Jumapili, 6 Agosti 2017

ASALI



ASALI

Na Mola wako mlezi amemfunulia Nyuki. Jitengezee majumba yako katika milima, na katika miti, na katika wanayoyajenga watu. Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizofanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali, ndani yake kina MATIBABU KWA WANADAMU. Akika katika haya ipo ishara kwa watu wano fikiri.  Qur’an 16:68-69


UKIFIKIRIA NYUKI 60,000 HUTEMBEA ZAID YA MILE 55,000 KUTEMBELEA MAUA ZAID YA MILLION MBILI KUJA KUTENGENEZA ASALI JE KILA UA LINA TIBU NIN NA NIN

WENG TUNA SKIA KAMA SIO KUJUA ZAID KIUNDAN KUA ASALI INA MSAADA MKUBWA SANA KWA AFYA YA MWANADAMU

© tibazakissuna.blogspot.com

TUNA ASALI ZA NYUKI WAKUBWA NA ASALI ZA NYUKI WADOGO WANASEMA KUA ASALI YA NYUKI WADOGO NDIO NZUR ZAID NA ASALI AMBAYO MIMI NAJUA HAINA NGUVU NI ILE ASALI ILIO PITIA KWENYE JTO KALI MAANA HUUA VIRUTUBISHO

BASI LEO TUTAPITIA BAADHI YA MATUMIZ YA ASALI

KIFUA CHANGANYA  MAJI YA LIMAO ASALI UPATE KIJIKO KUTWA MARA TATU KWA SIKU

KUTOKUPATA USINGIZI KULA VIJIKO VIWILI VYA  ASALI


HUIMARISHA NA KUUKINGA MOYO KWA MARADHI YANAYO WEZA KUSHAMBULIA MOYO TUMIA KIJIKO KIMOJA CHA ASALI CHANGANYA KWA VIJIKO VIWILI VYA MDALASINI
 MUWASHO WA MBAA KICHWANI CHANGANYA MAJI KIDOGO NA ASALI PAKAA BAADA YA DAKIKA KADHAA MUASHO UNAKWISHA

© tibazakissuna.blogspot.com

ASTHMA CHANGANYA PILIPILI MANGA ASALI NA KARAFUU 

KWA KIDONDA KABLA YA PENINCILIN WATU WALIKUA WAKITUMIA ASALI KUKINGA KIDONDA KUTOKANA NA MAGONJWA SHAMBULIZI KWENYE KIDONDA ILA UKIUNGUA HAKIKISHA KWANZA UNAPOOZA KIDONDA KWA MAJI BARID KISHA UPAKAE ASALI

BAWASIRI CHANGANYA ASALI NA MAFUTA YA ZAITUNI PAKAA

HUTIBU UTI SUGU CHANGANYA ASALI NA UNGA WA MDALASINI TUMIA VIJIKO VIWILI MARA TATU KWA SIKU

HUSAIDIA MMENGENYO NA KIUNGULIA KULA KIJIKO KIMOJA KABLA AU BAADA YA KULA

© tibazakissuna.blogspot.com

HUTOA CHUNUSI NA HUTUMIKA KAMA SEHEMU YA KUFANYA UREMBO

KWA CHUNUSI CHUKUA LIMAO ASALI CHANGANYA PAKAA NA OSHA NUSUU SAA BAADA YA KUPAKAA KWA MAJI MOTO


KUONDOA UKAVU WA NGOZI CHANGANYA ASALI MAFUTA YA ALMOND NA MAFUTA YA ZAITUNI PAKAA

KUNUKA MDOMO CHUKUA ASALI NA MDALASINI CHANGANYA UPATE TOPE PIGIA MSWAKI


© tibazakissuna.blogspot.com

KUPUNGUZA UZITO TUMIA ASALI NA MDALASINI ANZA KUCHEMSHA MAJI WEKA MDALASIN UCHEMKIE NDSN YAKE KISHA IKIPOA WEKA ASALI KUNYWA MARA MBILI KWA SIKU ILA HAKIKISHA UNAPO KULA CHAKULA KULA USISHIBE

KUONGEZA NGUVU ZA KIUME TUMIA ASALI MDALASINI HABAT SAUDA NA TANGAWIZI 


KWA ALLERGY PENDA KUTUMIA ASALI KILA SIKU KIJIKO KIMOJA

© tibazakissuna.blogspot.com

LIMBWATA TUMIA ASALI KIJIKO KUTWA MARA TATU

HUIMARISHA AFYA NA KUMPA MWANADAMU NGUVU YA UTENDAJI WA KAZI ZAKE NA UBONGO KUA NA NISHAT YA KAZ

ASALI PIA ILITUMIKA KUPUNGUZA MAKALI YA BAADHI YA DAWA AMBAZO NI KALI UKITUMIA KAMA MWANADAMU

USIPENDE KUWAPA WATOTO WACHANGA ASALI MAANA MMENGENYO WAO BADO HAUJAKOMAA

KWA HAYA MACHACHE TUMSHUKURU MUUMBA NA KUMTUKUZA KWA MAPENZ YAKE KWETU 

3 maoni:

  1. Kutana na mtaalamu wa mitishamba toka tanga anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume. .kukuza hips shape na makalio. .uti sugu. .matatizo ya hedhi ..mpigie dr kupitia 0744903557 tanga ..pia anatibu maradhi ya watoto na mambo ya majini uchaw na zindiko. .

    JibuFuta
  2. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma,

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  3. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta