Alhamisi, 16 Februari 2017

HABAT SAUDA

 

HABAT SAUDA
 
Mada itakua ndefu ila kwa mwenye kujua umuhimu wa afya hakika akuna lilo refu kama moyo umeridhia
kua makini wako watu huuza mbegu za vitunguu maji maana hufanan kabisa na habat saud na pia mafuta yake uakikishe ni yenyewe hasaa au yawe heman

Amesema kipenzi chetu Rehema za mwenye Mungu ziwe juu yake kua hakika habat sauda ni ponyo ya kila maradhi isipo kua kifo na uzee

ASTHMA, KIKOHOZI NA ALEJI
kikombe kimoja maji ya moto weka kijiko kimoja cha asali na mafuta ya habat sauda kijiko kimoja kunywa asubuh kabla hujanywa chochote na usiku unapo taka kulala

® tibazakissuna.blogspot.com

MARADHI YA MOYO
tumia kikombe kimoja cha maziwa ya mbuzi weka kijiko kimoja cha mafuta ya habat sauda na tumia mfululizo masiku kumi

MAUMIVU YA TUMBO GESI VICHOMI  NGURUMO
chukua kijiko kimoja cha mchujo wa tangawizi kisha changanya na nusu kijiko cha mafuta ya habat sauda ila mchanganyiko huu utakufanya uwe mwembamba maana huchoma mafuta na kusafisha mishipa

KUPARALAIZI NA POLIO
chukua kijiko kimoja cha asali changanya na nusu kijiko cha mafuta ya habat sauda mara mbili kwa siku

MATATIZO YA KUTO KUPATA HAM NA UDHAIFU WA MAPENZI
Vijiko viwili vya asali kijiko kimoja cha mafuta ya habat sauda na unga nusu kijiko cha kungu manga

UDHAIFU WA KINAFSI
kijiko kimoja cha asali nusu kijiko cha habat sauda na punj moja ya kitunguu swaumu

KUHARISHA NA KUTAPIKA
kijiko kimoja cha siki ya apple na nusu kijiko cha habat sauda

KUNGAA KWA NGOZI 
chukua mafuta ya zaituni 50gram na mafuta ya habat sauda 50gram changanya uwe unatumia kijiko kimoja kutwa mara mbili kwa kunywa ama kupakaa

® tibazakissuna.blogspot.com

KUKUZA NYWELE KWA WENYE VIPARA
kamua maji ya vitunguu maji pakaa kichwan kisha acha ndan ya nusu saa osha kichwa na pakaa kichwan mchanganyiko wa mafuta ya habat sauda na mafuta ya zaituni

KICHWA KUUMA UPANDE MMOJA
dondoshea tone kwenye pua ya upande unao umwa kichwa kisha unywe kijiko kimoja cha mafuta ya habat sauda

KUUMWA MENO NA KUVIMBA KWA FIZI
finya chumvi kiwango cha vidole vyako kisha chukua mafuta ya habat sauda na mafuta ya karafuu sukutulia baada ya kupiga mswaki

UVIMBE WA KUNGATWA NA WADUDU (nyuki)
pakaa kwenye jeraha hilo uvimbe utapotea

KUVUNJIKA MGUU/KUPATA JERAHA 
changanya asali habat sauda na mafuta ya nyonyo pakaa kwenye tatizo 

® tibazakissuna.blogspot.com

MARADHI YA MACHO NA KUONA
 juisi ya karoti dondoshea matone matano ya mafuta ya habat sauda kisha kunywa

KUPARA LAIZI KWA USO
chemsha maji kisha dondoshea vijiko vitatu vya habat sauda na ujifushe

KUIMARISHA AFYA
kila siku hakikisha una kunywa kijiko kimoja cha habat sauda

KUFUKUZA MBU
choma habat sauda tone la mafuta ulale unono

PUMU YA NGOZI 
pakaa mafuta ya habat sauda itakisha

KUUMWA KIBOFU
asali nyuki wadogo na habat sauda kijiko kimoja changanya tumia

KIFUA KUBANA 
changanya mafuta ya habat sauda na kitunguu maji na asali kisha pakaa

MGORI / BAWASIRI
changanya mafuta ya habat sauda mafuta ya zaitun na asali kisha kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku na upakae kwa pamba sehem yenye kuuma 

® tibazakissuna.blogspot.com

KUPANDISHA CD4
kwa mapenz ya Allah tu chukua maziwa fresh ulio chemsha kikombe kimoja na ckijiko kimoja cha habat sauda kiini cha yai kijiko kimoja cha asali nyuki wadogo kisha vyote korogea kwenye maziwa yako fresh uliyo yachemsha kisha tumia doz hii mara tatu kwa wiki 

JAMAN SIWEZ MALIZA YOTE KWAN HAJASEMA MTUME WA MWENYEZ MUNGU BALI ALIYO YASEMA NI YA HAKI NA KWEL TUPU