Jumapili, 26 Aprili 2015

HARUFU YA MIGUU NA FANGASI ( FOOT ODOR & TOENAIL FUNGUS )



HARUFU YA MIGUU

Nadhani mara moja katika maisha yako ulisha wahi kukutana na harufu mbaya ya miguu au viatu


SABABU YA HARUFU

Sababu hua ni JASHO LA MGUU ila jasho pekee huenda lisiwe na harufu kutegemeana na mwili wa mtu ila jasho linapo kutana na soksi ndani ya kiatu huleta unyevu unyevu ambao hupelekea ngozi kutoa cell za ngozi zilizo kufa na kutengeneza bacteria( Brevibacteria ) vijidudu vidogo vidogo (human microbiota) ambao huleta harufu mbaya ya miguu


JINSI YA KUZUIA TATIZO


© tibazakissuna.blogspot.com  
> VAA VIATU NA SOKSI SAFI NA KAVU

> USILE VYAKULA VYENYE KULETA HARUFU MBAYA  KWENYE MWILI

> NYUNYUZIA POWDER NA BAKING SODA KWENYE KIATU ILI KUNYONYA JOTO NA PIA KUUA BACTERIA( BAKING SODA )

> OSHA MIGUU YAKO

> USIVAE VIATU KUTWA NZIMA VIPE HEWA VIATU NA SOKSI


© tibazakissuna.blogspot.com
  • TIBA YA HARUFU YA MIGUU NA FANGASI
©tibazakissuna.blogspot.com
 
> KATA MALIMAO UPATE MAJI YAKE AU SIKI YA APPLE NA VITUNGUU SWAUMU
MAELEZO YA TIBA

FANYA TIBA HII USIKU

1)
OSHA MIGUU YAKO KAUSHA IKAUKE KISHA CHUKUA MAJI YA LIMAO AU SIKI YA APPLE (APPLE CIDER VINEGAR) OSHEA MIGUU YAKO  HASWA KWENYE VIDOLE

 KISHA PONDA PONDA VITUNGUU SWAUMU PAKAA VIDOLE NA SEHEMU ZA MIGUU KISHA IFUNGE NA LAILONI USIKU WAKATI WA KULALA MPAKA ASUBUHI

 UKIAMKA FUNGUA VIDOLE OSHA KWA MAJI YA LIMAO AU SIKI YA APPLE
FANYA KWA SIKU 7
© tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni