Jumapili, 26 Aprili 2015

HARUFU YA MIGUU NA FANGASI ( FOOT ODOR & TOENAIL FUNGUS )



HARUFU YA MIGUU

Nadhani mara moja katika maisha yako ulisha wahi kukutana na harufu mbaya ya miguu au viatu


SABABU YA HARUFU

Sababu hua ni JASHO LA MGUU ila jasho pekee huenda lisiwe na harufu kutegemeana na mwili wa mtu ila jasho linapo kutana na soksi ndani ya kiatu huleta unyevu unyevu ambao hupelekea ngozi kutoa cell za ngozi zilizo kufa na kutengeneza bacteria( Brevibacteria ) vijidudu vidogo vidogo (human microbiota) ambao huleta harufu mbaya ya miguu


JINSI YA KUZUIA TATIZO


© tibazakissuna.blogspot.com  
> VAA VIATU NA SOKSI SAFI NA KAVU

> USILE VYAKULA VYENYE KULETA HARUFU MBAYA  KWENYE MWILI

> NYUNYUZIA POWDER NA BAKING SODA KWENYE KIATU ILI KUNYONYA JOTO NA PIA KUUA BACTERIA( BAKING SODA )

> OSHA MIGUU YAKO

> USIVAE VIATU KUTWA NZIMA VIPE HEWA VIATU NA SOKSI


© tibazakissuna.blogspot.com
  • TIBA YA HARUFU YA MIGUU NA FANGASI
©tibazakissuna.blogspot.com
 
> KATA MALIMAO UPATE MAJI YAKE AU SIKI YA APPLE NA VITUNGUU SWAUMU
MAELEZO YA TIBA

FANYA TIBA HII USIKU

1)
OSHA MIGUU YAKO KAUSHA IKAUKE KISHA CHUKUA MAJI YA LIMAO AU SIKI YA APPLE (APPLE CIDER VINEGAR) OSHEA MIGUU YAKO  HASWA KWENYE VIDOLE

 KISHA PONDA PONDA VITUNGUU SWAUMU PAKAA VIDOLE NA SEHEMU ZA MIGUU KISHA IFUNGE NA LAILONI USIKU WAKATI WA KULALA MPAKA ASUBUHI

 UKIAMKA FUNGUA VIDOLE OSHA KWA MAJI YA LIMAO AU SIKI YA APPLE
FANYA KWA SIKU 7
© tibazakissuna.blogspot.com

Jumapili, 12 Aprili 2015

SUMU MWILINI




SUMU

ni kitu chochote kile ambacho kikitumika kwa kunywa au kugusana na mwili wa mwanadamu hupelekea mwili kuumwa au kupoteza uhai
kwa sababu kimetumika na

© tibazakissuna.blogspot.com

1) mtu asie muhusika mfano dawa ya mtu mzima kutumia mtoto

2) kutumika visivyo / kuzidisha kiwango - kinyume na maelezo ( 2x3 kutumika 3x2 )

Kwa kutegemeana na namna ambavyo sumu huuathiri mwili, tunapata makundi mawili ya sumu;

© tibazakissuna.blogspot.com

(Irreversible effects) Kundi la kwanza ni aina za sumu ambazo husababisha madhara yasiyorekebishika au tuite ulemavu wa maisha ,

 (Reversible effects).kundi la pili ni aina za sumu zinazosababisha madhara yanayoweza kurekebishika

SABABU

© tibazakissuna.blogspot.com

> KUTUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO NA DAWA ZA VITAMIN (A NA D)

> KUTUMIA VITU VYENYE MIONZI

> KUVUTA HEWA YENYE SUMU

> KUNGATWA NA NYOKA AU WADUDU WENYE SUMU ( VENOM )

#MADHARA YA SUMU MWILINI

© tibazakissuna.blogspot.com

1) matatizo ya damu,

2) kupooza viungo na kuwa kiziwi

3) matatizo ya akili,

4) makovu katika ngozi,

5) upofu,

6) kulemaa

7) UVIMBE na majipu mwilini

8) ngozi kuwasha au kuwa kavu sana

#KWA MAWASILIANO

+255 784 638989

+255 713 826838

+255 655 826838

© tibazakissuna.blogspot.com

Jumatatu, 6 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA SEHEMU YA TANO




UNYWAJI CHAI na kufuatisha MAJI BARIDI sana ni hatari kwa kusababisha tatizo la MAPAFU.
© tibazakissuna.blogspot.com

KUNYWA MAJI MENGI katikati ya KULA ni hatari gastric peristalsis ambapo huwezi kusababisha kusinyaa kwa utumbo mpana na kusababisha UKOSEFU WA CHOO.

NDIZI NA MAZIWA  huleta uzito katika mwili na kusababisha sumu ambayo hupelekea akili kua dhaifu katika utendaji
© tibazakissuna.blogspot.com

FIGILI NA NYAMA YA SUNGURA unapoteza nywele

WANAUME kulala KIFUDIFUDI baada ya JIMAI ni hatari kwani hukandamiza misuli na kuweza kusababisha upungufu wa NGUVU ZA KIUME 
Wakati kulala ubavu wa shoto husababisha maradhi ya MLIPUKO WA MOYO
© tibazakissuna.blogspot.com

FIGILI NA NYAMA YA KUKU ukipika pamoja unapoteza nguvu kabisa katika maisha yako

Haya ni maradhi ya KIZEMBE kwa sababu yatakusababishia gharama kutibu hali hukuwa na sababu ya kupoteza gharama. ..
© tibazakissuna.blogspot.com

Jumapili, 5 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA SEHEMU YA NNE


Lakini pamoja na kujua hali ya mwili kumbuka qauli ya Mtume saw kwamba kila ugonjwa na dawa yake. Pia anasema Hakika mwenyezi Mungu hakuleta maradhi ila kaleta dawa ya maradhi. Sasa kwa nini tuumwe na maradhi mengine yaonekana hayana dawa??

© tibazakissuna.blogspot.com

MARADHI YAMEGAWANYIKA MAKUNDI MATATU (3)

1) QADAR

 maradhi ambayo hayana usumbufu na mepesi kutibika, 

2) HUSDA

  husda maradhi magumu sana sababu yana mkono wa shetani na husda za kichawi 


3) UZEMBE

 uzembe ni kula vyakula visivyo endana na wewe kiafya na kusababish aleji au maradhi ya moyo, figo, ini na bandama kisha ukaathiri kiungo kimoja wapo.


© tibazakissuna.blogspot.com

Mola akijaalia tutaendelea tena siku nikijaaliwa ratiba ya mada ili kuangalia jinsi maradhi yanavyo ingia. Ahsante kwa kuwachosha
Allah atubariki sote na penye kosa tusameheane mkamilifu ni Allah
© tibazakissuna.blogspot.com

 

Ijumaa, 3 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA SEHEMU YA TATU





Ili ujue chakula kikufaacho basi kwanza jua afya yako. 

1)   HARRU YAABIS

 ni mtu mwenye mwili MKAVU NA MWEMBAMBA  HUA na shida ya usingizi anakuwa mwenye akili sana na ufahamu wa kina. 
  
© tibazakissuna.blogspot.com

2) HARRU RATBI

MNENE KUPITA KIASI, mwenye mafuta mengi mwilini, ana damu nyingi na UFAHAMU WA WASTANI

3) BARDU YAABIS

ni mwenye baridi kavu na homa homa mara kwa mara NI MWEMBAMBA WA WASTANI

 © tibazakissuna.blogspot.com

 4) BARDU RATBI

ni mvivu sana na hulala hovyo MGUMU KUELEWA na ni MTU ALIE NONA.

 Sasa hapa kila mmoja kajijua ni nani.

 Lakini pamoja na kuwa kila mmoja kajijua basi epuka maradhi kwa kula VYAKULA  vyenye kuendana na wewe kiafya.
© tibazakissuna.blogspot.com
Inaendelea

Alhamisi, 2 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA SEHEMU YA PILI


1) HARRU YAABIS
© tibazakisuna.blogspot.com

Ni joto lenye asili ya ukavu.

ASILI yake ni katika NYONGO

2) HARRU RATBI

Joto lenye asili ya unyevu nyevu

ASILI yake katika INI

© tibazakisuna.blogspot.com

3) BARDU YAABIS

Barid yenye asili ya ukavu

ASILI yake ni katika MAPAFU

 4) BARDU RATBI

baridi lenye ASILI ya ubichi ubichi

ASILI yake ni katika BANDAMA

© tibazakisuna.blogspot.com

Na hii ndiyo sababu katika maisha viungo sababishi ya maradhi ni MOYO, INI, FIGO na BANDAMA. Iwapo utavilinda viungo hivi utaweza kuishi bila ya maradhi mwilini.

Na ili uishi bila maradhi unahitajika kuzingatia mfumo wakula.
Kwani vyakula vyote vipo makundi 4 ambayo ni

 © tibazakisuna.blogspot.com

Damaawiyat,

Swalafi,

Balghaamiya

Saudawiyat.

Sasa chakula kipi kinamfaa nani.
 © tibazakissuna.blogspot.com

Jumatano, 1 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA


Assalaam Alaykum
Kila sifa njema anastahili Allah. Rehma na amani zishuke kwa Mtume MUHHAMAD (s.a.w)

MADA NI THAMAN YA AFYA YAKO

Wengi wetu hatuthamini afya zetu kwa sababu hatujui thamani ya afya.
 Lakini afya ndiyo mtaji kamili wa wewe kuweza kupata radhi na msaada wa ALLAH kwa ajili ya akhera yako. 
Na afya inapo tetereka ni sababu ya kukukaribisha katika hasira ya mola wako maana upo jirani kumshirikisha mola ima kukufuru. 

Uislam ni dini inayo thamani sana afya zetu. 

Ndipo Mtume MUHHAMAD (s.a.w) akasema kwamba "MJI USIO KUA NA DAKTARI HAUFAI KUISHI" 

hii ni kuonesha kuwa afya ina thamani kubwa sana. Lakini vipi utaweza kuilinda afya yako? Ili uilinde afya yako basi kwanza lazima ujue yafuatayo
Binadamu tumegawika makundi 4 kiafya. 


1) HARRU YA  YAABIS

2) BARDU YAABIS

3) HARRU RATBI

4) BARDU RATBI

Ukisha gundua wewe nani basi unaweza kuilinda afya yako na kupata mtaji bora katika kumuabudu aliye kuumba.
Itaendelea