Jumapili, 5 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA SEHEMU YA NNE


Lakini pamoja na kujua hali ya mwili kumbuka qauli ya Mtume saw kwamba kila ugonjwa na dawa yake. Pia anasema Hakika mwenyezi Mungu hakuleta maradhi ila kaleta dawa ya maradhi. Sasa kwa nini tuumwe na maradhi mengine yaonekana hayana dawa??

© tibazakissuna.blogspot.com

MARADHI YAMEGAWANYIKA MAKUNDI MATATU (3)

1) QADAR

 maradhi ambayo hayana usumbufu na mepesi kutibika, 

2) HUSDA

  husda maradhi magumu sana sababu yana mkono wa shetani na husda za kichawi 


3) UZEMBE

 uzembe ni kula vyakula visivyo endana na wewe kiafya na kusababish aleji au maradhi ya moyo, figo, ini na bandama kisha ukaathiri kiungo kimoja wapo.


© tibazakissuna.blogspot.com

Mola akijaalia tutaendelea tena siku nikijaaliwa ratiba ya mada ili kuangalia jinsi maradhi yanavyo ingia. Ahsante kwa kuwachosha
Allah atubariki sote na penye kosa tusameheane mkamilifu ni Allah
© tibazakissuna.blogspot.com

 

0 maoni:

Chapisha Maoni