Ijumaa, 3 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA SEHEMU YA TATU





Ili ujue chakula kikufaacho basi kwanza jua afya yako. 

1)   HARRU YAABIS

 ni mtu mwenye mwili MKAVU NA MWEMBAMBA  HUA na shida ya usingizi anakuwa mwenye akili sana na ufahamu wa kina. 
  
© tibazakissuna.blogspot.com

2) HARRU RATBI

MNENE KUPITA KIASI, mwenye mafuta mengi mwilini, ana damu nyingi na UFAHAMU WA WASTANI

3) BARDU YAABIS

ni mwenye baridi kavu na homa homa mara kwa mara NI MWEMBAMBA WA WASTANI

 © tibazakissuna.blogspot.com

 4) BARDU RATBI

ni mvivu sana na hulala hovyo MGUMU KUELEWA na ni MTU ALIE NONA.

 Sasa hapa kila mmoja kajijua ni nani.

 Lakini pamoja na kuwa kila mmoja kajijua basi epuka maradhi kwa kula VYAKULA  vyenye kuendana na wewe kiafya.
© tibazakissuna.blogspot.com
Inaendelea

0 maoni:

Chapisha Maoni