Jumamosi, 5 Julai 2014

VIDONDA VYA TUMBO UTUMBO MPANA



Maradhi ya vidonda vya tumbo yamekuwa yakiathiri sana afya za binaadamu na maradhi haya yana dalili nyingi mfano:-
1) maumivu ya tumbo juu ya kitovu 
2) maumivu ya mgongo
3) kiungulia 
4) tumbo kujaa gesi 
5) kuishiwa nguna kuuma tumbo wakati wa jimai 

DAWA ZAKE

 © tibazakissuna.blogspot.com
SAGA MBEGU ZA PARACHICHI, kisha changanya na HULBA na HABBAT SAUDA kwa ujazo sawa na upate jumla ya unga wa ujazo wa robo kilo.

MATUMIZI
 chukua dawa ujazo wa kijiko cha chakula na uweke katika MAZIWA YA MOTO kila asubuhi na usiku, yani mara mbili wa siku kwa siku 21. 

ANGALIZO:

SIKU ZA TIBA USILE 
1) MAHARAGE 
2)PILIPILI 
3) PILAU 
4) VIAZI 
5) VITU VYA GESI 
6) DAGAA 
7) NYAMA KAVU.

0 maoni:

Chapisha Maoni