Jumamosi, 6 Desemba 2014

MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO ( U.T.I )



MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO ( U.T.I )


Maambukizi mengi ya njia ya mkojo hua yana shambulia kwenye kibofu cha mkojo (blader), 
ingawa hutibika kirahisi pindi unapo pata tiba mapema kama itakoma sana huenda ikashambulia figo (kidney) na ikiwa imefika kwenye figo hua ni tatizo kubwa.

mwili hua na tabia ya kujikinga wenyewe ( immune ) kwa kuua bacteria pia kuwasafisha bacteria nje  kwa kukojoa na kutoa haja kubwa hii hutoa vijidudu (microbes) vilivyo kufa na vilivyo hai kama taka .

Mwanamke hua ni mwenye kuathirika kwa wepesi zaid kwa kua njia yake ya MKOJO ipo karibu sana na sehemu ya HAJA KUBWA hivyo pindi mwanamke anapo jisafisha kwa kuleta MAJI MBELE hupelekea  kuleta bacteria Escherichia coli (E. coli) ambae huleta UTI kwenye tundu la mbele

 Hivyo hushauriwa kujisafisha  kwa kurudisha MAJI NYUMA kwa mkono wakati wa kujisafisha haja kubwa

DALILI ZA U.T.I

  • MAUMIVU YENYE KUCHOMA CHOMA PINDI UNAPO KOJOA


  • KUKOJOA MKOJO WA MANJANO AU WADAMU


  • KWA MTOTO MDOGO HUPATA HOMA KUSHINDWA KULA NA HULIA SANA


  • MAUMIVU YA UTI WA MGONGO NA CHINI YA KITOVU

TIBA YAKE 

© tibazakissuna.blogspot.com

WEKA KIJIKO KIMOJA CHA BAKING SODA KWENYE GLASS MOJA YA MAJI KISHA KUNYWA MARA MOJA KWA SIKU NDANI YA SIKU 7, HUKU UKIENDELEA KUNYWA MAJI YA KAWAIDA

KISHA CHUKUA MCHANGANYIKO WA ASALI NA UNGA WA MDALASINI CHANGANYA UTATUMIA KIJIKO KIMOJA KWA SIKU 7

NI BORA UKITUMIA DOZI ZOTE MBILI  KWA PAMOJA KWANI HUONDOA U.T.I SUGU

8 maoni:

  1. Sh NI baking soda au baking powder

    JibuFuta
  2. ni baking soda sio baking powder

    JibuFuta
  3. unaweza kutumia doz zote kwa wakati mmoja?

    JibuFuta
  4. Ahsant na je,, ni yapi madhara makubwa yanayosababaishwa na U.T.I anko

    JibuFuta
  5. hivi baking soda hii ya simba ndio unayozungumzia, na je ina madhara gani

    JibuFuta
  6. hivi baking soda hii ya simba ndio unayozungumzia, na je ina madhara gani

    JibuFuta
  7. Banking soda ni bicarbonate of soda

    JibuFuta