Jumamosi, 12 Desemba 2015

ISTIHAADHA



ISTIHAADHA NI NINI

Istihadha ni damu ya HEDHI isiyo katika 

Tatizo la istihaadha ni miongoni mwa maradhi yenye kutesa sana na watu baadhi yao wamekuwa wakiteseka na kusababisha talaka ima utelekezwaji wanawake kutokana na mwanaume kukosa imani. 


SABABU YA ISTIHAADHA

 Sababu zipo Aina nyingi Lakini zenye nguvu ni 

1* KUTUMIA UZAZI WA MPANGO
 
2**MAJINI


3*** UCHAWI WA KUROGWA

© tibazakissuna.blogspot.com 

4*** DAWA >> kukukataa basi rudi kwa aliye kushauri kutumia na asipo kuponya lazima ufumie gharama kwa dawa ya SWIHAT SHIFAA 

5*** MAJINI  >> Inapo kuwa majini mahaba kuna tofauti ya aina ya jini Kuna JINI MAHABA ambaye yeye anamtoa DAMU mwanamke ambaye alikaa mbali na MUMEWE na siku wanakutana tu mwanamke anatoka damu ya muda mrefu Pia kuna jini hataki mwanamke AOLEWE ina kuwa akipanga tu mwanaume basi anaingia katika hedhi mpaka waahirishe mipango 

6*** KUROGWA  Huu ni miongoni mwa uchawi ambao ni hatari sana 

© tibazakissuna.blogspot.com 

Ukiongea uchawi huu utahurumia na kuwa na huzuni kwa sababu wale wenye imani haba na kutojua uislam husababisha wanawake wengi wakatae matala Audhu billahi min dhaalika
 Uchawi huu unao sababisha istihaadha huwa wanarogwa wanawake na ima mwanaume aliye mkataa kwa kuchukua moja kati ya nguo zake za ndani au kitambaa alicho jisitiria hedhi. Pia hushauriwa sana WANAWAKE KUTOTUPA PEDI ZAO HOVYO kwa kuhofia maradhi haya 

Na kuna wale wanao rogwa na wake wenza ambapo hutokwa DAMU NYEUSI  mithili ya SUMU Na ina weza kutoka kila siku japo mgonjwa haoneshi dalili ya kuishiwa damu Na kuna inayo toka pindi mwanaume anapofika zamu yake. Wanawake wabaya lakini wote Na ndiyo sababu wanawake wengi walio sikia haya hawapendi ukewenza 

Uchawi huu ni MGUMU sana kwani lazima upate dawa za kuua sihr Visomo vikali vya ruqyat na dawa za kunywa ikiwamo kuandika au kusomea maji suurat NNABAI 49 Hapo ndipo aponywe mgonjwa huyu Na huitajika ujuzi sana kwa sababu Istihaadha ipo aina tatu na kila moja ina njia zake Pia swihat shifaa na zayt shifaaa Inatakiwa itumike siku 11 za kisomo.
 © tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni