Alhamisi, 11 Desemba 2014

TIBA YA KUONDOA MVI KICHWANI


MVI ni nywele ambazo huota kichwani kwa mwanaadamu lakini zikiwa na rangi nyeupe badala ya nyeusi, na nywele hizo huitwa nywele zilizo chakaa,
na nywele hizo huwa ni chukizo kwa mwenyezo iwapo hajafika umri wa miaka 40.
na huangaika sana ili kuondoa mvi hizo.

JINSI YA KUJITIBU

chukua KITUNGUU SWAUMU , halafu
tibazakissuna.blogspot.com
Uwe unameza kama kidonge kwa maji BILA kukisaga, utameza VITATU kutwa mara tatu kwa muda wa miezi MITATU mfuatano mpaka MINNE,
mvi zitakuwa zimeondoka. bi idhni llaah

7 maoni:

  1. jazaaka allah kheri sheikh

    JibuFuta
  2. nimemeza si chini ya miez miwili mbn sioni mabadiliko sheikh?

    JibuFuta
  3. Jaribu kumeza vitamin B12 Mara kwa mara @smart ago

    JibuFuta
  4. Nitajaribu mwenyewe nimeshangaa nikaona mvi nywele moja nyeupe kwenye ndevu wakati ndo hata miaka 35 sijafikisha jaman

    JibuFuta
  5. Mbona nmetumia vitamini B12 Lakn sijaona mabadiliko

    JibuFuta
  6. Vitamin B12 ndo vinaitwaje hivyo vidonge


    JibuFuta