Jumatano, 17 Desemba 2014

MWILI KUFA GANZI

MWILI KUFA GANZI

Mwili wa binadamu una njia za fahamu ambazo humsaidia mwanadamu kujua na kuhisi nin kinaendelea ndani ya mwili 

tuchukulie mfano wa mtu alie jikwaa kwenye kidole mishipa ya fahamu huchukua ujumbe wa maumivu na kuupandisha kupitia uti wa mgongo mpaka kwenye ubongo na kutafsiri kua kidole gumba kimeumia hivyo chukua tahadhari ya kuto kukitumia ndipo unaona mtu hakanyagii mguu huo kwa muda maana pia ubongo ukishapata taarifa hiyo hupunguza ujaji wa message ya maumivu  ndipo utaona maumivu huanza kupungua na ukaanza kuchechemea

sasa kuumwa na ganzi ni kwamba njia hizo za fahamu zimeathirika kwa sababu ntazozitaja au zimekumbwa na ugonjwa unao ziathiri

SABABU YA TATIZO 

#KUPATA MAJERAHA KWENYE UBONGO kutokana na ajali au chochote kinachoweza athiri ubongo kwa kugongwa

#MAGONJWA YA KISUKARI kiwango cha glucose huathiri mishipa hii ya faham na kuiaribu

#UNYWAJI WA POMBE KWA MDA MREFU

#BAADHI YA MAGONJWA NA PIA UKOSEFU WA VITAMIN B12 AU VITAMIN ZINGINE

#KUATHIRIKA KWA FIGO NA KUA NA SUMU KWA KIWANGO KINGI KWENYE MWILI

tibazakissuna.blogspot.com

#VITENDO VYENYE KUJIRUDIA RUDIA MFANO TAA ZINYE KUWAKA WAKA HASA YA GAME  MIZIKI YA KURUDIA RUDIA KWA MDA MREFU AU WATU WANAO PANGA WENZIE MISTARI KILA SIKU

#UCHAWI AU MAJINI PIA NI SABABU KUBWA YA TATIZO HILI IKIWA INAAMBATANA NA DALILI ZINGINE ZA KUJUA UNA UCHAWI
 
TIBA YAKE
  • SHARBAT
  • MAZIWA
MATUMIZI

© tibazakissuna.blogspot.com
chukua MAZIWA kikombe kimoja yakiwa ya MOTO,halafu weka SHARBAT vijiko VIWILI kila ASUBUHI na USIKU kwa siku 17.

KAMA NI MAJINI AU WACHAWI

SUPU YA NDIMU, kila siku asubuhi kabla ya kula, unachukua ndimu saba bila kukata wala kumenya unachemsha, halafu unachukua maji nusu kikombe unakunywa asubuhi kabla ya kula siku 19
Allah ataleta shifaa
tibazakissuna.blogspot.com

http://tibazakissuna.blogspot.com/2014/12/mwili-kufa-ganzi.html

0 maoni:

Chapisha Maoni