Alhamisi, 18 Desemba 2014

KWANINI MAJINI WANATESA BINAADAMU?


MAJINI KUTESA WANADAMU (SPIRIT VENGEANGE)

Sababu ya ugomvi wa Binaadamu na Jini ni ugomvi wa madaraka,
QUR 761
mwanaadamu ni kiumbe wa mwisho kuletwa hapa duniani lakini kaja na kuwa KHALIFA,
Wakati wao majini walikuwepo kabla ya Mwanadam kisha wamekuwa WATAWALIWA, hili ni jambo ambalo majini wamelijengea CHUKI kiasi kwamba mwanadamu anapoishi nje ya sheria ya uislam huwa mwepesi sana kuingiwa na kudhurika kutoka na majini.
 © tibazakissuna.blogspot.com

MAJINI HUINGIJAE KWA MWANADAMU?

majini huingia kwa mwanaadamu kupitia tundu zilizopo katika mwili wake, na wanapita katika MISHIPA YA DAMU na kukaa katika MOYO  au UBONGO wa nyuma medula oblangata.

MIFUMO GANI HUTUMIKA KUMDHURU MWANADAMU??

mifumo ambayo jini anatumia kumumuumizia mwanadamu ni mitatu, ambayo ni mifumo ya kichawi.

1) KHOFU

2) USINGIZI

3) CHAKULA.

hii milango mitatu ambayo wachawi na majini huitumia kumuumizia mwanadamu, tibazakissuna.blogspot.com
mila ngo hii muwa inamuumiza vipi mwanadamu

1) mtu muoga huwa anaingiwa haraka na majini na ni mwepesi kurogeka

 2) mtu mwenye kulala lala hovyo rahisi kurogeka pia rahisi kuingiwa na majini

 3) mtu mlafi anarogeka haraka na rahisi kuingiwa na majini.

kama utajilinda na mifumo hii ambayo imetajwa basi ni vigumu kurogeka au kuingiwa  na majini.
tibazakissuna.blogspot.com


0 maoni:

Chapisha Maoni