Alhamisi, 3 Julai 2014

TIBA YA MTOTO ANAYE STUKA NA KULIA SANA USIKU




MTOTO KUSTUKA NA KULIA ANAPO LALA

katika dini ya kiislam watu wamekatazwa kukujoleaya matunda yaliyo anguka kwenye mti ukiwa wima au kukojolea mitaro na mengine mengi kama tahadhari kwako 
sababu mazingira hayo hukaa majini aina ya Ankis ambayo ukiyakojolea unakua umeyachokoza na unapo yachokoza hukuvaa na kukupa athari ya KIJICHO ambacho hua ni mionzi ya sumu ya kijini  baadhi

© tibazakissuna.blogspot.com

ndipo unaona mwenye mionzi hii ( iriso,zongo,mhai,evil eye) akimwangalia MTOTO hulia au kuvimba tumbo baada ya mtu huyo kuondoka na  usiku mtoto huyo hustuka na kulia na hata kupelekea kifo

AKIANGALIA ngombe maziwa hayotoki akiangalia chakula ukila unavimba tumbo na kuumwa
mara nyingi wazazi haswa wakike wamekua wakiteseka sana kwa watoto wao pindi wanapo ona mtoto kastuka  na kuanza kulia 
tatizo hili mara nying halionekan hospital
  
© tibazakissuna.blogspot.com

SABABU NYINGINE HUA

###Nyumba kuwa inaingiliwa sana na wanga
###Mama kuwa na majini mahaba.
 NJIA YA KUONDOSHA TATIZO

KWA ALIE FANYIWA KIJICHO 
chukua MAGADI weka kwenye maji kisha muogeshee mtoto kutwa mara mbili
  kama nyumba inasumbuliwa na WANGA upate

MDAULA na MTUNDA kisha loweka katika maji muda wa SAA NZIMA halafu mwaga mwaga ndani ya nyumba nzima,
 kisha mtoto awe anapakwa MAFUTA YA NDIMU kwa miezi sita

© tibazakissuna.blogspot.com

 NJIA YA PILI YA KUONDOSHA TATIZO

 kama ni mama ana majini mahaba basi mtoto awe anapakwa MAFUTA ZAITUNI mwili mzima na ASITUMIE mafuta mengine yeyote kupaka zaidi ya mafuta ya zaytun adumu kwa MIAKA MIWILI. hapo mtoto hatodhuriwa na majini ya mama yake

pia kama mama ana majini ya kuapanda na ni majini mahaba au wale wajiitao wa kimila au uganga, wao pia ni majini mahaba japo huwa visingizio vya uongo ili waogopewe na watu wasio na imani kamili kidini.
mtoto atapakwa MAFUTA YA ZAITUNI mchanganyo na mafuta ya VITUNGUU SWAUMU.  mpaka aache kunyonya.
© tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni