Ijumaa, 25 Desemba 2015

TATIZO LA KUTO SHIKA MIMBA



TATIZO LA KUTO SHIKA MIMBA

katika vitu vina pelekea ndoa nyingi kuvunjika,ima kufanya wanawake kuishi bila furaha ya moyo, ni kukosa uzazi, kwa maana kuto shika mimba, na tatizo la uzazi lina sababu zaidi ya moja iwapo mwanamke huyo hakuwahi kutumia uzazi wa mpango.

1 OVARIAN CYST, ni tatizo ambalo kawaida hushika watu wazima kuanzia miaka 50, kwa sababu huwa ni kizuizi cha Mimba,lakini anapo kuwa mtu was chini ya umri huu basi inabidi atibiwe kwa kuwa ni ngumu kupata uzazi.

2 FIBRONEGEN Ni tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi.lakini waweza shangaa kwamba mtu anatibiwa kwa kuzibua hospital na baada ya miezi sita tatizo kurudia tena. 

ni wazi tatizo hilo lina sababu tofauti na mtazamo wa kidaktar,kwa sababu kama ilivyo ovarian cyst na fibronogen ni maradhi ambayo 85% husababishwa na majini mahaba aina ya UMMU MULDAMI ambao huwa wana uchawi uitwao AQUMI
uchawi ambao huwa unafunga hedhi kwa mwanamke au kumfanya mwanaume awe na tatizo la number of sperms au sperm motility
kuto kuzalisha mbegu za uzazi
 
pia mwanamke anaweza kutokwa na maji mazito ukeni na kuwa rangi ya NJANO au NYEUPE
kinyume na yale maji ya MULAABA wa jimai,  maji ambayo huwa na hali ya ACID na kuua mbegu za kiume na kumfanya mwanamke huyo asishike mimba
hizi Ni dalili mbaya kwani unaweza kuhaha matibabu bila mafanikio
ili kujua kama tatizo ni jini, utakuwa na tatizo la KUJAA maziwa au KUUMA IMA kuwasha kama mjamzito  pia tumboni kuwa hali ya KITU KUCHEZA kama mtoto tumboni mfano wa MJAMZITO.   kutopenda JIMAI na kushindwa kupata RAHA halisi ya tendo la ndoa.

 
tiba ya tatizo hili
kwanza ni kupata mjuzi wa kweli,
ufanyiwe visomo na kupata dawa za SWIHAT SHIFAA ili kuondoa tatizo la uzazi,na kuyeyusha uvimbe.
msaada zaid

0713826838
0784638989
الشيخ إيل

Alhamisi, 17 Desemba 2015

DALILI ZA KUA UNA UCHAWI AU MAJINI MWILINI





DALILI ZA MWENYE KUSIBIWA NA MAJINI

1 Kuota ndoto za jimai Mara kwa Mara

2 Kuota ndoto za ujauzito Mara kwa Mara

3 Kunyonyesha au kujifungua

4 Kuota unakimbia na kupaa au kuelea angani

5 Kuota una shambuliwa au kufukuzwa na wanyama wakali

6 Kuota majoka

7 Kutopenda kukaa na watu, kupenda kuwa peke yako

8 Kulala hivyo ama kukosa usingizi bila sababu za msingi

9 Maumivu makali ya kichwa yasiyo sikia dawa hospital

10 Kuwa na ganzi bila sababu za msingi

11 Kuota kufa kufa au kuzikwa

12 Kuota watu walio kufa zamani

13 Kuwa na Maumivu ya kuhama hama

14 Kuota watu wa ajabu, warefu sana IMA wafupi sana

15 Kuchukia manukato ima kutopenda usafi

16 Kuumwa macho,meno, sikio bila sababu za msingi

17 kupatwa michubuko au Maumivu makali ufanyapo jimai

18 Kuchukia jimai

19 kukasirika hovyo hovyo

20 kukosa amani unapo kaa,kuhisi watu nyuma hali hawapo

21 kutokewa na watu njiani na kukupote

22 kuwa na mwili wa kustuka stuka ima kusisimka 

23 kukosa hedhi au kupata bila mpangilii

24 Kuchezwa vitu tumboni kama mjamzito

25 Kuwa unavimba,kuwasha,kuumwa maziwa kama mjamzito

26 Kuwa na mwili unawaka moto ima barafu mwilini

27 Kusikia kama upepo unavuma masikioni

 
tibazakissuna.blogspot.com

         0655 826 838
 
DALILI ZA MWENYE KUROGWA AU NYUMBA INAYO WANGIWA

1 Kusikia kama miguu ya watu wanatembea nje

2 kuwa na tabia ya milango kugongwa na hakuna mtu anagonga

3 Kusikia sauti za watu wanaogea nje na hakuna mtu

4 kuwa na vitimbi ndani ya nyumba

5 kuwa na vitu vinatembea mwilini

6 kutetemeka mwili upande mmoja kama kiharusi

7 Kusikia kama mchanga umemwagwa juu ya bati

8 Kusikia kama kishindo juu ya bati

9 Kusikia milio ya wanyama wakilia kiajabu ajabu

10 kuwa na ugonjwa usio onekana hospital

11 kuwa na ugonjwa wenye kujirudia rudia muda mfupi mfupi

12 kuwa na Mtoto analia sana usiku kuanzia sàa sita

13 Kuota kula kula 

14 kuwa na hali ya kutembelewa na vitu mfano wa nyenyere

15 kuvimba mwili kama mpungufu wa damu

16 kupauka mwili kama mgonjwa wa bandana

17 kuvuka ngozi 

18 kuchanjwa chanjwa usingizini

19 kukatwa sehemu ya kiungo usingizini mfano nywele nk

20 kuwa na upotelewaji wa nguo za ndani kwa mazingira ya utata

21 Kuota Mara kwa Mara ukifanya kazi ngumu

22 kuota unasafiri safiri Mara kwa Mara

23 Kuota unapika shughulini

24 kuchukiwa na watu bila sababu


© tibazakissuna.blogspot.com

 0758 711 111
 
Ukiona una moja wapo ya hizo si vibaya kuwasiliana 

+255 772 156 789
Ili upate msaada
الشيخ إيل

Jumamosi, 12 Desemba 2015

ISTIHAADHA



ISTIHAADHA NI NINI

Istihadha ni damu ya HEDHI isiyo katika 

Tatizo la istihaadha ni miongoni mwa maradhi yenye kutesa sana na watu baadhi yao wamekuwa wakiteseka na kusababisha talaka ima utelekezwaji wanawake kutokana na mwanaume kukosa imani. 


SABABU YA ISTIHAADHA

 Sababu zipo Aina nyingi Lakini zenye nguvu ni 

1* KUTUMIA UZAZI WA MPANGO
 
2**MAJINI


3*** UCHAWI WA KUROGWA

© tibazakissuna.blogspot.com 

4*** DAWA >> kukukataa basi rudi kwa aliye kushauri kutumia na asipo kuponya lazima ufumie gharama kwa dawa ya SWIHAT SHIFAA 

5*** MAJINI  >> Inapo kuwa majini mahaba kuna tofauti ya aina ya jini Kuna JINI MAHABA ambaye yeye anamtoa DAMU mwanamke ambaye alikaa mbali na MUMEWE na siku wanakutana tu mwanamke anatoka damu ya muda mrefu Pia kuna jini hataki mwanamke AOLEWE ina kuwa akipanga tu mwanaume basi anaingia katika hedhi mpaka waahirishe mipango 

6*** KUROGWA  Huu ni miongoni mwa uchawi ambao ni hatari sana 

© tibazakissuna.blogspot.com 

Ukiongea uchawi huu utahurumia na kuwa na huzuni kwa sababu wale wenye imani haba na kutojua uislam husababisha wanawake wengi wakatae matala Audhu billahi min dhaalika
 Uchawi huu unao sababisha istihaadha huwa wanarogwa wanawake na ima mwanaume aliye mkataa kwa kuchukua moja kati ya nguo zake za ndani au kitambaa alicho jisitiria hedhi. Pia hushauriwa sana WANAWAKE KUTOTUPA PEDI ZAO HOVYO kwa kuhofia maradhi haya 

Na kuna wale wanao rogwa na wake wenza ambapo hutokwa DAMU NYEUSI  mithili ya SUMU Na ina weza kutoka kila siku japo mgonjwa haoneshi dalili ya kuishiwa damu Na kuna inayo toka pindi mwanaume anapofika zamu yake. Wanawake wabaya lakini wote Na ndiyo sababu wanawake wengi walio sikia haya hawapendi ukewenza 

Uchawi huu ni MGUMU sana kwani lazima upate dawa za kuua sihr Visomo vikali vya ruqyat na dawa za kunywa ikiwamo kuandika au kusomea maji suurat NNABAI 49 Hapo ndipo aponywe mgonjwa huyu Na huitajika ujuzi sana kwa sababu Istihaadha ipo aina tatu na kila moja ina njia zake Pia swihat shifaa na zayt shifaaa Inatakiwa itumike siku 11 za kisomo.
 © tibazakissuna.blogspot.com