Jumapili, 12 Aprili 2015

SUMU MWILINI




SUMU

ni kitu chochote kile ambacho kikitumika kwa kunywa au kugusana na mwili wa mwanadamu hupelekea mwili kuumwa au kupoteza uhai
kwa sababu kimetumika na

© tibazakissuna.blogspot.com

1) mtu asie muhusika mfano dawa ya mtu mzima kutumia mtoto

2) kutumika visivyo / kuzidisha kiwango - kinyume na maelezo ( 2x3 kutumika 3x2 )

Kwa kutegemeana na namna ambavyo sumu huuathiri mwili, tunapata makundi mawili ya sumu;

© tibazakissuna.blogspot.com

(Irreversible effects) Kundi la kwanza ni aina za sumu ambazo husababisha madhara yasiyorekebishika au tuite ulemavu wa maisha ,

 (Reversible effects).kundi la pili ni aina za sumu zinazosababisha madhara yanayoweza kurekebishika

SABABU

© tibazakissuna.blogspot.com

> KUTUMIA DAWA ZA UZAZI WA MPANGO NA DAWA ZA VITAMIN (A NA D)

> KUTUMIA VITU VYENYE MIONZI

> KUVUTA HEWA YENYE SUMU

> KUNGATWA NA NYOKA AU WADUDU WENYE SUMU ( VENOM )

#MADHARA YA SUMU MWILINI

© tibazakissuna.blogspot.com

1) matatizo ya damu,

2) kupooza viungo na kuwa kiziwi

3) matatizo ya akili,

4) makovu katika ngozi,

5) upofu,

6) kulemaa

7) UVIMBE na majipu mwilini

8) ngozi kuwasha au kuwa kavu sana

#KWA MAWASILIANO

+255 784 638989

+255 713 826838

+255 655 826838

© tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni