Jumanne, 21 Juni 2016

NUKSI



 

NUKSI

TATIZO LA NUKSI

Nini nuksi? Nuksi waweza kuita mkosi. Nuksi AMA mkosi ni aina ya tatizo ambalo aliye na tatizo hili huwa ni mtu mwenye hali ngumu sana kwa sababu kila analo Fanya huwa hafanikiwi Mtu mwenye nuksi huwa ni mtu mwenye hali zifuatazo 1 kila analo fanya huharibika 2 kuchukiwa na watu bila sababu 3 kutengwa na watu 4 watu kukupuuza na kuto kukujali 5 ugumu wa maisha kwa kukosa msaada



AINA ZA NUKSI 
MILANGO YA NUKSI 

1 kuna nuksi unaipata kwa njia ya uzinzi 
2 kuna nuksi unaipata kwa kuwa na tabia ya kutooga janaba, 
hasa wale ambao huvaa mawigi au usukaji rasta
 
3 nuksi ya majini
4 nuksi ya uchawi
5 nuksi ya njiani
6 nuksi ya kukosa radhi ya wazazi
 

tibazakissuna.blogspot.com
 
NUKSI YA INAYO LETWA NA JINI

  Yaweza kutokana na:-

1 jini ankis
2 jini ashki (Ummu subian)
3 pia mwanandoa kuwa na jini mahaba aina yeyote
 
Utajuaje kama una jini mahaba?
  Au unawezaje kujua aina ya jini anaye kudhuru? Tembelea Blog yetu ya tibazakissuna.blogspot. com  

Kuhusu nuksi ya mwanandoa kuwa na jini mahaba, ni pale ambapo mambo huharibika baada ya kuingia ndani ya ndoa na hali kabla ya ndoa mambo yalikuwa vizuri  

Ila nuksi ya kukosa radhi ya wazazi basi la hii haina dawa
Lakini hizo zilizo bakia zina dawa Nuksi ya njiani hiyo hupatikana kwa kukojoa katika miti ya matunda yanayoliwa Ima katika kujisaidia kwenye madimbwi ya maji au mitaro ya maji machafu. 

Nuksi hii husababishwa na jini ankis Ndipo mtu anaweza kuwa na elimu lakini kazi hapati, au msomi kufanya kazi bila cheo na cheo kwenda kwa mtu asiye na elimu.kuishi bila muelekeo. Tatizo la nuksi huhitaji kisomo cha miftaahu,yaani visomo vya ufunguo. 

tibazakissuna.blogspot.com

Ijumaa, 10 Juni 2016

JINI GHUULI






MAJINI AINA YA GHUULI 

Naam, naona leo tunaingia bahari yenye kina kikubwa sana katika kumuongelea jini huyu. 
Ghuuli ni aina ya jini ambaye yupo katika aina zile 660 za majini, lakini jini huyu huwa ni jini mkorofi sana na mwenye hila na ni hatari sana katika maisha ya binaadam. 
Huyu jini Ghuuli yeye hushirikiana vema na ndiye Mwalimu wa wachawi wote duniani. ولاكن ااشيطين كفرو يعلمون الناس سحرا 

Ghuuli unampata katika aya hii 2:202 suurat Baqara 

Hivyo majini hawa ndiyo wale wenye tabia ya kujigeuza nyoka au paka mweusi, na ndiyo pale unaweza kuona nyoka na akatoweka usijue kaenda wapi, au ukakutana na paka na kukuvimbia njiani au kukuzuia njia na ukashindwa la kufanya mpaka mwili unakusisimka na kuweka vipele vya baridi kwa kukutana na paka mweusi. 
Ima paka hawa wanaweza kuja kukulilia dirishani kisha unapata maradhi ima kuharibikiwa. 

tibazakissuna.blogspot.com 

Ghuuli pindi anapo kudhuru huwa ana shirikiana vema sana na wachawi aina zote ili kuhakikisha hauponi ima afanye maradhi kutokana na mchawi aliye funga naye mkataba Kumbuka kuwa Ghuuli anadhuru kwa madhara mengi sana 

1 Chuma ulete Utakuta mtu anakuwa anapotelewa na Mali bila kujulikana zilipo potelea.pesa kutojulkikana zinapo enda,biashara inafanyika faida haionekani, pesa Kwisha bila matumizi 

2 Mimba kuibiwa Mtu ana beba mimba na kisha inapo karibia kujifungua mimba haionekani vipimo havioneshi ujauzito 

3 Misukule Mtu kufa kiini macho, na kisha akawa anaonekana mitaani ima mashambani au sehemu Fulani 

4 mtu kuugua muda mrefu na kukakamaa vifungo kama strock au maradhi ya baridi 

5 kuwa na mihuri ya kichawi, hili lirejee katika Ile mada yetu ya jinsi ya kufuta chale za Wanga 

tibazakissuna.blogspot.com 

DALILI ZA MWENYE JINI GHUULI

Mtu mwenye jini Ghuuli huwa ana dalili zifuatazo

 1 kuota unasafiri safiri 

2 kuota upo kwenye vikao katika maeneo yasiyo ofisi

 3 kuota unapika pika kwenye mashughuli

 4 kuota unabeba mizigo isiyoeleweka

 5 kuota unafukua makaburi au kuzika

 6 ndoto zihusuzo misiba

 7 kuwa na ganzi wakati wa tendo la ndoa

 8 kupotelewa na vitu kwa mazingira staajabisha 

9 kuharibu mimba ya miezi 8-9

 10 kuwa na kawaida kujifungua watoto walio kufia tumboni

 11 kuto shika mimba kabisaaaaaa,yani ugumba na utasa

 12 mwanaume kuto kukomaa kwa mbegu za uzazi

 13 kuumwa ugonjwa wenye kujirudia rudia bila sababu za kidaktari

 14 kuumwa muda mrefu na kuto julikana maradhi katika vipimo 

tibazakissuna.blogspot.com 

Hawa ndiyo Ghuuli na hizi ni habari kwa ufupi. 
Kwani hawa ndiyo majini wenye kuingiza watu uchawini, Chuma ulete na kuwafanya watu kuwa Misukule Msaada zaid wasiliana 

+255784638989
 +255713826838 
+255758711111

 الشيج