Jumanne, 1 Julai 2014

JINI AINA YA SUBIANI

 

Salaam Alykum Ndg zangu leo Mada ya leo tunaongelea majini aina ya Subiani;

laiti tungejua vituko vya subiani mungenihurumia ninapofikisha mada. Kwani nachokoza vita na kila mwenye jini huyo kwa kumfichua. 

Na kuna tofaut baina ya UMMUSUBIANI na SUBIANI.

DALILI ZAKE

Majini hawa wana weza kuharibu mifumo ya ndoa haswa mwanamke kuingia hedhi kabla ya tarehe zake na hasa iwapo kama tarehe hiyo anaweza kubeba mimba.

Mwanaume kushindwa kumkabili vema mkewe.huotesha ndoto za vitisho kama majoka au wanyama wakali wana kusumbua kutaka kukuvamia nk 

Humfanya mtu awe kama bwege hapendi wageni au kupenda kukaa peke yake na kulala hovyo hata mchana jua kali.

pia husababisha mtu kuwa jeuri na kupenda sana ugomvi.


Na unapo kuwa na jini huyu jua kabisa ni waganga wachache wenye kumudu kumtoa.
Nadhani watu wa Moshi na Arusha waliwahi kuona pale sheikh Amr Abeid na Moshi Bonite au matindigani jinsi gani subiani walivyo
Hupanda kwa hasira na vurugu.
 

Jee ? utamjuaje subiani aliye tumwa au kukaa mwenyewe.
Nitaendelea. usisite kutoa maoni yako na kutembelea ukurasa wetu wa facebook link ipo hapo juu.

14 maoni:

  1. Hongera kwa kufunguwa Blog Sheikh wangu Abdallah Rajab Allah akubariki.

    JibuFuta
  2. Amina InshaAllah nashukuru mno Sheikh wangu Saad Ebrahim

    JibuFuta
  3. Sheikh ni saidie na email yako pls

    JibuFuta
  4. Sheikh tafadhali niandikie kwa email yangu cinnamonbabe28@yahoo.com ama nope yako nina mengi ya kukuuliza

    JibuFuta
  5. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili na za kissuna pia anatibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa za kisuna na mitishamba asili ..pia anazo dawa kwa ajili ya kurefusha uume na kunenepesha uume..mtafute kupitia 0764839091...wale wa mikoani dawa mtatumiwa kwa njia ya basi

    JibuFuta
  6. Aisee shikh moja kwa moja ninaish nahuyu kiumbe utanisaidiaje?

    JibuFuta
  7. Uko vizuli kiongozi... Mbona kuna maduka mengine unakuta Wateja wamejaa lakini maduka mengine hamna wateja ... Kulikoni shee... Tupe maujanja wanafanyaje wao....???

    JibuFuta
  8. Natakakua naelimu ya kumwita jini wakunisaidia

    JibuFuta
  9. Jamn na mm nnae naombeni dawa jaman
    0716735711

    JibuFuta
  10. asalam aleykum kwanini hawnjooa majini subiani wanakataa kutoka mwilini mwa binadamu

    JibuFuta
  11. Naomba minisaidie kumtoa huyu subiani juu nimeangaika saana but sikufaulu

    JibuFuta