Alhamisi, 3 Julai 2014

KUKAUSHA MAJI UKENI






KUNA TATIZO AMBALO WANAWAKE WENGI HUWASUMBUA AMBALO NI KUTOKWA NA MAJI UKENI
.
tatizo hilo laweza sababishwa na mwanamke kutumia sana njia za uzazi wa mpango kwa dawa za kizungu au kuto kukandwa maji baada ya kujifungua
.
VIPI ATASHUGHULIKIWA

© tibazakissuna.blogspot.com
iwapo ni tatizo analo afanye yafuatayo
  • ASALI MBICHI YA NYUKI
  • MAFUTA YA ZAITUNI

UTACHANGANYA ZOTE MBILI

halafu awe anakula ujazo wa kijiko cha chakula asubuhi na usiku. kisha kabla ya kuoga apakae asali ukeni baada ya dkk 30 akaoge na kujisafisha vizuri. asubuhi na jion mpaka maji yatakapo kata
tutaendelea zaidi usisite kutoa maoni yako.

4 maoni:

  1. Me namaanisha maji Yale unapokua kwenye tendo la ndoa maji yanakua mengi mpaka mfute

    JibuFuta
  2. sijakuelewa maana hakuna maji kwenye uke kuna ute na discharge

    JibuFuta
  3. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anatibu magonjwa yote anazo dawa kwa ajili ya kurefusha uume na kunenepesha uume..kukausha maji ukeni......kuondoa harufu ..uken na mdomoni..figo moyo..miguu kuwaka moto ..mtafute kupitia 0764839091

    JibuFuta
  4. Hiyo asari ukipaka huko chini haina madhara jamani

    JibuFuta