Jumamosi, 5 Julai 2014

MAJINI AINA YA ANKIS



Ankis ni aina ya Majini watiao nuksi na mikosi katika maisha ya mwanadamu.
,ajini hawa humuingia kiwepesi mtu ambaye

  1) Anachelewa kuoga JANABA au HAOGI janaba
  2) Mwenye kupendaUZINZI
  3) Mwenye kupenda kusimama sana NJIA PANDA
  4) Mwenye kupenda kujisaidia MITARO YA MAJI


DALILI ZA ANKIS :-

 1)  KUCHUKIWA NA WATU
 2) MIPANGO KUHARIBIKA
 3) KUGOMBANA NA WATU BILA SABABU
 4)  KUOTA VYURA MARA KWA MARA
 5)  UKIWA UNAZO DALILI HIZO JUA UNAE
 6)  JINI HUYO NADRA KUPANDA

DAWA ZA KUMUONDOA

© tibazakissuna.blogspot.com HABATI NUKSI na NYOTA YA JAHA kwa ajili ya KUOGEA KILA ASUBUHI NA USIKU NA KUJIFUKIZA KILA ASUBUHI KWA SIKU 7 

MAFUTA YA KUJIPAKA

MAFUTA YA ZAITUNI
MAFUTA YA NYANGUMI SIKU 11 HADI 21
PIA KISOMO CHA KWAWAATIMU SIKU 3

0 maoni:

Chapisha Maoni