Jumamosi, 19 Julai 2014

NGUVU ZA KIUME




TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

MADA YA LEO ITAHUSIANA NA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii zetu waathirika wakubwa wakiwa vijana 

Tatizo hili limegawanyika kwa aina mbali mbali kutegemeana sana na chanzo cha tatizo

tibazakissuna.blogspot.com

AINA ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA SABABU

(( 1 )) KUWAHI KUFIKA / KUMWAGA MANII UPESI

Weng wamekua wakiuliza ni kiwango gan cha muda kinasema kwamba nina tatizo la kuwahi kufika
kiukweli ni chini ya dakika TANO ILA SABABU HUA NI

KISAIKOLOGIA
  • HOFU NA PUPA: hii hutokea pale ambapo Mwanaume hupatwa na tamaa haswa ya jimai na kushindwa kujizuia, humpelekea kumaliza mapema chini ya dakika mbili na kushindwa kusimamisha dhakari hivyo HOFU huingia na kuzuia mawazo ya msisimko wa tendo na kusababisha dhakari kusinyaa
  • KUPOTEZA MSISIMKO: Hii hutokana na kupoteza hamasa ya tendo kwa yule unae fanya nae ama akili kutokusisimka kutokana na Utendaji Mbaya wa Jimai ulio pita pia Msongo Wa Mawazo kutokana na matatizo ya kimaisha au kuto kumridhia unae fanya nae.
KIMWILI
  • UDHAIFU WA MISHIPA YA PUBOCOCCYGEUS (PC):
Kama Misuli ya Pubococcygeus (pc) ikiwa dhaifu humpelekea mwanaume kushindwa kujizuia kutokana na kufika upesi na pia humfanya mwanaume ashindwe kua na nguvu za kunyanyua dhakari pindi inapo sinyaa 
  • MARADHI YA KIJINI NA UCHAWI
 Kwa wenye majini mahaba mara nyingi halii hii huwatokea yaani anasimamisha vizur ila sasa akisogelea MLANGO WA OFISI TU mzee analala kabisa au MZEE HUTAPIKA HAPO HAPO MLANGONI AU AKISHA INGIA TU HACHUKUI DAKIKA MBILI sas maradhi ya aina hii ni vyema sana ukanitafuta tuongee vyema tujue ni jini au ni uchawi


(( 2 )) KUCHELEWA KUFIKA KILELE / KUCHELEWA KUMWAGA MANII

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

 Wakat wapo watu wanalia kuhusu kuwahi kufika wapo watu ambao wanaweza kwenda hata dakika 35 bila kupata goli hata moja  hili pia ni tatizo la nguvu za kiume NA SABABU ZAKE HUA NI


  • KUPIGA PUNYETO ( masturbation ) SANA NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO
 Watu wataniuliza mbona wataalamu husema kufanya hivyo kuna pelekea ufike haraka JIBU ni hutegemeana na mfanyaji na anavyo fanya maana kichwa cha uume ndo kimebeba hisia ( sensitiveness ) hivyo mtu anaposugua kile kichwa kwa nguvu ya KIGANJA  mpaka kufika hupelekea kichwa kile kua na hali ya USUGU ( NUMB ) kiasi ambacho akikutana na mwanamke huitaji kutumia nguvu ya ziada kuweza kupata msuguano sawasawa na ule wa mkono ili aweze kufika

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM


  • KUTUMIA DAWA NA KUFANYIWA UPASUAJI WA KENDE MBILI
Kuna baadhi yetu wenye maradhi ya KISUKARI, PRESSURE YA KUPANDA NA ALLERGY mara nying dawa zao hupelekea tatizo hili hivyo vyema ukiwa na shida hii uongee na daktar wako akubadilishie dawa
 Kuhusu operation za kende kwa wale walio fanyiwa naamin madktar walisha waarifu tatizo la kuto kumwaga au kumwaga hewa lipo kwa upande wao

hata wenye KUENDESHA BAISKELI kwa mda mrefu sana jambo hili HUENDA likawatokea

MATIBABU

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT 
  • TANGAWIZI - Chemsha Tangawizi gramu 100 kwa maji lita moja na nusu baada ya kuchemsha haswa changanya na asali lita moja .
    Matumizi - vijiko vitatu asubuhi na jioni
  • MAFUTA YA KHARDAR NA UNGA WAKE - chukua mafuta ya khardar changanya na unga wake kisha chua Dhakari kila unapo taka kulala pia hukuza dhakar na kuipa nguvu haswa

11 maoni:

  1. A.alaykum

    Je mafuta ya Khardar ndio mafuta gani? Na yanapatikana wapi?
    Shukran

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kutana na dr wa mitishamba na tiba mbadala anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume. Kukuza na kurefusha na kunenepesha uume. Kisukari presha na bp. ..anatibu maradhi mbalimbali. .pia anazo dawa za kukuza hips shape na makalio. ..anazo dawa za mapenz ..zindiko na uchawi. .kuondoa harufu mbaya na maji ukeni. .kuondoa vitambi. .kuondoa nuksi..dawa zake ni mitishamba asili na pia anauza dawa zote za kisuna. Mpigie 0744903557 tanga

      Futa
  2. dawa zina patikana kwenye maduka ya kiharabu au ya kissuna

    JibuFuta
  3. a.aleikum
    samahani kama takuwa nimetumia lugha isiyofaa si mkali wa kiswahili vile:
    wakati mtu yupo kwenye shughulii na mke wake akitoa cha kwanza huwa yalala na kuamka baalaa si rahisi kitambo kabbla ya ndoa sabuni ilifanya kazi kila saa
    hapo tutampa vp ushauri wa madawa mtu kama huyo ili apone upesi?

    JibuFuta
  4. Mashallah kwa maelekezo ya tiba nzuri. Nawashauri muweke picha ya mtu mwenye stara maana dada hapo juu anaonekana yupo uchi. (NI UKUMBUSHO TU MASHEIKH ZANGU)

    JibuFuta
  5. sasmi awati chukua namba zangu tuwasiliane

    +255 713 826838

    +255 655 826838

    +255 774 826838

    +255 655 826838

    +255 772 156789

    +255 784 638989

    JibuFuta
  6. muamar nashukuru kwa ukumbusho nitalifanyia kazi ndugu yangu

    JibuFuta
  7. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa mbalimbali za kisuna pia anazo dawa kwa ajili ya kurefusha dhakari na kunenepesha dhakari ..mtafute kupitia 0764839091

    JibuFuta
  8. NAITWA DR, MDIRO. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    JibuFuta
  9. NAITWA DR, MDIRO. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    JibuFuta