja moja kwa moja kama zilivyo, lakini pia bado itabaki kuwa taarifa ya siri kupitia usingizi Ajabu Yupo mtu alikuwa akiota ndoto aina fulani, na kisha ndoto zile kupotea na kuja zingine zilizo tofauti sana na zile. Jee tatizo nini? Unapo kuwa ukiota ndoto aina fulan na kisha kuhama ima kutoka ndoto nzuri kuja ndoto mbaya, ukiona hivyo jijue kwamba, wewe umefanyiwa uhasidi wa kichawi Uchawi 

Ndo maana Mtume amesema ukiona ndoto mbaya temea upande wa kushoto mara tatu kisha umba ulizi kwa Mungu na ubadilishe upande ulio kua umelaza kichwa chako

© tibazakissuna.blogspot.com

KUNA AINA TATU ZA NDOTO

1) NDOTO NJEMA ( Ru'yaa ) >> hizi ni njozi njema zenye kukuashiria jambo jema
2)  NDOTO MBAYA  ( Hulum )  >> amesema mtume ndoto njema utoka kwa Allah na mbaya hutoka kwa shetani

3)  NDOTO ZA BINAFSI  >>  hizi ni ndoto zinazo tokana na fikra zako zilizo gusa hisia zako hivyo hujirudia usiku ukiwa umelala

© tibazakissuna.blogspot.com

Lakini pia kuna mtu ambaye akiota huwa hakumbuki alicho ota Na kuna yule haoti kabisaaaaa Na kuna yule anaota ila hajui mana yake.

 (1) kuota na kusahau hutokana na marogi ambayo mtu kafungwa na kuchezewa kinyota

 (2) kuto ota kabisa, ni kuchezewa kwa marogi na huwenda nyota ikawa inatumiwa na mtu mwingine na kujikuta upo ili mradi lakini akili haijiongezi 

(3) Ndoto za Mungu huwa ni zile zenye taarifa na habari njema na huwa ni kabla ya saa 11 alfajir 4 ndoto za kichawi ni alfajiri kianzia 11 kuja saa moja 5 ndoto za majini hazina muda maalum Hata saa sita mchana waweza kuota. 

© tibazakissuna.blogspot.com

Na ndoto huhitaji wajuzi ili kuweza kupata ufafanuzi yakinifu Usisimulie ndoto isipo kuwa kwa mtu muaminifu Kumbuka ndoto yaweza kusababisha 
#udhuriwe, 
#uyajue yaliyo jificha, 
#udharaulike,
#na uheshimiwe. 
Utajuaje hayo???? 

+255 713 826 838
 Admin group ya 

TAFSIRI YA NDOTO YAKO 
© tibazakissuna.blogspot.com
vigezo na mashart kuzingatiwa

Jumatano, 27 Julai 2016

KUCHEZEWA NYOTA



NYOTA ILIYO CHEZEWA

Leo nataka kuongea kitu kitakacho kuwa kama kigeni kwa baadhi yetu, lakini ni maarufu pia kwa baadhi yetu.
Nyota ni sehemu ya mzunguko wa maisha yako mwanadamu, ambalo fungamano hili huenda kabisa na maisha ya binaadam kiutendaji kazi, rizk na maradhi.

 
Ukiongea nyota wapo watu wataona ni elimu ya ajabu ama shirk fulani, kwa sababu wengi wetu tunapenda uzungu na kuona kama elimu iliyo katika mfumo wa kiarabu imepoteza dira. Nyota zipo aina hii
كواكب،بروج،نجوم
Kawaakib,Buruuji na Nujumu. 


Ambapo kwa wasomi wa kizungu elimu hii kwao huwa ni astronomy
Ni elimu ya mambo ya geography.

hapa nyota ya maisha ya mwanadamu ni hii buruuji, ambayo hii buruji huwa ni Sayari na njia zake ni kawaakib ama obirt
 
Ambapo zipo sayari 12 na Obirt 12
Sayari hizi ni Hamal punda, Thaur ng'ombe mume, Aljauzau mapacha, surtwaan kaa, asadu simba,alqadhwyimat mashuke, mizan, aqrab nge,qaus mshale,Jady,dalwu na huut ama samaki.na kila nyota zina sifa nne ambazo Maji,Udongo,Moto Hewa
Hapa ndipo mtu anapo weza kukuchezea na kuharibu maisha yako. Audhu billaahi min dhaalik

 
© tibazakissuna.blogspot.com

 
Epukeni sana ndg zangu waganga wenye tabia za kuharibu maisha ya watu
Kwa mfano mtu ambaye nyota ya mashuke huyu nyota hufanya kazi jumatano, sifa mapato, utendaji wake udongo. 


Huyu ndiye mwenye hatari kwa mkulima na hatari kwa mfanya biashara anaweza kuchezewa nyota kwa maslahi ya muhuni mmoja anaye taka kulima au biashara na nyota yake haikubali kazi hiyo.
Hizi nyota huwa zinautendaji wa kila siku na nuksi ya kila siku kwa wiki nzima, zikiwa chini ya Malaika husika na malaika hawa wapo Saba, Ruuqayaail,Jibril,Samsamaail,Miykaail,Swarfayaail,Ainayaail na Kasfayaail hao ndiyo Malaika wa jumapili mpaka jumamosi kila Malaika na siku yake kwa nyota husika.
 

MTU ANACHEZEAJE NYOTA YAKO?? 
 
AUDHU BILLAAHI MIN DHAALIA

 
niwaombe matabibu kwa kweli suala la kucheza na nyota ya mtu ni dhambi iliyo kubwa na Muogopeni Allah

 
© tibazakissuna.blogspot.com

 
Kinacho fanyika ni kuchukua kivuli kwa siri na kuweka na madawa husika kisha kutumiwa sehemu husika, na hao watumiaji ndiyo watu ambao unaweza kukuta unatumia nyota ya ndg au mfanyakazi, na kama mfanyakazi basi huyu anaweza kutukuzwa hata kama elimu yake hairuhusu kukaa katika wadhifa huo, au atafanya kosa kubwa na kupata msamaha wa mwepesi na haraka bila Shart.kama itatumiwa na ndg hapo ndiyo majanga.
 

Dalili gani utajua iwapo nyota inatumiwa au kuchezewa???
 

Hapo aliye chezewa nyota huwa
 
1 mambo yake yanaharibika hovyo

 
2 watu hawamjali

 
3 huwa kama mwehu au zezeta fulani

 
4 watu watamtenga

 
5 pesa kutoweka mazingira ya ajabu

 
6 kufanya kazi kwa bidii na kutoona faida ya kazi

 
7 kuumwa ugonjwa wa ajabu ima kurukwa akili

 
8 mtu mzima watu kumfanya kama mdoli kwa kukosa heshima

 
9 akili inakuwa kama imefunikwa na kukosa muelekeo mpaka kutamani kujiua

 
NK

 
Ni miongoni tu mwa dalili.
Wafanyaji hayo muogopeni Mola wenu.
Pia mtendewaji unaweza kuambatana hata na tabia ya kuota utajiri hali ya kuwa hela ya kodi hujui pa kuitoa.
Unakuwa na wakati mgumu ukichezewa na ndugu, na utajiona una bahati isiyo na mafanikio ukichezewa na bosi.
Msingi kwa upande wa tiba
Upate Sheikh mjuzi wa elimu ya tiba isiyo na shirk na iwe tiba ya kisheria kisha ufanyiwe visomo vya Aayatu l fathi na Aayatu rizq

 
Huku ukiwa unapakaa zayt shifaa
tibazakissuna.blogspot.com
+255784638989
+255713826838

Jumapili, 24 Julai 2016

PUNYETO ( MASTURBATION ) PICHA ZA NGONO ( PORN ADDICTION )





MADHARA YA PICHA ZA NGONO NA KUPIGA PUNYETO/KUJICHUA (PORN ADDICTION AND MASTURBATION)

kuna mfugaji wa mbwa alikua akimpa mbwa wake chakula LAKIN kabla hajampa mfupa wa nyama alikua analiza kengele ambayo huitikiwa kama ishara ya chakula akilini mwa mbwa
mbwa anapo isikia kengele ile akili yake hutoa kemikali kwenye ubongo ambayo huongeza kiwango cha mate mdomoni mwa mbwa husika walio soma SAIKOLOGIA WANAJUA NAMZUNGUMZIA PAVLOV

tibazakissuna.blogspot.com
 
 hivyo hivyo tunapo angalia picha za ngono zina sisimua kemikal za mfumo wa jimai  kitu ambacho kita mpelekea muangaliaj ashawishike kumaliza ham yake kwa kutumia viganja vya mikono yake
hivyo hufanya mfumo wa akili yetu kuanza kujumlisha ya kwamba ili upate msisimko lazima basi uone picha ya aina flan ima mwanamke awe mwenye makalio makubwa au afanye kwa mfumo flani na hivyo hivyo pia kwa mwanamke mwenye atapenda dhakar kubwa na kifua kikubwa  kwakua tu ndivyo vinavyo jenga ukamilifu wa jimai kwenye akili yake

*MADHARA YA  KUFANYA PUNYETO NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

"tibazakissuna.blogspot.com

1) Kupoteza ham ya kushiriki jimai kwa mwandani wako maana unajitosheleza mwenye

2) kuto mridhisha mwenzio maana katika picha za ngono hakuna mapenz na kushibana baina ya wafanyao watu huvamiana kama wanyama hakuna kuandaana

3) ikumbukwe asilimia 80 ya jimai ni mawazo ambapo hupelekea hali ya mwili kua radhi kuufanya ufikie unalo taka hivyo unapo fanya punyeto una shawishi sana kumbukumbu na maono ili uweze kupata mihemko ya kumaliza haja zako kitu kinacho pelekea akili yako kupoteza kumbukumbu pia mwili hua unachoka hasaa

tibazakissuna.blogspot.com

4) E D  ( Erectile Dysfunction ) kumbuka picha za ngono mara nying huangalii ni nan bali hua unaangalia sana maumbo kitua ambacho hufanya msisimko kwenye akili yako hivyo kwa mkeo haita hutaweza simamisha dhakari ikawa na nguvu maana mwili wake umeshauzoea na akili yako huitajia kuona maumbile flani ili usisimkwe haswa HAPA ndo mwanaume akiangusha moja hataki tena maana hakuna msisimko atajaribu kuamsha lakin hawez

5) kupata uhanidhi kwa kuudhoofisha mishipa ya uume kutokana na kufanya punyeto na kwa mwanamke hawez kufika mpaka akae mkao ule alio kua akikaa pindi akifanya punyeto

6) najua yapo mabaya na mazur kiasi katika kila jambo ila picha za ngono na kujichua ina madhara zaid kwa mfanyaji maana unapo fika kilele mbegu unazo toa hua zina nguvu ya kuunganisha kimwili na kiroho sasa unapo fanya bila mtu hali ile ya kuungana inayo patikana katika manii inapotea ndo maana mfanyaji yoyote wa punyeto haridhiki hata afanye mara mia pindi akiona watu wakifanya kweli kiu yake hurud pale pale na pia unapo maliza unajiskia vibaya utajutia ulilo fanya maana hamna muungao (emotional and love bond )

tibazakissuna.blogspot.com

TIBA

FUNGA KAMA ULIVYO FUNGA RAMADHANI UJUE NAMNA YA KUMILIKI NAFSI YAKO

KISHA

tibazakissuna.blogspot.com

Anatakiwa apate

ZAYT SHIFAA

MJAAFAR

MWINGA JINI

MKWAMBA

NA SWIHAT SHIFAA

akitumia kwa siku 21 basi tatizo litaisha in shaa Allah

+255 784 638 989
+255 713 826 838