Alhamisi, 4 Agosti 2016

NDOTO ( DREAMS )



© tibazakissuna.blogspot.com


NDOTO ( DREAMS )
Ndoto mara kwa mara huwa nasema kwamba, ni taarifa inayo kujia kwa njia ya fumbo kupitia usingizi. Pia zipo ndoto huja moja kwa moja kama zilivyo, lakini pia bado itabaki kuwa taarifa ya siri kupitia usingizi Ajabu Yupo mtu alikuwa akiota ndoto aina fulani, na kisha ndoto zile kupotea na kuja zingine zilizo tofauti sana na zile. Jee tatizo nini? Unapo kuwa ukiota ndoto aina fulan na kisha kuhama ima kutoka ndoto nzuri kuja ndoto mbaya, ukiona hivyo jijue kwamba, wewe umefanyiwa uhasidi wa kichawi Uchawi 

Ndo maana Mtume amesema ukiona ndoto mbaya temea upande wa kushoto mara tatu kisha umba ulizi kwa Mungu na ubadilishe upande ulio kua umelaza kichwa chako

© tibazakissuna.blogspot.com

KUNA AINA TATU ZA NDOTO

1) NDOTO NJEMA ( Ru'yaa ) >> hizi ni njozi njema zenye kukuashiria jambo jema
2)  NDOTO MBAYA  ( Hulum )  >> amesema mtume ndoto njema utoka kwa Allah na mbaya hutoka kwa shetani

3)  NDOTO ZA BINAFSI  >>  hizi ni ndoto zinazo tokana na fikra zako zilizo gusa hisia zako hivyo hujirudia usiku ukiwa umelala

© tibazakissuna.blogspot.com

Lakini pia kuna mtu ambaye akiota huwa hakumbuki alicho ota Na kuna yule haoti kabisaaaaa Na kuna yule anaota ila hajui mana yake.

 (1) kuota na kusahau hutokana na marogi ambayo mtu kafungwa na kuchezewa kinyota

 (2) kuto ota kabisa, ni kuchezewa kwa marogi na huwenda nyota ikawa inatumiwa na mtu mwingine na kujikuta upo ili mradi lakini akili haijiongezi 

(3) Ndoto za Mungu huwa ni zile zenye taarifa na habari njema na huwa ni kabla ya saa 11 alfajir 4 ndoto za kichawi ni alfajiri kianzia 11 kuja saa moja 5 ndoto za majini hazina muda maalum Hata saa sita mchana waweza kuota. 

© tibazakissuna.blogspot.com

Na ndoto huhitaji wajuzi ili kuweza kupata ufafanuzi yakinifu Usisimulie ndoto isipo kuwa kwa mtu muaminifu Kumbuka ndoto yaweza kusababisha 
#udhuriwe, 
#uyajue yaliyo jificha, 
#udharaulike,
#na uheshimiwe. 
Utajuaje hayo???? 

+255 713 826 838
 Admin group ya 

TAFSIRI YA NDOTO YAKO 
© tibazakissuna.blogspot.com
vigezo na mashart kuzingatiwa