MAWASILANO


KWA SHIDA MBALI MBALI ZA KIAFYA UNAWEZA WASILIANA KWA 

+255 713 826 838

+255 758 711 111

+255 784 638 989

NAFANYA VISOMO ASUBUHI SAA 1 HADI  MCHANA SAA 6
TEGETA A  ( KUPITIA BARABARA YA MOROGORO ) 

6 maoni:

  1. Inshallah mwenyezi mungu akujaalie uelimishe wale wote wenye matatizo ya kidunia na pia akujaalie uweze kutoa tiba zaidi na kwa msaada zaidi mwenyezi mungu atakupa zaidi na atakujengea daraja la imani na dhawabu zaidi

    JibuFuta
  2. Naomba elimu kuhusu acupressure na acupuncture Insha Allah

    JibuFuta
  3. Nilikuwa naomba unieleweshe kuhusu halmiti. Je hii dawa ina tengenezwa kutokana na mmea gani?

    JibuFuta
  4. Assalamu alaykum nilikua naomba msaada wako juu ya tatizo la mdogo wangu. Mdogo wangu ana miaka kadhaa inaweza kufika hata kumi kwasasa akilala usiku haoti ndoto ya aina yoyote na akiota basi anaota ndoto za kutisha ama anaota kua ananyonyesha mtoto naomba msaada wako kwanza maelezo kuhusu hili ila pia jinsi ya kuliondosha tatizo hili

    JibuFuta